Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki...
Wakuu habari ya Jioni.
.
Kuna pahala nimesoma na kuona picha mbalimbali kwamba Stendi ya dala² Mafiga Morogoro Imebadilishwa Matumizi na Kuwa Mnada utakaokuwa unachomwa mbuzi na Watu Kupata Kinywaji.
.
Nimesoma na Kuona Dc Msando akiwakaribisha Kesho wananchi wa Moro kufika Kwa Ajili ya...
Hii gesi yetu kama ingekuwa iko Kenya wakenya wangetengeneza pesa nyingi sana. Wakenya wangekuwa Sasa hivi wanatuuzia gesi ya kupikia majumbani, gesi ya kutumia kwenye magari na viwandani, vifaa vya kuwezesha magari ya aina zote kutumia gesi asilia na kutusambazia vituo vya kujazia gesi kwenye...
Nilikuwa kwenye moja ya mabasi ya Abood, mtu mmoja akabonyeza hiyo button kwenye picha, dereva wa bus akachukua kipaza sauti akamsema vibaya sana na kumtaka aache ujinga, wajuzi wa mambo hiyo button ina kazi gani? Na kama ina hatari kwanini madereva hawatoi angalizo kwa abiria kabla ya safari?
Ni kawaida VIJANA wa kileo kushindana katika kufakamia Red Bull, Monster Energy, MO Energy na vinginevyo, huku Wengine wakioneshana ubobezi wa kuchanganya Vinywaji Hivyo na Pombe.
Chombo Cha UMOJA wa ULAYA chenye Mamlaka ya kusimamia Usalama wa Chakula (European Food Safety Authority...
Wengi tunajua mahusiano ni gharama, hasa kwa upande wa wanaume. Kutumia maelfu, milioni n.k ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano.
Mbaya zaidi, ufujaji wa hizo fedha hauendani na uingiaji wa hizo fedha katika akaunti yako. Utokaji unakuwa ni mkubwa sana kuliko uingiaji.
Tunajua ni hisia pamoja...
Huu utapeli hakufanyika kwa Tamaa kama ilivyozoeleka na ndipo napopata mashaka.
Ni ndugu yangu wa karibu naemwamini sana, nilimtumia pesa laki 6 anunue laptop kwajili ya chuoni. sasa nikawa nafatilia hio laptop naona ananipiga sana chenga, nikafikisha hii kero kwa mama yake ambae ni mamdogo...
Baraza la Jumuiya ya Afrika Mashariki limeongeza muda wa kusitishwa kwa matumizi ya pasi za kusafiria za zamani.
Katika wakati wa mkutano wao wa 41 wa Jumuiya hiyo uliofanyika Jijini Arusha, Tanzania ilipitishwa kuwa tarehe ya mwisho ilikuwa 4 Aprili 2022, lakini sasa Novemba 2022 ndio tarehe...
Chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Kigamboni Dar es salaam)
Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii
Kongamano Maalum la Wanafunzi na Mitandao ya Kijamii- limefanyika Chuo Cha mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo Katibu Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Cde Victoria Mwanziva alikua mgeni...
Matumizi ya tumbaku na bidhaa za tumbaku unazidi kuwa mwiba wa Dunia. Tafiti zinaonesha magonjwa mengi yasiyo ya kuambukiza yanasababishwa na matumizi ya bidha za tumbaku.
Wanabodi,
Kiukweli swala la MAFUTA ni changamoto,
Siku zote bidhaa hupanda kwa sababu soko lake ni kubwa sana,huwezi kuta bidhaa inapanda Bei wakati solo hakuna,
Hivyo hivyo kwa Tz ,Serikali hii ya huyu Bi mkubwa inaongoza kwa matumizi makubwa ya gari zitumiazo MAFUTA kwa wingi bila...
Habari wanajamii!..
Naona mfumo huu wa kulipia huduma kabla ya matumizi umeanza kuwa mfumo pendwa licha ya kuwa mfumo unaomuumiza zaidi mtumiaji au mlaji hususani huduma inapokosa ubora.
Ni kweli wananchi tunapaswa kulipia huduma tunazopatiwa na Serikali ili kusaidia suala zima la uendeshaji na...
Inasikitisha sana kuona wanasherehekea wiki ya maji huku DAWASA ikiuza maji yasiyofaa kwa matumizi ya binaadamu, maji hayo yana kiwango kikubwa sana cha chumvi na harufu ikiashiria kuwa yanatoka kwenye kisima kifupi.
Pamoja na chumvi limo pia tope lenye rangi ya njano na kuna wakati maji hutoka...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ameruhusu matumizi ya Cryptocurrency baada ya benki za nchi hiyo kushindwa kufanya kazi vizuri kutokana na mzozo unaoendelea nchini humo.
Waziri wa Maendeleo ya Digitali amesema cryptocurrency zitatumika kisheria hadi kwenye benki.
===
Kiev legalizes...
Leo Jumatatu bunge la Ulaya litapiga kura kuhusu matumizi ya bitcoin na sarafu nyingine.
Matokeo ya kura hiyo yataamua kuhusu matokeo ya baadae ya bitcoin.
Wanatumia kigezo cha mazingira kwakuwa uchimbaji wa bitcoin unatumia nishati kubwa ambayo uzalishaji wake unachafua mazingira.
Hii kura...
Mara kadhaa kabla ya ununuzi wa simu imesababisha watu wengi kuamini kuwa RAM kubwa zaidi kama 3GB, 4GB, 8GB na 12GB ndio suluhisho kuu la kuboresha utendaji wa simu. Ingawa bila shaka ni muhimu, sio suluhisho pekee la utenda kazi bora, au hata lazima liwe sahihi, kulingana na mahitaji yako...
Mahitaji
-Sukari ya brown kikombe kimoja
-Kahawa ya brown nusu kikombe
-Mafuta ya mzeituni nusu kikombe
-Lemon essential oil kijiko kimoja Cha chai(1tsp)
Hapo kwenye kikombe waweza tumia kikombe Cha chai(mug)au vile vikombe maalum vya kupimia malighafi vile ambavyo vina alama za vipimo.
Hii...
Niliwasikia kamati ya bunge ya mambo ya ukimwi ikishauri kwamba Dawa za kuzuia Mimba (P2) Ziuzwe pamoja na condom kama kifurushi!
Lakini utafiti wangu unaonyesha kwamba wanaotumia P2 hununua hizo dawa baada ya kufanya ngono, SIYO KABLA YA NGONO!
Yaani namaanisha ukiona amekuja pharmacy kununua...
Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake wa jijini Dar es Salaam, Godfrey Chale amewashauri wanawake wanaotumia vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 kuacha kufanya hivyo ili kuepuka madhara yanayoweza kuwapata.
“Utafiti uliofanywa nchini Ghana mwaka 2003 ulionyesha kuwa matumizi ya vidonge...
Habari ndugu zangu hiv karibuni kumejitokeza wimbi LA watu wanao kuwa wanatafuta pesa za zamani hasa kijerumani je hawa watu wanafanyia nn na ukizingatia zishapita mda wake...?
Msaada tafadhari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.