Hongereni majirani: Tanzania Yaongoza kwa Matumizi ya Bangi Afrika Mashariki

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,751
48,401
Haiwezekani mshindwe kwenye vyote, hampo kwenye riadha, elimu, chumi bora Afrika na mengineyo...walau kwa hili mumewakilisha vyema, na lile pendwa la ushirikina...hehehehe

December 3, 2021 by Global Publishers

Licha ya sheria kali za kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya, tafiti zilizopo zinaonyesha kuwa Watanzania hutumia zaidi bangi kuliko wananchi wengine wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Katika ripoti yake ya mwaka 2019, Data ya New Frontier ya Uingereza iliiweka Tanzania katika nafasi ya tano barani Afrika, huku raia wake milioni 3.6 wakisemekana kutumia bangi.

Ndani ya Afrika Mashariki, Tanzania inashika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na Kenya na Uganda, ambazo zina watumiaji milioni 3.3 na milioni 2.6.

Kulingana na tafiti za New Frontier Data, watumiaji wakuu barani Afrika ni Nigeria (yenye watumiaji milioni 20.8), Ethiopia (milioni 7.1), Misri (milioni 5.9), na DR Congo (watumiaji 5).

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, alisema Novemba 2019 kuwa pamoja na kwamba serikali inapiga hatua katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya, kupata ugumu wa kuzuia kilimo cha bangi katika mikoa sita ya Mara, Tanga, Morogoro, Arusha, Kagera na Ruvuma.
 
wanao vuta bangi ni wapi !.
wakati nyie ndio majambazi,watupa watu mtoni,akili zilizo vurugwa na hizo bangi.hii ta kwimu itakuwa imekosea kuangaliwa wamulike kenya hata bbc walisha wataja sana
 
mzee ndugai ...jamaaa wa yesu na mke wake kule galilaya! alisemaga yeye ni ex-mirembe! jeje yeye mshirika?😅
 
Wewe hujui hesabu; Tz kuna wavutaji 3.6m na Kenya wapo 3.3m, sasa angalia idadi ya watu wa nchi hizo na ufanye Uwiano (ratio) ndio utajua ni nchi gani kati ya Tz na Kny iliyoathirika zaidi.

That's a home work for you.
bro, soma ripoti kwa umakini 👉
Data ya New Frontier ya Uingereza iliiweka Tanzania katika nafasi ya tano barani Afrika, huku raia wake milioni 3.6 wakisemekana kutumia bangi.

Ndani ya Afrika Mashariki, Tanzania inashika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na Kenya na Uganda, ambazo zina watumiaji milioni 3.3 na milioni 2.6.
hongereni sana kwa hili mumeweza kutushinda.
 
bro, soma ripoti kwa umakini 👉

Tz inaizidi kenya kwa idadi ya wavuta bangi lakini mbona husemi pia Tz inaizidi Kenya kwa idadi ya watu !!?

Ukiangalia Report ya Woldometer Kenya leo inayo idadi ya watu 55.6 million na Tz inayo 62.3 million , sasa chukua Ratios; Kenya 3.3/55.6 na linganisha na Tanzania 3.6/62.3, hapo utapata; Kenya ni 1:17 na Tz ni 1:17.3, maana yake ni hii; katika kila raia 17 wa kenya raia mmoja anavuta bangi na katika kila raia 17 wa Tz raia mmoja anavuta bangi kwa hesabu hizo utaona kwamba tupo DRAW na hakukuwa na haja ya majigambo juu ya jambo hilo tulilokuwa SAWA.

Nyie wakenya ndio mnasababisha kilimo cha bangi Tz kisiishe kwani huko kwenu soko ni kubwa sana kuliko huku Tz, 3/4 ya bangi kutoka mkoani Mara inapelekwa kuuzwa Kenya.
 
Haiwezekani mshindwe kwenye vyote, hampo kwenye riadha, elimu, chumi bora Afrika na mengineyo...walau kwa hili mumewakilisha vyema, na lile pendwa la ushirikina...hehehehe

December 3, 2021 by Global Publishers

Licha ya sheria kali za kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya, tafiti zilizopo zinaonyesha kuwa Watanzania hutumia zaidi bangi kuliko wananchi wengine wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Katika ripoti yake ya mwaka 2019, Data ya New Frontier ya Uingereza iliiweka Tanzania katika nafasi ya tano barani Afrika, huku raia wake milioni 3.6 wakisemekana kutumia bangi.

Ndani ya Afrika Mashariki, Tanzania inashika nafasi ya kwanza ikifuatiwa na Kenya na Uganda, ambazo zina watumiaji milioni 3.3 na milioni 2.6.

Kulingana na tafiti za New Frontier Data, watumiaji wakuu barani Afrika ni Nigeria (yenye watumiaji milioni 20.8), Ethiopia (milioni 7.1), Misri (milioni 5.9), na DR Congo (watumiaji 5).

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, alisema Novemba 2019 kuwa pamoja na kwamba serikali inapiga hatua katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya, kupata ugumu wa kuzuia kilimo cha bangi katika mikoa sita ya Mara, Tanga, Morogoro, Arusha, Kagera na Ruvuma.
 
Tz inaizidi kenya kwa idadi ya wavuta bangi lakini mbona husemi pia Tz inaizidi Kenya kwa idadi ya watu !!?

Ukiangalia Report ya Woldometer Kenya leo inayo idadi ya watu 55.6 million na Tz inayo 62.3 million , sasa chukua Ratios; Kenya 3.3/55.6 na linganisha na Tanzania 3.6/62.3, hapo utapata; Kenya ni 1:17 na Tz ni 1:17.3, maana yake ni hii; katika kila raia 17 wa kenya raia mmoja anavuta bangi na katika kila raia 17 wa Tz raia mmoja anavuta bangi kwa hesabu hizo utaona kwamba tupo DRAW na hakukuwa na haja ya majigambo juu ya jambo hilo tulilokuwa SAWA.

Nyie wakenya ndio mnasababisha kilimo cha bangi Tz kisiishe kwani huko kwenu soko ni kubwa sana kuliko huku Tz, 3/4 ya bangi kutoka mkoani Mara inapelekwa kuuzwa Kenya.
hongereni kwa kuibuka kidedea
 
Ratio ni 1:17 kenya na Tz, Tupongezane au tuhurumiane wote jirani, 🤣

Na nyie punguzeni kuvuta ili Wakurya na Wajaluo wa Mara waache kulima kwa ajili yenu.
sio mimi nilosema 👇
Screenshot_20220123-164621~3.png
once again,,, hongereni majirani.
 
Hongereni sana majirani. Msikubali kabisa hili taji litoke nje ya Afrika Mashariki. East Afriiika hoyeee!
 
Back
Top Bottom