matokeo

  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya lapokea Muswada unapendekeza Maafisa wa Tume watakaochelewesha Matokeo kufungwa Miaka 5 jela

    KENYA: Bunge limepokea Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Makosa ya Uchaguzi wa mwaka 2024 ambao unapendekeza kuwekwa Kifungo cha Miaka 5 jela kwa Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) watakaochelewesha kutangaza Matokeo . Muswada huo unasomeka "Itakuwa ni makosa kwa Wajumbe na...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Hili tabasamu la wavuvi nchini ni matokeo ya uweledi wa Rais Samia

    Na Mwl Udadis, Nyamagana Kitendo cha serikali chini ya uongozi wa Rais Samia kutenga kiasi cha zaidi ya bilioni 11 kwa ajili ya kuboresha mazingira ya wavuvi moja kwa moja ni kitu cha kihistoria. Hatua hii inaleta matumaini makubwa kwa wavuvi wengi, ikiwemo kanda ya ziwa ambapo zaidi ya wavuvi...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya magoli mengi ya kufunga Magoli yaliyoamua mechi ya leo Machi 10, 2024 yamefungwa na John Stones kwa...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mwana Simba SC ambaye kwa matokeo ya jana anajipa matumaini ya ubingwa NBC akatibiwe uwendawazimu haraka

    Tusubiri tu hiyo wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 kwao ili Akili zitukae sawa na tujue kuwa hatuna Wachezaji wala Uongozi thabiti. Nimemaliza.
  5. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kama mliaminishwa kufungua Chaneli ya WhatsApp ni Mafanikio, sasa watawaaminisha Viwanja vya Mikoani ndio chanzo cha Matokeo Mabovu

    Mkishaonwa HAMNAZO mtakuwa mnapewa kila sababu na mtakubali because nyie ni HAMNAZO. Yaani jitu linavuta Oxygen hii ya buree saiv zaidi ya miaka 20 halijawahi ilipia linakuja danganywa kuwa tunapata matokeo mabovu viwanja vya mikoani kwa sababu wachezaji wetu hawako comfortable na viwanja hivi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Higher testosterone level kwa mwanamke

    Hello wadau, Naombeni kufaham kiwango cha hormone ya testosterone kikiwa juu Sana kwa mwanamke Kuna faida zipi Na hasara zipi
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kwa goli hili, Mechi ya Wydad vs ASEC ilikuwa ni Fixed Match?

    Angalieni video ya goli la Wydad vs ASEC, hii ilikuwa live ni FIXED MATCH. CAF wanapaswa kufuatilia skendo hii na kuchukua hatua kali kwa wahusika Bahasha zinatembea hadi CAF?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna matokeo mazuri baada ya kuboost/kufanya sponsor post ya biashara kati ya facebook na instagram

    Hey naomba kuuliza wapi kuna matokeo positive baada ya kuboost post ya bidhaa yako?? Kwenye wateja namaaanisha Na je naweza kuweka pesa kiasi gani ili niweze kupata matokeo MAZURI ?
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mlio tayari na Matokeo ya Simba na Jwaneng Galaxy nipeni kwani Mimi Mganga wangu tegemezi kapofuka Macho hivi punde tu

    Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Ngumi za leo kati ya Kidunda na Msouth yanatia aibu, Kidunda kabebwa

    Namshauri Kidunda aache ngumi , amekwisha , akiendelea atadhalilisha jeshi letu , na ikibidi astaafishwe kinguvu Hatuwezi kuendelea kubebwa kibwege namna hii Kingine ni hiki , wanajeshi kuja na magwanda na mabuti walitaka kumtisha nani ? siku wakija na makombora mtaendelea kunyamaza ? huu ndio...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally aliumizwa sana na matokeo ya CR BELOUIZDAD kwa Mkapa

    Utani wa aina hii hausaidii timu yako kufanya vizuri. Huwezi kuifananisha Horoya na CR BELOUIZDAD hata kidogo. Nadhani hakutarajia kuiona CR BELOUIZDAD ikifungwa goli 4-0 na yanga kutinga robo finali siku hiyohiyo kabla ya mechi moja mkononi. Anaweweseka na kufadhaika, hakulala siku ile. Ahmed...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Vita vya wenyewe kwa wenyewe Afrika ni matokeo ya viongozi waliokosa utu na hekima

