Matokeo ya Ngumi za leo kati ya Kidunda na Msouth yanatia aibu, Kidunda kabebwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,751
218,339
Namshauri Kidunda aache ngumi , amekwisha , akiendelea atadhalilisha jeshi letu , na ikibidi astaafishwe kinguvu

Hatuwezi kuendelea kubebwa kibwege namna hii

Kingine ni hiki , wanajeshi kuja na magwanda na mabuti walitaka kumtisha nani ? siku wakija na makombora mtaendelea kunyamaza ? huu ndio uzalendo wa wapi ?

Screenshot_2024-03-02-03-01-47-1.png
 
Mbona kavimba sana?😂😂😂 daaah kalitia aibu taifa huyu kenge hana tofauti na sungusungu!😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom