Heshima kwenu wakuu.
Naomba kuuliza kuhusu haya Matokeo ya huyu dogo ataweza kuchaguliwa Form 5 wadau...?
Civics D
History D
Geography C
Kiswahili C
English D
Physics F
Chemistry D
Biology C
Mathematics F
Kwa results hizo ataweza kuchaguliwa 5...? Kama hatochaguliwa aende kozi gani...
Leo tarehe 25/01/2024 Baraza la Mitihani Tanzania, litatangaza matokeo ya mtihani Kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana.
Matokeo hayo yatatangazwa majira ya Saa 5:00 asubuhi kupitia youtube account ya Necta.
Matokeo hayo utayapata hapa punde tu baada ya kutangazwa.
Soma Pia Matokeo mengine...
Wale wenye watoto waliomaliza kidato Cha NNE 2023 mmejiandaaje kupokea MATOKEO ya watoto wenu hapo kesho saa 5.
Na hapa ndo tutaona jinsi wazazi huwa tunachanganyikiwa kuliko watahiniwa.
Ebu fikiria, kama kafeli utatakiwa uwaze juu ya kumpeleka private school, wakati trh 8 tu mwezi huu mifuko...
Kwema Waheshimiwa!
Kwanza sijajua maandamano haya ni endelevu au ni ya siku moja tuu. Maandamano ya amani ni nini hasa? Huwezi ita maandamano ya amani wakati muda huohuo ni kudai haki Fulani. Hakuna maandamano ya hivyo.
Kudai haki zipo njia nyingi kama kukaa mezani, lakini yakishakuwa...
Ee mwumba wetu, umewaunganisha watu katika ndoa takatifu nami natumaini kupokea Sakramenti hiyo na kushirikiana na mwenzangu wa ndoa maisha yangu yote.
Kwa hiyo nakuomba ee Bwana unisaidie kuchagua kwa hekima, nipate mchumba mwema, safi na mwaminifu, nifuate zaidi uzuri wa roho kuliko wa uso...
Kibarua cha Kocha Jose Mourinho kimeota nyasi katika Klabu ya AS Roma kutokana na matokeo mabaya mfululizo ya timu hiyo msimu huu katika Ligi Kuu ya Italia ‘SerieA’.
Kocha huyo wa zamani wa Chelsea na Manchester United ameshinda mechi 68 kati ya 138 lakini hivi karibuni amekuwa akitolewa nje ya...
CDM wamejaribu sanaa ya maandamano si jana si leo. Wameshakuwa na slogani nyingi, ukuta, katiba, M4C.
Hakuna hata moja iliyowahi kufanikiwa.
Mchungaji Msigwq alisema kwamba unapofanya jambo lilelile kwa njia ile ile, utarajie matokeo tofauti, ni uwendawazimu. Njia ya majadiliano imeleta...
Samia chunga sana hii, itakugeuka in the long run! Utafika wakati watatamani urais, uwaziri and the like! waache wanajeshi wakae kambini.
Tabia hujengwa taratibu na baadaye kuwa mazoea.
Shyster politicians kama Chalamila ni wa kudharau!
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku kwa baadhi ya shule ambazo zimekuwa zikiwafukuza wanafunzi baada ya kuwa na matokeo mabaya katika matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili
Waziri Mkenda amepiga marufuku hiyo, Jumanne Januari 9.2024 Jijini Dodoma...
Wadau wa Elimu na Wazazi.
Mtokeo ya Dara's la nne na kidato Cha pili yametangazwa leo.
Napenda kulipongeza Baraza La Mitihani kwani kiukweli kabisa mwaka huu yamkuja matokeo halisi sawa na watoto tunavyowafahamu huku mashuleni na mtaani.
Naomba niseme hivi...
Kidato Cha pili wanfunzi wengi...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji kwa darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023 mchana wa leo.
Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009
NECTA imetangaza Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 4, 2022 Yatazame hapa
National form II Results 2009 aibu
Kwa...
Akitoa salamu za kuaga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka 2024, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu alisema maneno yafuatayo, "mwaka 2023 ulikuwa ni mwaka wa mageuzi na mwaka ujao 2024 utakuwa ni mwaka wa utekelezaji na matokeo zaidi."
Katika hotuba hiyo alianisha masuala mbalimbali ambayo Serikali yake...
Matokeo ya uchaguzi wa urais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yanatarajiwa kutangazwa kesho kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tume ya uchaguzi, huku ushindi ukitarajiwa kwa Rais aliye madarakani Felix Tshisekedi.
Takriban watu milioni 44 walijiandikisha kupiga kura Desemba 20 katika uchaguzi...
Kuna phenomena moja iliyogunduliwa na wanasayansi ya kada ya ‘Quantum mechanics’ ambayo ni ‘wave - particle’ duality ya mwanga.
Hii inakuwaje? Nisikilikze kwa makini
Kwa miaka mingi wanasayansi walikuwa wakiamini kwamba mwanga husafiri kwa mfumo wa mawimbi kupitia ‘medium flani’ ambayo...
Sababu kubwa ni laana za kuwapa wanadamu wenzao nafasi ya au karibu na Mungu.
Hii laana husababisha wahusika kutoridhika na matunzo ya Mungu wao.
Hivyo kumkinai Mungu, kuwakinai wanaowafuata wakiujua ubinadamu wao na kugeukia atheism kama faraja mbadala. Yesu akija atakuta kundi hili kubwa...
Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang
SERIKALI imetumia taarifa za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022 kuthibitisha taarifa za makazi na kaya katika maeneo yaliyoathirika na maafa ya Maporomoko ya tope na...
Wazazi wanaimpact kubwaa sana katika future ya watoto ukizaliwa katika family isio jali future ya watoto automatically upo kwenye risky ya kuongia kwenye chain ya umaskin.
Once ukishaingia kwenye cycle ya umaskin kuchomoka ni ngumuh Sana.
Wazaz wengi WA kiafrika WAnazaa watoto kutafuta sifa...
Mtoto anakuwa boarding maisha yake yote, huko hafanyi kazi yoyote, hafui wala kukimbia mchakamchaka, tumeiga mifumo ya wapi huko?
Na hapa ndipo chanzo cha kuharibu vijana wa nchi hii,
Mtoto ambaye hawezi kufanya kazi zaidi ya kukaa tu, atapata wapi uchungu wa nchi na maliasili zake?
Ataweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.