Serikali na Wizara ya Afya fanyeni haya kudhibiti maambukizi ya UKIMWI nchini

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,276
21,394
Niliwasikia kamati ya bunge ya mambo ya ukimwi ikishauri kwamba Dawa za kuzuia Mimba (P2) Ziuzwe pamoja na condom kama kifurushi!

Lakini utafiti wangu unaonyesha kwamba wanaotumia P2 hununua hizo dawa baada ya kufanya ngono, SIYO KABLA YA NGONO!

Yaani namaanisha ukiona amekuja pharmacy kununua P2 ujue tayali kashapigwa huko!

Hivyo ukimpakifurushi cha P2 na condom ni sawasawa na kazi bure labda akaipulize kama puto!

Nashauri Ili kupunguza maambukizi ya ukimwi serikali fanyeni yafuatayo

1. Tangazeni na onyesheni mmekamata shehena/kontena ya dawa feki za P2, ikiwezekana Piteni madukani kuonesha mzigo tayali upo sokoni, kisha onyesheni madhara ya hizo dawa feki za P2 iwe ni pamoja na kifafa au festura n.k tafteni hata wagonjwa wa kutengeneza waonekane kuwa chanzo ni P2 wahojiwe na media na waseme walikunywa P2

2. Kamateni wale wote wanaofanya biashara ya kunenepesha au kutoa tiba ya kujazia makalio (shepu), sajari kamateni kwa kisu kilekile kama ilivyo madawa ya kulevya kwasababu Hizo SHEPU Zinadanganya na KUCHACHANGIA SANA UMALAYA hasa wa ngono zembe

3.Toeni elimu ya uzazi wa mpango na matumizi sahihi ya kondomu Mara kwa Mara!

Nawahakikishia Watu watarudi kuvaa Condom bila shurti
 
Kwahiyo wakitangaza hivyo ndio watu wataacha kunyanduana.Ushauri wa maana ni huo wa mwisho maana kuelimika ndo kila kitu ila ule ushauri kule mwanzo,Umetoa ushauri wakijinga bora ungekaa kimya tu.
 
P2 na condomu vinaendanaje? Utatumiaje p2 na condom?

Ila p2 zidumu milele maana kuna watu ukizaa nao ni hatari kwa afya yako kuliko kirusi.

Useless men everywhere.tutakula p2 kama popcorn .kufa kupo palepale
 
Nani asiekufa eti maisha haya??
Mie nashangaaa....alafu sii maamuzi ya mtu mwenyewe bwana. Mbususu raha yake iliwe raw utamu hadi kisogoni...alafu chakushangaza sasa hao hao watengeneza condom alifanya research na wakatuambia kuwa condom upunguza utamu kwa 30%
 
Mie nashangaaa....alafu sii maamuzi ya mtu mwenyewe bwana. Mbususu raha yake iliwe raw utamu hadi kisogoni...alafu chakushangaza sasa hao hao watengeneza condom alifanya research na wakatuambia kuwa condom upunguza utamu kwa 30%
Sasa p2 na condom vinaendanaje eti??
 
... vibinti 14 - 25 yrs vimeathirika haswa na HIV; hasa hivi vinavyozurura mitaani havina kazi za kufanya wala haviko masomoni ni shida!
 
Ila vitamu hivyo balaaa....
... ni watoto wetu; ni taifa la kesho; bila wao kesho hakuna kizazi. Serikali ifanye jitihada za maksudi kuwanusuru hawa mabinti. Hatua mojawapo ni kupiga marufuku kabisa hizo P2 maana zinawatia wazimu; wanaogopa mimba kuliko ukimwi; wanajiona wako salama dhidi ya mimba wakati wanapukutishwa kwa HIV.

Pili, binadamu tuna tabia ya kujisahau sana. Awareness campaigns dhidi ya ukimwi zihimizwe kwenye ngazi zote hadi ngazi za mitaa na vijiji. Bodaboda, bajaji, mabar, kumbi za starehe, n.k. vimeongeza sana risk ya maambukizi so ni muhimu Serikali ije na mbinu mpya pia. Tunaposema "Not to be sold to under 18" hivi kuna mtu anajisumbua kuhakikisha inazingatiwa?
 
Back
Top Bottom