Je, Chris Rock kuabika ni matokeo ya kumtania Mungu?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Chris Rock alipigwa kofi na Will Smith huku dunia nzima ikitizama aibu hio.
e26d18d352ab687f5f201859a430c44f.jpg

Ila kabla ya hili tukio Chris alifanya stand up on "Netflix is a joke". Kati ya moja ya jokes alizotoa ni ile ya kusema kwamba anashangaa eti kwa nini watu wanasema eti Mungu hafanyi makosa. Akasema kuwa inakuwaje Mungu alie perfect tena aweze kupumzika siku ya saba.

Aliendelea kwa kutoa mfano kuwa kama mtu unafanya kazi na inaenda vizuri hauwezi pata fikra yoyote ya kupumzika ila utaendelea hivyo hivyo hadi pale itakapotokea ghafla umeanza kuvurunda ndio utapata fikra ya kuamua kupumzika ili usije kuharibu zaidi kazi yako.

Kwa maelezo yake alimaanisha kuwa Mungu katika uumbaji wake alianza vizuri hadi pale alivyovurunda ndio akaamua kupumzika siku ya saba. Kwa maelezo yake ndio maana kuna vitu tunavyoviona vibaya na vingine vizuri.

TAZAMA VIDEO ALIYOKUWA AKIYASEMA:

View: https://youtu.be/5bbKnj1-mR0?si=IameMGFp3H612Pdq
 
mahusiano ya Jadda na Will hayapo sawa tokea muda mrefu, ndo kinachomsumbua Will

Will anafanya mambo ya ajabu akidhani anarekebisha mahusiano kumbe anazidi kuharibu

Ndo kilichosababisha akampiga Chris kofi
 
Huyo dada yetu will Smith tangu aaze kupumuliwa amekuwa na hasira za karbu,,
 
Comedians wengi tu wamefanya alichokifanya Chris Rock ila hawajawahi kupigwa makofi.
 
huyu mtoa mada ni 🌈 rainbow
Yaani jamaa ulishabgaza sana ulimwengu wa JF huwezi kufutika kirahisi umeshaingia katika kitabu cha hukumu huna la kutuaminisha
 
Mstari pekee kwenye biblia niliouelewa ni Kule kwenye kitabu Cha mhubiri, wanaposema haya yote ni ubatili mtupu, yaani binadamu maisha yetu hayana Amani basi tu, mtu kama will Smith ana utajiri kama bilioni 870 za kitanzania eti nae unakuta Hana Amani anateswa na kajada hako sijui.... Huku mwingine akiomba siku akipata kwake tu, usafiri na kazi ya uhakika maisha anakua kayapatia......
 
Hata kama Will na Jada hawaelewan ila kumvunjia heshima mama wa watoto wake sio sawa,Will yupo sawa
 
Chris Rock alipigwa kofi na Will Smith huku dunia nzima ikitizama aibu hio.
View attachment 2891581

Ila kabla ya hili tukio Chris alifanya stand up on "Netflix is a joke". Kati ya moja ya jokes alizotoa ni ile ya kusema kwamba anashangaa eti kwa nini watu wanasema eti Mungu hafanyi makosa. Akasema kuwa inakuwaje Mungu alie perfect tena aweze kupumzika siku ya saba.

Aliendelea kwa kutoa mfano kuwa kama mtu unafanya kazi na inaenda vizuri hauwezi pata fikra yoyote ya kupumzika ila utaendelea hivyo hivyo hadi pale itakapotokea ghafla umeanza kuvurunda ndio utapata fikra ya kuamua kupumzika ili usije kuharibu zaidi kazi yako.

Kwa maelezo yake alimaanisha kuwa Mungu katika uumbaji wake alianza vizuri hadi pale alivyovurunda ndio akaamua kupumzika siku ya saba. Kwa maelezo yake ndio maana kuna vitu tunavyoviona vibaya na vingine vizuri.

TAZAMA VIDEO ALIYOKUWA AKIYASEMA:

View: https://youtu.be/5bbKnj1-mR0?si=IameMGFp3H612Pdq

Comedians kibao wanamdhihaki Mungu na hawajapatwa na aibu yoyote.

Katazame show inaitwa "Real Time With Bill Maher" na specials za Bill Maher uone Bill Maher anavyomdhihaki Mungu karibu kila wiki akiwa kwenye TV.

Mbona hajaaibika?

Your theory has failed.
 
You are either a rushing deer or just stupid.

Which theory have i concluded

Tuna shida gani wabongo uelewa???

Mimi nimeuliza swalii. Sijasema
Nimeuliza swali, sijasema
Nimeuliza swali, sijasema.
 
You are either a rushing deer or just stupid.

Which theory have i concluded

Tuna shida gani wabongo uelewa???

Mimi nimeuliza swalii. Sijasema
Nimeuliza swali, sijasema
Nimeuliza swali, sijasema.
Kwani swali ndiyo haliwezi kuwa theory?

Your question is based on some cockamamie thinking.
 
Mbona Ricky Gervais anampiga spana Mungu kwenye show zake kibao tu na juzi kashinda tuzo!
 
Mbona Ricky Gervais anampiga spana Mungu kwenye show zake kibao tu na juzi kashinda tuzo!
Huyo jamaa ana nia ya kusambaza ujinga wake tu hapa hana lolote.

Unajua kama ushaangalia courtroom dramas, kuna tabia moja ya mawakili, kama wanataka ku poison mawazo ya jury, wanauliza swali moja outrageous, halafu swali linapewa objection, linaondokewa, lakini ndiyo lishaulizwa na wakili kisha poison mawazo ya jury.

Ndicho anachofanya huyu kwa kisingizio cha "si nimeuliza swali tu".

A very stupid tactic.
 
Back
Top Bottom