Waraka wa Maskofu TEC una mengi: Umegusa mateso ya wamasai na vijana wasio na ajira

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,061
Baada ya masuala ya Jumuia asbh na tafakari ya waraka wa TEC. Yako mengi mazito, tutajadili moja moja kila fursa inapopatikana. Nimeona SUALA LA MANYANYASO KWA WAMASAI YAMEPEWA UZITO. angali hoja za utangulizi na. 9 ...inasema

9. Kupuuza sauti ya wananchi juu ya uwekezaji usiosikia sauti yao. kumewaletea pia wananchi wa maeneo wanayoishi mateso, kama inavyoonekana kwa jamii za Wamasai wa Loliondo, ambao haki zao za kiutamaduni na kijamii zimekiukwa. Uwekezaji umepewa kipaumbele kisicho na tija na raia wa Kimasai wameachwa wakiteseka

Nimewaza kwanini wamasai kuhamishwa eneo lao la asili ? Lile eneo tunamwachia nani? Utu wao umekuwa dhalili kiasi gani? Mfano kama ni suala la kupisha maeneo ya watalii mbona hawa hawahamishwi

1. Wapogoro na waluguru, wandengereko na wamatumbi walio pembezoni ya Mikumi na Seluo
2. Wananchi wa Zanzibar, Bagamoyo na kilwa ili wasiharibu maeneo ya utalii ya kihistoria
3. Wananchi wanaomaliza miti kwa mikaa mikoani kote maana wanaharibu mazingira ya nchi?

Kwanini wamasai? Kanisa sasa limewasemea. Tumsifu Yesu Kristu
 
Mama anajitahidi kutatua kila kitu ila nyie vichaa ndo mnamkwamisha. Unafikiri swap la ajira litaishaje kama siyo kuwa na uwekezaji madhubuti kama huu wa dp world. Kila siku investors wanamiminika tofauti na jpm ambaye walikuwa wanakimbia nchi kila kukicha na ikatikea kundi kubwa la wasomi kuwa machinga nchi nzima mana hawana Cha kufanya tena. Ndani ya mda mfupi mama katoa ajira almost kila pahala, jeshi, polisi, takukulu, walimu, ma ank ndo usiseme wakati kipindi Cha jpm kila kitu kulikuwa kimesimama kupisha barabara
 
Mmekiri nyie ni wezi hamuwezi fanya chochote. Nani atawaajiri sasa. Mmeshindwa kabisa ..kifupi msubiri mpewe kitakachobaki.
 
Mama anajitahidi kutatua kila kitu ila nyie vichaa ndo mnamkwamisha. Unafikiri swap la ajira litaishaje kama siyo kuwa na uwekezaji madhubuti kama huu wa dp world. Kila siku investors wanamiminika tofauti na jpm ambaye walikuwa wanakimbia nchi kila kukicha na ikatikea kundi kubwa la wasomi kuwa machinga nchi nzima mana hawana Cha kufanya tena. Ndani ya mda mfupi mama katoa ajira almost kila pahala, jeshi, polisi, takukulu, walimu, ma ank ndo usiseme wakati kipindi Cha jpm kila kitu kulikuwa kimesimama kupisha barabara
Nimeongelea suala la wamasai. Jikite hapo
 
Back
Top Bottom