Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la jamhuri ya Tanganyika. Mimi ni muumini wa dini ya kiislam Ambae Kwa kiasi Fulani naweza kusema Imani yangu imeteteleka kutokana na baadhi ya matendo ya watu wa Imani ambao nilikuwa na waamini sana ila mwisho wa siku wanafanya mambo kinyume na maelekezo ya Dini...
TRUE STORY
Hello members nipo hapa kushare true story inayonihusu mimi na mrembo wangu tuliopendana sana na jinsi tulivoishi kwa miaka mi3 morogoro mjini na mpka tulipoishia. Karibuni.
Nitakuwa natumia codes za aina tofauti kulingana na ambacho nitatakiwa kuhide na mm nitatumia jina Camavinga...
Wadau,
Tuko kituo cha Msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi. Tumekaa kama masaa 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300.
Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nini?
Nawasalimu Nyote
Nimekuwa na changamoto ya kupata AVN nilihitimu Diploma 2015...nikafanya hatua zote za online za kuiomba AVN nikafika mpaka NACTE wakaagiza chuo kiandike barua ya kuomba kufunguliwa mfumo waingize matokeo yangu sasa ni wiki ya tatu inaenda ya nne nikipiga simu chuoni...
Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa.
Haki zetu wenyewe nazo...
Baada ya masuala ya Jumuia asbh na tafakari ya waraka wa TEC. Yako mengi mazito, tutajadili moja moja kila fursa inapopatikana. Nimeona SUALA LA MANYANYASO KWA WAMASAI YAMEPEWA UZITO. angali hoja za utangulizi na. 9 ...inasema
9. Kupuuza sauti ya wananchi juu ya uwekezaji usiosikia sauti yao...
Kuna kijiwe ambacho mida ya jioni, wazee hukutana kujadili baadhi ya vitu na kubadilishana mawazo, watu wengi hukusanyika hususani vijana kuchota busara za wazee hao.
Watajadli mambo mbalimbali kuanzia mpira, Imani mpaka siasa na yote wanayojadli vijana huokota chochote Cha kuwafaa maishani...
Je, Rostam Aziz kashamuweka Kiganjani?
Tangu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dk James Mwainyekule ambaye pia ni mume wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akamate kiti hiki, Mafuta yamekuwa ya Tabu sana kupatikana.
Napendekeza aondolewe ili kuokoa...
MATESO NA KUFELI KWAKO UKIWASIMULIA HUFURAHI MIOYONI MWAO; MAFANIKIO YAKO HUWACHOMA.
Anaandika, Robert Heriel
Hili wengine tulishalijua zamani za kale, Sisi wengine huwezi kusikia shida zetu, yaani Watu wakituona hutuona kama wala Bata, Maisha Safi, Watu tusio na shida. Muda wote tunafuraha...
Miaka ya 2005 wizi wa kutumia silaha za jadi ulikithiri sana Dodoma. Katika kijiji tulichokuwa tunaishi. Pale nyumbani tulikuwa na duka kubwa hivyo siku hiyo jamaa walipanga kuja kuvunja na kuiba.
Mida ya sa 5 usiku duka limefungwa, tumeingia kulala, tukasikia jamaa wanafoka nje huku wananoa...
Kwa sababu,
Nilijaribu kuuliza wazee ambao enzi za ukoloni walikuwepo na walikuwa na akili, wakasema hawajahi huexperience hayo mateso mliyosoma.
Nikiangalia ushahidi wa akili, wakati tunaelezwa wakoloni walikuwa wakitutesa, hawakutaka waafrika tusome, tuendelee kwa namna yoyote ile.
Najaribu...
DC Mstaafu Simon Odunga anaandika
Endelea kutabasamu CHUMA, mpaka sasa bado hakuna wa kulinganisha na wewe. Najua hayupo aliyekamilika 100% lakini najua hata miaka 50 ijayo bado itakuwa vigumu kumpata Rais wa watu kama wewe. Ulijitoa Mhanga kwa ajili ya Taifa hili, "Legacy" yako itaishi hata...
Dada yangu 49 years now ameajiriwa kwenye Hospitali Binafsi kubwa sana hapa Dar, ana kijana wake wa kiume ambae ndio alitegemea aje hata aonyeshe njia maana watoto wake wengine ni tia maji wote wanamsumbua huyu ndio alijua atakuja kumfuta machozi, Cha kwaza kijana wakati yupo form six tu...
Wakati Dunia ikiwa inaendelea kupigana vita ili kumuokoa mtoto wa kike kutoka kwenye kitanzi cha ndoa za utotoni BAKATWA wamemekuja na kauli yao ya kupinga kuondolea kwa sheria ya ndoa inayoruhusu mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wake.
Ajabu ni kwamba wao wameongza kuwa mtoto wa...
Habarini!
Wenye ujuzi tupeane maarifa kidogo tafadhali.
Msingi wa swali langu unaegemea zaidi maisha ya wanyama hawa wala nyasi. Naona maisha yao yamejaa tabu na mateso na wasiwasi mtupu.
Wakikoswa kupigwa meno ya shingo na kunyonywa damu na simba au chui basi huishia kuliwa kwa kumegwa...
Shamba la mifugo la Utegi kisheria ni shamba la vijiji vinavyoizunguka shamba hilo na walipewa na Serikali baada ya kuilipa Serikali jumla ya Tshs.90,000,000 (millioni tisini). Na kama nasema uongo, naomba kusahihishwa.
Awamu ya Tano ilipoingia madarakani, iliichukua shamba hili bila kukaa na...
Ndani ya miaka hii miwili watanzania wameshuhudia na kupitia katika kipindi kigumu pengine kuwahi kutokea Tanzania. Ni kipindi ambacho huenda kinyozi wa saluni amefunga ofisi yake si chini ya mara 5 kwa wiki, Ni kipindi ambacho tumeshuhudia kuibuka watu wanaoitwa chawa! Ni kipindi ambacho kimeua...
Hapa kavalishwa Jacket la Suit ya Mwakalebela. Zito limemvaa. Anajitahidi kusimama wima. Unamwona tu kachoka. Huyu dogo ameteswa sana. na miwani ya welding anasema hapo alikuwa hata haoni vizuri mbele. Ila ndo aliambiwa avae hivyo apendeze
Sielewi kwa nini walikuwa wanamfanyia hivi. Hapo bado...
Habari zenu wana JF wenzangu.
Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili.
Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.