matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. monotheist

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya HDD

    Habari naweza tumia internal HDD ya laptop kwenye desktop kama extenal HDD? Nina dell optilex 7020 core i7 je naweza kuongeza internal HDD 2TB na isilete shida maana nimesikia hdd kubwa zinaua cpu
  2. V

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya lugha ya Kiingereza katika kufundishia na kujifunzia Tanzania

    LUGHA NI NINI? Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu zilizokubalika na jamii ya watu fulani ili zitumike katika kuleta mawasiliano. Tunaposema sauti za nasibu tunamaanisha nini? Ukweli ni kwamba hakukuwa na kikao maalumu kilichokaliwa na watu na kuteua sauti ambazo ni lugha hivyo basi ni sauti za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kila mwanakikundi wa Ngoma kutoka Bagamoyo aliyeenda Marekani kuzindua Royal Tour alipewa Tsh. Milioni 3 kwa siku

    Kumekuwa na madai ya kwamba wasanii walioambatana na Rais Samia Suluhu katika safari ya Royal Tour walikuwa wakilipwa Tsh. Milioni 3 ya kitanzania kama pesa yao ya kujikumu kwa siku nzima kwa siku zote walizokuwepo nchini Marekani.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni afya kwa Serikali kutoa taarifa za mapato na matumizi ya tozo ya miamala mara kwa mara

    Serikali ilipiga kampeni kali ikielimisha juu ya umuhimu wa tozo ya miamala kuwa ingejenga miundombinu mbalimbali nchini ili kuboresha huduma kwa wananchi. Mwanzo wananchi walipiga kelele juu ya utitiri wa kodi au tozo mbalimbali jambo lililofanya serikali kujitokeza na kutolea...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tunauza Miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi au matumizi mengine

    Tunauza miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi wa magorofa , nyumba za kawaida au matumizi mengine tuna mirunda takribani 900 PCs bei yetu ni nafuu sana Mawasiliano. sangmelina85@gmail.com
  6. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kazi

    Jamani Mnaonaje matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kazi….toa maoni yako
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba kudhibiti matumizi ya dawa za Viagra na P2

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema inafanyia utafiti dawa za nguvu za kiume aina ya Viagra pamoja na kuwekea mkakati dawa zinazotumika kuzuia mimba aina ya P2 kwa lengo la kudhibiti uholela wa utumiaji wake. Mkurugenzi wa TMDA, Adam Fimbo wakati amesema utumiaji holela wa dawa za...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Elimu nchini na matumizi ya Teknolojia

    Habari zenu wadau. Natumain hamjambo na mnaendelea vyema na majukumu yenu kujikwamua kiuchumi. Declaration of interest Niweke wazi kwamba mimi ni mdau na mpenzi wa technology kwa maana ya kusomea na katika kutendea kazi. Lakin pia nimekua mdau wa elimu kutokana kuutumia muda mwingi katika...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha matumizi ya Fomu ya 2C inayotumika kuchukua dawa maduka ya nje

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza kuanzia leo Julai 1, 2022 Serikali imesitisha rasmi matumizi ya fomu ya 2C katika Hospitali zote za umma zinazotumia Bima ya Afya mara baada ya kuonekana kuna udanganyifu mkubwa unafanyika. Fomu ya 2C ni karatasi inayoandikwa dawa nakupatiwa mgonjwa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Leo Juni 26 Ni Siku ya Kupinga Matumizi ya Madawa ya Kulevya Duniani

    Juni 26 ni siku ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi Mabaya ya Madawa ya Kulevya na Usafirishaji Haramu, inaadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kuifanya Dunia kuwa huru kwenye matumizi ya Madawa ya Kulevya. Imekuwa ikiadhimishwa tangu kupitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Desemba...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Ubanaji wa matumizi ya Fedha za Serikali tuanze na viongozi wenyewe ndipo tutafanikiwa

    Bajeti kuu ya mwaka huu 2022/2023 chini ya Serikali ya awamu 6 imedhamiria kubana matumizi ya fedha za umma kwa vitendo na kuhakikisha thamani ya fedha kwa kila mradi unao endelea nchini. Suala la kubana matumizi ya fedha za umma unapaswa uanzie kwa kila kiongozi aliye pewa dhamana kwenye eneo...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Bunge nchini Ghana kuchunguza matumizi ya Trilioni 3.5 za COVID-19

    Wabunge wameidhinisha mpango wa kuchunguza matumizi ya Tsh. Trilioni 3.5 zilizotengwa kudhibiti kuenea kwa COVID19 na kuwaokoa raia dhidi ya athari za kiuchumi za janga hilo kufuatia madai ya kutofautiana kwa stakabadhi za malipo yaliyowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Ken Ofori-Atta...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya incubators

    Habari wanajamvi!! Mimi ni mfugaji niliyekuwa nikifuga kuku kwa kununua vifaranga.... Baada ya muda mrefu nimeamua kujipanua kwa kununua incubator ndogo ya mayai 120.... Utotoleshaji wangu wa kwanza, niliweka mayai 120 ila nilipata vifaranga 62, mayai 14 yalionekana hayakurutubishwa, mayai...
  14. Nyambiza jr

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Motor inauzwa kwa matumizi ya viwandani

    Habari wanajf na wafanyabiashara, Motor hii ilikuwa inatumika kwenye Mashine ya Tofali Mixer yenye ukubwa wa 20hp bei ni Tsh 3mil ni Standard ya German.
  15. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara... Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja tu, matumizi kodi za umma hovyo, harufu ya ufisadi, Tozo lukuki kwa wananchi maskini. Je, baada ya miaka mitatu?

    Hapa mnatakiwa mjiulize kwa kutumia akili sana. Kwamba sasa mnaekea wapi watanzania? Tozo kibao kila kukicha. Matumizi ya ajabu ajabu tu. Kwanu Uhuru Kenyatta hana wajomba huko Usa? Vipi kuhusu mikataba ya kijanja wizara ya nishati na madini. Mahindra tech, Lindi Lng. Huu ndio mwanzo tu...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Hatubani matumizi kwa kukopesha watu magari yanayowekewa mafuta na Serikali

    Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa. Njia pekee ya kubana matumizi ya serikali ni kwa kufanya yafuatayo: 1. Kuyafanya magari yote ya serikali yatumie gesi asilia badala ya mafuta na kuyafungia vifaa vya kuyafuatilia mienendo yao. Madereva wa magari ya serikali baadhi yao huwa wanaiba mafuta...
  18. ommytk

    JamiiForums Tanzania Nashauri simu zote ziwe na lugha ya Kiswahili ili kuhimiza matumizi ya Kiswahili

    Katika kuhimiza matumizi ya kiswahili simu nashauri ziwe katika lugha ya kiswahili zote hii itasaidia pia katika matumizi ya lugha
  19. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kutujazia tozo kufidia matanuzi yao

    Hii nchi ilipofikia nafikiri kilichobaki ni watu waamue kujitoa akili tu utaratibu uvurugike mazima hata nusu mwaka hivi then kitakachofuata baada ya hapo tutakaa kamati ya maridhiano maana dunia nzima itakuwa inaelewa hasa kinachoendelea ni nini! Hii biashara ya kubembelezana watu wazima kwa...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi aghairi safari za nje kubana matumizi

    Serikali ya Malawi itaokoa TZS milioni 608.13 kutokana na kufutwa kwa safari mbili za Rais Lazarus Chakwera kama sehemu ya hatua za serikali za kubana matumizi. Rais Lazarus hatahudhuria mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola mjini Kigali, Rwanda, na Kongamano la Maendeleo ya Mfuko...
Back
Top Bottom