    Mmeshindaje wanaJF wenzangu? Tukiangalia kona nyingi ama nchi nyingi za Afrika zipo ndani ya vita vya ndani ambapo wahanga wakuu ni wananchi ambao kila anayepigana anataka kuwwtawala. Riek Machari na Salva Kiir ni mfano wa kuangalia namna ambavyo kiongozi na aliyekuwa makamu wake wanavyoiona...
  13. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu wa kidigo aliweka huu wimbo baada ya game ikabidi tufute matokeo tuanze mechi upya

    Huyu msanii anaitwa yammi mpelekeeni mauwa yake kutoka kwangu. Nilikua kwa mchepuko, baada ya game nimeenda kuoga yeye anarekebisha mambo si akaweka huu wimbo, nikawasha shazam ikaudaka unaitwa kiuno https://m.youtube.com/watch?v=TbSuWP0taQw&pp=ygUGWWFtbWkg Mtoto alikua kavaa kanga tu...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kile ambacho unakionea aibu ndio hichohicho kitakachokupa matokeo yatakayo kushangaza

    Jambo wote! Leo sina mengi ya kusema, ni hivi. Ikiwa kuna jambo lolote akili mwako unajua ukilifanya utapata pesa. Lakini unaona aibu kuwa Watu watakuonaje au utadharaulika. Taikon Master kama mtaalamu wa Mindgame ninakuambia jambo hilohilo ndio litalokupa matokeo yatakayokushangaza. Maisha ni...
  15. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya ushirikiano kati ya China na Afrika yafanya Kombe la Afrika kung'aa zaidi

    Michuano ya 34 ya Kombe la Mataifa ya Afrika inaendelea nchini Cote d'Ivoire. Kwenye lango la kuingia katika Uwanja wa Olympic wa Abidjan, mji mkuu wa kiuchumi wa Cote d'Ivoire, mashabiki kutoka nchi mbalimbali waliokuwa wamevalia bendera za nchi zao na kushikilia pembe ya kupuliza wamejaa...
  16. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Tumepuuza namna ya Ki'Magufuli ya kuendesha nchi yetu matokeo yake tumeharibikiwa kila pahala!

    Kuifanya akili igome kukumbuka tulikokuwa tumefika kama nchi, tukasahau masuala ya shida ya umeme, huko kunaitwa ni unyanyasaji wa mfumo ubongo, na anayekataa tusikumbuke ni aidha yeye ndo mchawi wa hii nchi Na nataka niwaambie wote mliokuwa mkimdhihaki Magufuli, sasa mnaumbuka vibaya sana...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Je, Chris Rock kuabika ni matokeo ya kumtania Mungu?

    Chris Rock alipigwa kofi na Will Smith huku dunia nzima ikitizama aibu hio. Ila kabla ya hili tukio Chris alifanya stand up on "Netflix is a joke". Kati ya moja ya jokes alizotoa ni ile ya kusema kwamba anashangaa eti kwa nini watu wanasema eti Mungu hafanyi makosa. Akasema kuwa inakuwaje...
  18. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Abdulhafar: CCM ni wazoefu wa kupokea matokeo ya kushinda na kushindwa, upinzani wafundishwe

    Mbunge Abdulhafar Juma akichangia kwenye miswada ya sheria uchaguzi ametoa pendekezo la kuongeza kipengele cha kutoa elimu namna ya kupokea matokeo. Akisema, "Kushindwa kwa baadhi ya viongozi katika uchaguzi ndio kunaleta kitahalani katika taifa. Kumbe labda tu kwasababu hawana elimu. "Nadhani...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Tunahangaika sana na matokeo ya Sekondari lakini msingi mzuri unaanzia shule za msingi

    Niende tu kwenye mada salamu zenu. Elimu ya msingi ndio mambo yote, ndio kila kitu hapo hayo mengine ni muendelezo tu wa kumuandaa mtoto kuwa professional ndio maana imeitwa elimu ya msingi. Sasa kama mtoto hatapata msingi mzuri wa elimu basi huko mbele itakuwa shida kwake. Nimeona...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya hii shule ni ya ajabu zaidi kuwahi kuyaona ni private school

    Hii inashangaza. Nimejiuliza maswali mengi. https://matokeo.necta.go.tz/results/2023/csee/CSEE2023/results/s1475.htm
Back
Top Bottom