Rais Samia na matumizi ya kodi zetu

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,416
6,577
Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.

Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.

Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo Dodoma, hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu!

41F78288-0B0B-4E72-AE84-64D38568036F.jpeg
 
Simtetei, maana kusema kweli hata mimi simuelewi. Lakini, kuna uwezekano mkubwa flight yake ilikuwa scheduled kupitia Zenj. Kitendo cha wazee kukutana nae airport kunaipa nguvu nadharia yangu
 
Rais Samia haruhusiwi kwenda kuaga kwao?
The lights are on but nobody is home.
Talk sense to a fool and he will call you foolish.
JF inaposogea kuwa META siku hadi siku.
Mada zisizo na kichwa wala miguu ndio 90% ya mada zote.
 
Kwahyo kuongea hikonkiinhereza chako cha kimboka unajiona msomi?
 
Anaenda kuuza bahari kwa jina la Muungano, malipo kwenda kwa muanzilishi au mwenye falsafaa ya UCHUMI WA BLUU.

Wadanganyika kaeni kikondoo tu, mtajtwa watalikiwa muda si punde!
 
Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.

Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.

Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo Dodoma, hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu!

View attachment 2114128

Kama unafikira hivyo inaonyesha ni jinsi gani hujui matumizi ya pesa za serikali.
 
Anaweza pata Corona kwenye hiyo mikusanyiko,na mwishowe ikamharibia safari.awe makini
 
Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.

Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.

Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo Dodoma, hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu!

View attachment 2114128
Kwani Rais wa Zanzibar nae alihusika kwenye uzinduzi wa ile miradi ya "ring roads" za Dodoma?
 
Back
Top Bottom