Mheshimiwa Rais Safari zake zimekuwa nyingi sana tujifunze kwa wenzetu walioendelea viongozi wao hawasafiri hovyohovyo safari zao huwa ni za kimkakati Sasa Rais wetu anaposafiri safiri kila Mara hasara ni nyingi kuliko faida
Just imagine Rais ana mabalozi ana mawaziri wa wizara husika yeye...
Kati ya vitu ambavyo Magufuli alikuwa akiimbwa navyo ni kubana matumizi ya Serikali
Ila leo baada ya kumsikiliza Mwigulu akiweka mikakati mipya ya kubana matumizi, nimeona kumbe Serikali ina matumizi ya hovyo ambayo hata huyo Magufuli aliendelea nayo hadi sasa Samia ndio anakuja kuyapunguza...
Choo ni moja kati ya sehemu muhimu katika makazi yoyote ya watu iwe nyumbani, Ofisini, sehemu ya biashara na maeneo mengine. Choo huweza kutumika kibinafsi (privately) au kijumuiya (Publicly) kutegemeana na eneo husika.
Choo kinapotumika kibinafsi shida na changamoto inakuwa sio kubwa...
Kumekuwepo na kesi za kisiasa ambazo kimsingi hazina ushahidi wa kuthibitisha madai husika.
Raia wamekua wakikaa mahabusu muda mrefu kwa kesi za kubumba kabisa.
Ushahidi wa hayo ni kesi za sabaya ambazo zilifunguliwa kisiasa tu na imethibitika hivyo baada ya mahakama kuona katika kesi zote...
Kumekuwa na mahitaji au matamanio ya kila mtu anayepata kipato kutamani kumiliki na kuishi kwenye nyumba kubwa.
Wapo wanaodunduliza au kupata mikopo, na hatimaye kufanikisha lengo hilo.
Na kuishi kwenye nyumba kubwa, huku umeajiriwa, kiuchumi sio ufahari ; kwa sababu inakuwa haikuingizii...
Kuna waraka umetolewa na Wizara ya Afya, ukitoa taarifa kwamba kuanzia tarehe 01 Juni 2022 hatua kwa hatua kutasitishwa matumizi ya form 2c. Form 2c ni fomu inayotumika na hospitali zinazohudumia wagonjwa wa NHIF kujaza dawa zisizokuwepo hospitali, ili mgonjwa au ndugu wa mgonjwa akachukue dawa...
Kutokana na maoni ya wadau mbali mbali jukwaani hapa pamoja na forum mbali mbali kama BETA BLOCKER/BISOPROLOL WITHDRAWAL FORUM, Leo nimeamua kuacha hizi dawa kwa kufanya yafutayo.
1. Kwanza ifahamike kwamba mwanzoni nilikua nameza kidonge kizima cha NEBIVOLOL chenye 5MG, na badae nikapunguza...
Huyu afisa elimu ana mapungufu mengi nashangaaa kwanini Serikali inamucha mpaka leo amekuwa kero kubwa kwa watumishi anaowangoza mpaka basi.Mara kwanza alikuwa afisa elimu yule aliehamishiwa tabora naye alikuwa msumbufu balaaa.
Lakini huyu alieachwa ana mapungufu balaaa na sijui hivi vyeo uwa...
Mkwe wa Rais ambaye pia ni Waziri wa Michezo kulifunga daraja la Salander(Tanzanite) ili kupisha kuonesha Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya kati ya Real Madrid Vs Liverpool
--
Waziri Mchengerwa ameyasema haya
“Tunatambua Heineken wamekuwa waki-support michezo na kwa mara ya 1 Tanzania...
Wakuu napenda kukubaliana na taasisi za afya kote duniani zinazosisitiza matumizi ya kondomu kama njia sahihi ya kujikinga na mimba zisizotarajiwa na magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI.
Binafsi huwa situmii mara kwa mara kwa sababu nafanya tendo na mwanamke wangu mmoja ninayemwamini.
Changamoto...
Naomba msaada Wana JM kuhusu tofauti ya white wall put na white siment matumizi yake yanaendana katika ufanyaji kazi au kipi ni kizuri zaidi katika finishing ya juma.
Natanguliza shukrani.
Wasalaam wana JF
Kama nchi hii inafuata misingi ya utawala wa sheria basi namshauri bwana Ayubu wa Kongwa kwamba DPP anaweza kumletea shida kwa kuwakubali na kuwalea COVID 19
Naomba kushauri
Uzi tayari!
Kiasi gani cha matumizi unachomwachia mkeo ili kukidhi mahitaji ya kutwa na maandalizi ya chakula cha jioni?
Ambao hatujaoa njooni tujifunze hapa!
Hao ndio wakinga bwana, hawaishi kukushangaza kwa jinsi walivyoimeza Kariakoo ambalo ndilo soko kubwa Tanzania nzima.
Zamani ilishazoeleka hio sehemu wamejaa wachaga na wapemba na makabila mengine madogo madogo kama waha (hawa huwa wanalazimisha mno waonekane wanalingana na wenzao wakubwa)...
Canossa kwa wanaoifahamu ni mojawapo ya shule zinazofanya vizuri kitaifa, mwaka 2018 walishika nafasi no 5 kwenye mtihani wa fomu IV. Leo hii ni kati ya shule zinazoongoza kwenye matumizi ya teknolojia ya ufundishaji Tanzania. Kama umeangalia hio video utagundua wanatumia mfumo unaitwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi anayekwenda kuiwakilisha Tanzania Nchini Malawi Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma.
Makamu wa Rais amempongeza...
kuna hizi simu za nokia g10 nimeona review ziko vizuri kutoka na review nilizoangalia je nyinyi watumia wa nokia g10 ni nzuri kwa picha za mchana na usiku
bei nimeona around 370k za bongo
Mkuu wa wasaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ‘Central Republic of Africa’ (CAR) Obed Namsio alisema mswada unaosimamia matumizi ya ‘cryptocurrency’ ulipitishwa kwa kauli moja na bunge wiki iliyopita na Rais anaunga mkono muswada huo akidai utaboresha hali ya raia wake
Jamhuri ya...
Nianze kwa kumshukuru Mama Samia Suluhu kwa kuifungua nchi na kulinda legacy ya mtangulizi wake.
Iko hivi, naishi na mwanamke ni tumeokotana tu mtaani tukapendana tukaamua kuishi pamoja.
Huyu mwanamke wangu ni mtumishi wa hii serikali ya awamu ya sita katika moja ya hospitali mjini Dar es...
Kwenye hizi gari ndogo za Mjapan ambazo nmefanikiwa kumiliki nimekuwa nikipenda kuwa na Gari ambazo ni Auto Manual- Binafsi mimi ni mpenzi sana wa Gari Manual. Ingawa kwa hizi ndogo ni nadra sana kuzipata Manual. kwa hizi ndogo nimekuwa na Toyota Harrier, Toyota Crown, Toyota Rumion na Toyota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.