matokeo

  1. H

    Tunahangaika sana na matokeo ya Sekondari lakini msingi mzuri unaanzia shule za msingi

    Niende tu kwenye mada salamu zenu. Elimu ya msingi ndio mambo yote, ndio kila kitu hapo hayo mengine ni muendelezo tu wa kumuandaa mtoto kuwa professional ndio maana imeitwa elimu ya msingi. Sasa kama mtoto hatapata msingi mzuri wa elimu basi huko mbele itakuwa shida kwake. Nimeona...
  2. MamaSamia2025

    Matokeo ya hii shule ni ya ajabu zaidi kuwahi kuyaona ni private school

    Hii inashangaza. Nimejiuliza maswali mengi. https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/csee/CSEE2023/results/s1475.htm
  3. Mgaratia Wa bongo

    Kwa matokeo haya anaweza kusoma Certificate in Nursing au kuchaguliwa advance?

    CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' COMM - 'D'
  4. Execute

    Matokeo ya Kidato cha Nne yamenikumbusha wakali hawa wa mwaka 2005 kutokea kule Mbeya

    Basi enzi zile kuna mitihani ya darasa la saba ikijumuisha shule za Maanga, Sinde, Mwenge, Nzovwe, Ilemi, Muungano na Ruanda nzovwe kulikuwa na wakali wao mwaka 2001. Stephen Swetala, Ibrahim David, Daudi Mwala, Goodluck Mlwilo, Diligent Mmbaga, Wilson Ngole, Mbawala (wa muungano) na yule jamaa...
  5. Mufti kuku The Infinity

    TBT: Ulipokea matokeo yako ya Form Four ukiwa wapi, na ilikuwaje?

    Mimi ilikuwa mwaka 20__. Nilikuwa zangu nyumbani nimetulia naperuzi tu. Ila nilifurahi sana. Yako yalikukutia wapi, na ilikuwaje?
  6. Niache Nteseke

    Kwa haya Matokeo anaweza kuchaguliwa kwenda Form 5 wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Naomba kuuliza kuhusu haya Matokeo ya huyu dogo ataweza kuchaguliwa Form 5 wadau...? Civics D History D Geography C Kiswahili C English D Physics F Chemistry D Biology C Mathematics F Kwa results hizo ataweza kuchaguliwa 5...? Kama hatochaguliwa aende kozi gani...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza matokeo ya Kidato cha nne 2023. Ufaulu waongezeka

    Leo tarehe 25/01/2024 Baraza la Mitihani Tanzania, litatangaza matokeo ya mtihani Kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana. Matokeo hayo yatatangazwa majira ya Saa 5:00 asubuhi kupitia youtube account ya Necta. Matokeo hayo utayapata hapa punde tu baada ya kutangazwa. Soma Pia Matokeo mengine...
  8. B

    Mapokezi ya matokeo ya Kidato cha Nne 2023

    Wale wenye watoto waliomaliza kidato Cha NNE 2023 mmejiandaaje kupokea MATOKEO ya watoto wenu hapo kesho saa 5. Na hapa ndo tutaona jinsi wazazi huwa tunachanganyikiwa kuliko watahiniwa. Ebu fikiria, kama kafeli utatakiwa uwaze juu ya kumpeleka private school, wakati trh 8 tu mwezi huu mifuko...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Kama maandamano ya Kenya hayakuleta matokeo, tutegemee nini kwenye haya yetu ya Januari 24, 2024?

    Kwema Waheshimiwa! Kwanza sijajua maandamano haya ni endelevu au ni ya siku moja tuu. Maandamano ya amani ni nini hasa? Huwezi ita maandamano ya amani wakati muda huohuo ni kudai haki Fulani. Hakuna maandamano ya hivyo. Kudai haki zipo njia nyingi kama kukaa mezani, lakini yakishakuwa...
  10. sonofobia

    Tumia hii Sala ya kuomba Mchumba Mwema: Utapata matokeo mazuri na utanishukuru

    Ee mwumba wetu, umewaunganisha watu katika ndoa takatifu nami natumaini kupokea Sakramenti hiyo na kushirikiana na mwenzangu wa ndoa maisha yangu yote. Kwa hiyo nakuomba ee Bwana unisaidie kuchagua kwa hekima, nipate mchumba mwema, safi na mwaminifu, nifuate zaidi uzuri wa roho kuliko wa uso...
  11. JanguKamaJangu

