Nahitaji Eneo la kununua kwa matumizi ya biashara Chanika

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,451
6,325
Wakuu Hari ya Mwaka Mpya

Naitaji Eneo la kununua Kwa ajili ya kufanyia Biashara,

Eneo liwe karibu kabisa na Barabarani,

Napenda Sana chanika, kama ni chanika mwisho au sehemu yoyote sio nje ya chanika

Mimi Niko Dar so mwenye eneo kama Hilo ambae analiuza please naomba unidm Kwa maelezo zaidi

Quote Reply
 
Back
Top Bottom