Mwendo Kasi Msimbazi ni mateso makubwa sana

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,574
Wadau,

Tuko kituo cha Msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi. Tumekaa kama masaa 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300.

Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nini?
 
Kiukweli mwendo Kasi ni tatizo kubwa sana kwa Sasa kwenye usafiri hapa dar es salaam. Badala ya kupunguza changamoto za usafiri hii mwendo Kasi imeongeza changamoto.

Ninachokiona pale ni kukosa usimamizi madhubiti na kuogopana tu. Madhira makubwa yanaenda kwa watumiaji ambao hawana mbadala na kama mbadala upo basi ni mgumu zaidi kwaiyo mtanzania anateseka na Kodi yake.

Wao wapo kwenye V8 hawawezi kuelewa keto zetu.
 
Mhede with his arrogance cannot successfully manage any business, anajua majivuno with hypothetical ideas
 
Hao inabidi muende wengi mdai hela irejeshwe muangalie usafiri mbadala ,ukiwa mmoja unadai wanajifanya kukaza
 
Wadau ,,tuko kituo cha msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi ..Tumekaa kama masala 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300,,Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nin
Nilitaman hawa mawaziri nao wapende huo usafi ili waone adha ya watu wanaopata
 
Kiukweli mwendo Kasi ni tatizo kubwa sana kwa Sasa kwenye usafiri hapa dar es salaam. Badala ya kupunguza changamoto za usafiri hii mwendo Kasi imeongeza changamoto.

Ninachokiona pale ni kukosa usimamizi madhubiti na kuogopana tu. Madhira makubwa yanaenda kwa watumiaji ambao hawana mbadala na kama mbadala upo basi ni mgumu zaidi kwaiyo mtanzania anateseka na Kodi yake.

Wao wapo kwenye V8 hawawezi kuelewa keto zetu.
Unavyo kuwa na raisi asiwezi kusimamia kil kitu halafu anataka tumheshima ni janga kwa kweli
 
Back
Top Bottom