    Klabu ya AS Roma yamfukuza kazi Jose Mourinho kutokana na matokeo mabovu

    Kibarua cha Kocha Jose Mourinho kimeota nyasi katika Klabu ya AS Roma kutokana na matokeo mabaya mfululizo ya timu hiyo msimu huu katika Ligi Kuu ya Italia ‘SerieA’. Kocha huyo wa zamani wa Chelsea na Manchester United ameshinda mechi 68 kati ya 138 lakini hivi karibuni amekuwa akitolewa nje ya...
  12. chiembe

    Mch. Msigwa alisema kufanya jambo lilelile kwa njia ile ile utarajie matokeo tofauti ni uwendawazimu

    CDM wamejaribu sanaa ya maandamano si jana si leo. Wameshakuwa na slogani nyingi, ukuta, katiba, M4C. Hakuna hata moja iliyowahi kufanikiwa. Mchungaji Msigwq alisema kwamba unapofanya jambo lilelile kwa njia ile ile, utarajie matokeo tofauti, ni uwendawazimu. Njia ya majadiliano imeleta...
  13. R

    PreGE2025 Politicising the army, matokeo yake nao watatamani Urais

    Samia chunga sana hii, itakugeuka in the long run! Utafika wakati watatamani urais, uwaziri and the like! waache wanajeshi wakae kambini. Tabia hujengwa taratibu na baadaye kuwa mazoea. Shyster politicians kama Chalamila ni wa kudharau!
  14. aise

    Una maoni gani kwa matokeo haya ya kidato cha pili Shule ya Diplomasia inayopatikana Dar?

    Kwa matokeo haya una maoni gani? Shule ipo Jijini Dar es Salam na siyo Nachingwea.
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Prof. Mkenda apiga Marufuku wanafunzi waliopata Matokeo mabaya kufukuzwa shuleni

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku kwa baadhi ya shule ambazo zimekuwa zikiwafukuza wanafunzi baada ya kuwa na matokeo mabaya katika matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili Waziri Mkenda amepiga marufuku hiyo, Jumanne Januari 9.2024 Jijini Dodoma...
  16. data

    Ushauri kwa Serikali juu ya matokeo haya yaliyotoka, FTNA

    Wadau wa Elimu na Wazazi. Mtokeo ya Dara's la nne na kidato Cha pili yametangazwa leo. Napenda kulipongeza Baraza La Mitihani kwani kiukweli kabisa mwaka huu yamkuja matokeo halisi sawa na watoto tunavyowafahamu huku mashuleni na mtaani. Naomba niseme hivi... Kidato Cha pili wanfunzi wengi...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    Baraza la Mitihani latangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji kwa darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023 mchana wa leo. Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 NECTA imetangaza Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 4, 2022 Yatazame hapa National form II Results 2009 aibu Kwa...
  18. Rashda Zunde

    Mwaka 2024 ni wa matokeo zaidi: Haya ni baadhi ya mambo yatakayotiliwa mkazo

    Akitoa salamu za kuaga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka 2024, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu alisema maneno yafuatayo, "mwaka 2023 ulikuwa ni mwaka wa mageuzi na mwaka ujao 2024 utakuwa ni mwaka wa utekelezaji na matokeo zaidi." Katika hotuba hiyo alianisha masuala mbalimbali ambayo Serikali yake...
  19. Suley2019

    Matokeo ya Urais DR Congo kutangazwa Jumapili (Desemba 31, 2023)

    Matokeo ya uchaguzi wa urais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yanatarajiwa kutangazwa kesho kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tume ya uchaguzi, huku ushindi ukitarajiwa kwa Rais aliye madarakani Felix Tshisekedi. Takriban watu milioni 44 walijiandikisha kupiga kura Desemba 20 katika uchaguzi...
  20. FRANCIS DA DON

    ‘Young’s double slit‘ na ‘Delayed choice quantum eraser’ inavyotumika kupredict matokeo ya mechi za mpira kwa uhakika wa 100% (CERN facility)

    Kuna phenomena moja iliyogunduliwa na wanasayansi ya kada ya ‘Quantum mechanics’ ambayo ni ‘wave - particle’ duality ya mwanga. Hii inakuwaje? Nisikilikze kwa makini Kwa miaka mingi wanasayansi walikuwa wakiamini kwamba mwanga husafiri kwa mfumo wa mawimbi kupitia ‘medium flani’ ambayo...
Back
Top Bottom