Maisha Yako ya sasa ni Matokeo ya family background yako

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Wazazi wanaimpact kubwaa sana katika future ya watoto ukizaliwa katika family isio jali future ya watoto automatically upo kwenye risky ya kuongia kwenye chain ya umaskin.

Once ukishaingia kwenye cycle ya umaskin kuchomoka ni ngumuh Sana.
Wazaz wengi WA kiafrika WAnazaa watoto kutafuta sifa watoto hawapat elimu Bora ,no ushauri wowote WA future life n.k

Nenda maeneo mengi ya kijijin utagundua wazazi ni kiwanda Cha kutengeneza poor generations.

Mtoto since day one mzazi hampi mtoto ushauri wowote hâta WA future carrier.

Wewe kama baba mtoto akiwa 7yrs Kaa nae chini mwambie fact about life ,mkazie
asome,mtengenezee hobby ya carrier ya kueleweka kwa Faida ya maisha yake .

Sio baba na mama wote kupost mtoto Mitandaon. Ndo wanaona furaha

.
 
Don't blame anybody in this life.

Kuzaliwa masikini sio laana wala tatizo Ila kuishi kimasikini na kufa ukiwa masikini that is ur problems.

Doesn't matter umesoma au haujasoma u can get success and become rich au financial enough.

If you need to stuck and getting brain freezing all you need is to blame people.
 
Wazazi wanaimpact kubwaa sana katika future ya watoto ukizaliwa katika family isio jali future ya watoto automatically upo kwenye risky ya kuongia kwenye chain ya umaskin.

Once ukishaingia kwenye cycle ya umaskin kuchomoka ni ngumuh Sana.
Wazaz wengi WA kiafrika WAnazaa watoto kutafuta sifa watoto hawapat elimu Bora ,no ushauri wowote WA future life n.k

Nenda maeneo mengi ya kijijin utagundua wazazi ni kiwanda Cha kutengeneza poor generations.

Mtoto since day one mzazi hampi mtoto ushauri wowote hâta WA future carrier.

Wewe kama baba mtoto akiwa 7yrs Kaa nae chini mwambie fact about life ,mkazie
asome,mtengenezee hobby ya carrier ya kueleweka kwa Faida ya maisha yake .

Sio baba na mama wote kupost mtoto Mitandaon. Ndo wanaona furaha

.
Sio kwamba ni kiwnada cha kuzaa ...bali kiwanda cha Kutom......mana.

Ukiwaambia uzazi wa mpango automatically wanaelewa unawazuia kutom....mana.
 
Afrika tunaishi Kiholela sana. Sisi bado tupo kwenye primitive way of living! Bado hatufahamu definition ya kuishi ni nini hasa.

Kwahiyo pole sana Mkuu, kwamba upo hapa Afrika na lazima hali hii ikukumbe. Ni familia chache sana zinazoweza kujikomboa. Ila kadri ya siku zinavyosonga taratibu tutajikomboa kutoka kwenye hii kadhia. Inaweza chukua hata miaka 400 ijayo ila tutajikomboa tu.
 
Unamlaumu vipi mzazi ambaye na yeye hajui anafanya nini duniani kuwa hana maono kwa kizazi chake!

Siku ukitambua kwa nini upo duniani ndio utaishi maisha yako .
Ur right , our parents did what they did according to their parenting ability so if we will focus to blame on them will never grow and get anywhere.

Our purposes matter most.
 
Ur right , our parent they did what they did according to their parenting ability if we will focus to blame them will never grow and get anywhere.

Our purpose is all we need to accomplish in this game of life and nothing Else.
Doctor tena Mhaya unaandika English broken namna hii!
Tanzania English ni ugonjwa usio na tiba!
 
Mleta mada umesema kweli kabisa, sina cha kuongeza Wazazi wetu kwa kiasi fulani huwa wanachangia Sisi Watoto wao kuwa katika hali ngumu Kimaisha kwa njia moja au nyingine sina mengi ya kueleza kwa sababu na Mimi ni Mhanga katika hili jambo. Mwaka 2008 nilianza kujipambania bila msaada wa mtu yoyote na nikaja kuwa tena ndio mtoa masada mkubwa nilipopata matatizo wale wale Wazazi wanakuona tena hufai wanakufanyia Visa. Na ukiangalia kipindi cha nyuma huyo huyo Mzazi anakufanyia mambo ya Kishirikina anataka akutoe kafara ili apate mali. Wadau Wazazi wa Kiafrika ni JAU sana.😂😂😂
 
Mchawi kupambana. Umaskini si tishio, watuzae bado tuwalaumu, acheni hizo...hatujafa hatujaambuki, mitandao istupotezee maadili.
Kuzaa hata Panya anazaa.

Kuzaa sio excuse ya mzazi kukwepa uhalisia wa kwamba yeye ni maskini.

Umaskini ni tishio kubwa sana, Kama umaskini sio tishio huyo mzazi Alishindwaje kuwa tajiri?

Halafu ana tarajia wewe mtoto uje upambane umsaidie yeye.

Mzazi anaye zaa watoto kwa matarajio aje asaidiwe nao, mzazi huyo ni mjinga na mpumbavu.
 
Back
Top Bottom