Matumizi ya cheti kisicho chako, je sheria ya kuzuia inakuwaje!

Maho gel

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
306
93
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tz wanasheria wenzangu.Samahani kwa yeyote anayejua taratibu za kufuata ikiwa kuna mtu anayetumia cheti chako ( mfano).Na ameajiriwa serikalini na kuacha kazi hataki.Nifuate sheria au taratibu gani Ili aache kazi na asitumie cheti kisicho chake.??Naombeni msaada
 
Ameanza kutumia lini? Wewe muhusika ndiye uliyempa?

Rungu la lilimpita wapi kama enzi hizo alikuwa mfanyakazi kwa kazi anayoifanya sasa.
 
Amekataa kuendelea kukulipa posho kwa kutumia cheti chako?
NB:Kama aliiba,inaudhi sana.Kuna mtu nami aliniibia vyeti vyangu sijampata mwaka wa 13 sasa.
 
Ameanza kutumia lini? Wewe muhusika ndiye uliyempa?

Rungu la lilimpita wapi kama enzi hizo alikuwa mfanyakazi kwa kazi anayoifanya sasa.
Its a long story , ila naomb sheria za kufuata brother
 
Kama haukuchukua RB vilipopotea,kachukue polisi.Muonye asitumie.Akigoma kamkamate na Askari umpeleke mahakamani.
Kama analeta ujuaji mueleze mwajiri wake.Hiyo mijizi ya vyeti siipendi kabisa.Mwizi wangu alinitesa sana.Wako umemfahamu,usimchekee!
Sawa kwa hiyo mwajiri wake anauwezo wa kumsitishia kaz
 
Mwajiri wake ni sehemu ya kuijua nidhamu,weledi na utii wa mwajiriwa.Kama una ushahidi wa awali(usitoe wote kwa pamoja)muoneshe/mpe mwajiri wake.Asipochukua hatua(hata kufuatilia tu) itashangaza.
 
Naomb unipm naomb yako
😂😂😂😂😂Nikisha ku-pm namba yangu utakuwa umenilazimisha "bila shuruti" niache kutumia fake id humu JF.Chukua ushauri niliokupa na wa wengine,uuchanganye.Ukiona una mashiko uutumie mkuu.Pole kwa vyeti vyako/chako kuibwa.Inaumiza sana kwa kupoteza muda na fedha.
Kama atakukimbia au kutoonekana na kuficha cheti,uende na Baraza la Mitihani la Taifa ukiwa na RB,KITAMBULISHO chako cha kazi au NIDA chenye majina yanayoendana na ya kwenye vyeti,barua ya utambulisho au ruhusa ya kazini kwako kama umeajiriwa,uandae na fedha(Sina uhakika shilingi ngapi kwa sasa)ya kutolea tangazo gazetini na bila kusahau passport size/picha tatu.
 
Back
Top Bottom