Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hii ishu. Maana hata kama watu huwa wanajisahau na kuacha hotspot on ndio kusema watu wote wanajisahau? Au ndio kusema simu zote huwa zina app zinazofanya kazi nyuma ya pazia kimyakimya?
Bando zinayeyuka kama barafu.
Nimetoka kuangalia mechi ya mtoano, Kombe la Shirikisho la Azam muda si mrefu kati ya Tanzania Prisons vs Polisi Tanzania, na ambako Polisi Tanzania wamefanikiwa kusonga mbele kwa ushindi wa goli 2 kwa 0 dhidi ya Tanzania Prisons.
Kiukweli uwanja umeharibika vibaya kiasi cha kudhani labda...
Kupitia ukaunti yake rasmi, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amenena haya kuhusu watu wanaofanya mzaha wa matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba aina ya P2.
Inaweza kuonekana ni utani lakini huu ndio ukweli hasa kwa baadhi ya watoto wetu wa kike walio shuleni.
P2 ni dawa ya kuzuia mimba...
Kwa Wale wapambanaji Wenzangu wa Mitandaoni nikiongelea Upwork nafkiri sio Kitu Kigeni. Kwa Wale Ambao Hawafahamu kuhusu Fursa za Upwork fuatlia Uzi Mbali mbali upate Mwanga.
Moja Kwa Moja Kuna Zile Connect za Kuombea Kazi kule Upwork, Kuna ambazo ni za Bure Kila Mwezi Na Kuna Zile Zinauzwa Kwa...
Wabunge walalamikia ongezeko la matumizi ya P2, watu milioni 1.7 wanaishi na VVU
Wabunge wa Tanzania wamesema matumizi ya dawa za dharura za uzazi wa mpango zinazojulikana kwa jina la P2 kuzuia mimba kwa wasichana wenye umri wa miaka 14-24 yanaongezeka.
Wabunge katika kamati ya afya walikuwa...
Kama wengi mlivyo mezeshana na kukaririshana kuwa ukiwa na gari Basi mambo Safi.
Uzi huu utaenda na kinyume na hizo fikra.
1: Watu mmekaririshana kwamba ukiwa na gari Basi mambo yote yameisha Kama maisha ndio umesha yapatia. Lakini kiuhalisia hakuna kitu chenye stress Kama gari. Kama unasafari...
Kamati ya Bunge ya masuala ya UKIMWI imebaini ongezeko la matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba kwa Wasichana hasa wenye umri kati ya miaka 10 – 24 ambapo licha ya kuwa na lengo la kuzuia mimba, matumizi ya vidonge hivi ambavyo vimekuwa vikiuzwa kwa bei ya chini imebainika yamechochea maambukizi...
Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.
Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.
Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo...
Hasa sisi tunaoishi mijini, kumekuwa na changamoto katika utunzaji wa familia zetu. Kwa walio wengi, hupenda kila siku kuacha hela za matumizi kwa familia zao; wapo wanaoacha elfu kumi kwa siku, ishirini, laki n.k
Na waachapo hiyo fedha, ndio inayofanya manunuzi ya chakula kwa siku husika...
Matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), miongoni mwa vijana ni makubwa sana kwa sasa.
Sina hakika kama vijana hawa wanajua athari za matumizi makubwa na ya Mara kwa Mara ya vinywaji hivi haswa kwa siku za mbeleni.
Pengine watu wanahitaji elimu juu ya matumizi ya vinywaji hivi...
Matumizi ya fedha za sarafu yanaakisi ni kiasi gani watanzania bado wapo nyuma kiuchumi,ni risk kuzihifadhi kwa maisha ya sasa kwasababu hata kuzihifadhi tu mifukoni au kweny bahasha ni usumbufu mkubwa,
Hivyo napendekeza watengeneze noti mpya ya elfu 20 na elfu 50 ili kuweza kupunguza idadi ya...
Teknolojia imekuwa sana kulingana na mahitaji. Kuna mfumo ambao dunia sasa inatumia kwa ajili ya malipo na kupokea malipo ya kidigitali kwa jina cryptocurrency.
Bado nazidi kurudia kuhusu hii App kueleza sababu ambazo kesho utaweza kunishukurua.
Hawa Yellow Wallet walikuja na mtindo mzuri...
Lipi ni neno sahihi kwa matumizi.
Maneno kama Yuko na Yupo, Wapo na Wako, Sipo na Siko, Tupo na Tuko, Uko na Upo.
Baba yuko nyumbani au Baba yupo nyumbani.
Kesho sipo nitakwenda Moshi au Kesho siko nitakwenda Moshi.
Leo tupo Kanisa la Arusha Mjini au Leo tuko Kanisa la Arusha Mjini.
Kaka...
Wakuu habari zenu.
Natumai mu wazima.
Kutokana na mabando kuwa juu, niliamua kwenda maduka ya TTCL na Voda shop kuangalia home internet.
TTCL walinipa hii details.
Kulingana na matumizi yangu nilipenda hicho cha 55k.
Lakini sijajua wakoje kihuduma plus kununua DSL modem.
Nikaamua kucheki...
Haiwezekani mshindwe kwenye vyote, hampo kwenye riadha, elimu, chumi bora Afrika na mengineyo...walau kwa hili mumewakilisha vyema, na lile pendwa la ushirikina...hehehehe
December 3, 2021 by Global Publishers
Licha ya sheria kali za kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya, tafiti zilizopo...
Habari Wakuu. Nina laptop aina ya Toshiba ila tatizo niiiunga na WiFi hotspot ya Simu yangu ya Tecno inakula data so mchezo. Juzi tu niliiunga ili kuperuzi website kadhaa lakini ndani ya dakika tano ikawa imetafuna MB 300! Naomba msaada nifanyeje kudhibiti hii hali.
SABABU ILIYOJIFICHA GARI YAKO KUTUMIA MAFUTA ZAIDI NA MATATIZO MENGINE
Wasiliana na mimi +255788624499 nikusafishie Mass Air Flow (MAF) senso.
Soma zaidi...
Dalili za MAF sensor inahitilafu ni,
1. Engine ni ngumu kuwasha.
2. Engine inazima muda mfupi baada ya kuwaka.
3. Engine inasitasita au...
Hili limekua tatizo kubwa sana kwa simu za kitochi 4G ukiitumia baada ya muda Fulani Kanaganda yaani ukiiwasha haiwaki inaishia hapo tu kwenye "karibu tigo".
Je, unaweza kutumia mbinu gani kukatengeneza mwenyewe bila kwenda kwa fundi ikiwa una laptop. Maana hata ukikatengeneza baada ya muda...
Kila kitu kiwekwe sawa na ukweli ujulikane. Hata kama ni mkopo wa WB kupitia janga la Uviko lakini kuna giza nene.
Bunge linalofuata mwezi Februari liisimamie serikali iweke wazi namna pesa zilivyotumika na kugawanywa kati ya Zanzibar na Bara.
Bara ni sh ngapi kwa ajili ya nini? Na Zenj sh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.