Mapokezi ya matokeo ya Kidato cha Nne 2023

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
1,176
2,279
Wale wenye watoto waliomaliza kidato Cha NNE 2023 mmejiandaaje kupokea MATOKEO ya watoto wenu hapo kesho saa 5.

Na hapa ndo tutaona jinsi wazazi huwa tunachanganyikiwa kuliko watahiniwa.

Ebu fikiria, kama kafeli utatakiwa uwaze juu ya kumpeleka private school, wakati trh 8 tu mwezi huu mifuko imetobolewa.

Ngoja tusubiri tuone
 
Nimemtuma kijana wangu bia 2 ninywe huku nasubiri matokeo yake nimefanya divide & rule kwa wale tuliopiga adv maths integration tunajua codes zetu
 
Back
Top Bottom