Je, ni kweli wakoloni walikuwa na mateso kama tulivyosoma kwenye historia?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,537
4,517
Kwa sababu,

Nilijaribu kuuliza wazee ambao enzi za ukoloni walikuwepo na walikuwa na akili, wakasema hawajahi huexperience hayo mateso mliyosoma.

Nikiangalia ushahidi wa akili, wakati tunaelezwa wakoloni walikuwa wakitutesa, hawakutaka waafrika tusome, tuendelee kwa namna yoyote ile.

Najaribu kuangalia moja katika matunda ya wakoloni waliyotuachia kipindi chote walichokuwepo hapa.

Hawa akina NYERERE, KAWAWA, KARUME, NA WENZAKE WENGI WALIOSOMA KATIKA UTAWALA WA KIKOLONI...KULIKO NA WATU WALIOSOMEA UDAKTARI WA KIAFRIKA.

kuna walioajiriwa jeshini waafrika, mashuleni walimu wa Afrika walikuwepo.

Serikalini akina nyerere na wenzake walikuwepo, Mpaka bungeni. Akateuliwa kuwa WAZIRI MKUU. Sasa aliteswaje hapo, aliweza kusomeshwa yeye mwenyewe mpaka Makerere mpaka EDINBURGH. Hao hao wakoloni, sasa huo ubaya wao upo wapi?

Waafrika walikuwa huru kiasi cha kuanzisha hata klabu za mpira SIMBA NA YANGA.

Elimu ilikuwa haina mizunguko kama hii, mtu akifaulu ajira zipo nyingi tu.

Watu wa dini waliweza kusafiri sehemu mbalimbali kwenda kusoma na kujifunza dini zao...mfano vituo vya kielimu Tanga na Mombasa.

Watu waliweza hata kukaa kwenye vijiwe vya kahawa na kucheza bao na nyerere kujadili kupata uhuru...

SASA HUO UBAYA WA WAKOLONI TUNAOFUNDISHWA MASHULENI UPO NAMNA GANI? MBONA MAELEZO YA KIHISTORIA YA WATU HUSIKA YANAPINGANA NA HII HISTORIA.

AU NI UROHO WA MADARAKA WA WAAFRIKA TU NDIO WALICHOKUWA WANAPIGANIA NA WAO WAITWE MARAIS NA MAWAZIRI WAKATI UWEZO WA KUJENGA NCHI HAWANA?

HAYA YANAYOENDELEA NA HAWA WAAFRIKA WENZETU, SI BORA HAO WAKOLONI?

Naomba MAMA SAMIA AIUZE HII NCHI HATA HUKO DUBAI, INAWEZEKANA KUKAWA NA NAFUU...KULIKO KUWA NA MIAKA 68 YA UHURU WA UONGOZI WA WAAFRIKA WENZETU MAKATILI KULIKO MBWA MWITU.
 
Ambacho kimefichwa kwenye history ni kuwa hao wanaoitwa wakoloni walikuwa 12 Tu huku Tanganyika...
Walikuja wakaanzisha makanisa wakawachukua waumini na kugeuza kesho lao....
Kwahiyo sehemu kubwa ilikuwa watu weusi tunapigana wenyewe Kwa wenyewe....Kwa niaba ya wakoloni hao wazungu
 
"
Kwa sababu,
Nilijaribu kuuliza wazee ambao enzi za ukoloni walikuwepo na walikuwa na akili...wakasema hawajahi huexperience hayo mateso mliyosoma...

Nikiangalia ushahidi wa akili... wakati tunaelezwa wakoloni walikuwa wakitutesa...hawakutaka waafrika tusome, tuendelee kwa namna yoyote ile.

Najaribu kuangalia moja katika matunda ya wakoloni waliyotuachia kipindi chote walichokuwepo hapa...

Hawa akina NYERERE, KAWAWA, KARUME, NA WENZAKE WENGI WALIOSOMA KATIKA UTAWALA WA KIKOLONI...KULIKO NA WATU WALIOSOMEA UDAKTARI WA KIAFRIKA...

kuna walioajiriwa jeshini waafrika... mashuleni walimu wa Afrika walikuwepo...

Serikalini akina nyerere na wenzake walikuwepo...Mpaka bungeni. Akateuliwa kuwa WAZIRI MKUU...sasa aliteswaje hapo...aliweza kusomeshwa yeye mwenyewe mpaka Makerere mpaka EDINBURGH...Hao hao wakoloni...sasa huo ubaya wao upo wapi.?

Waafrika walikuwa huru kiasi cha kuanzisha hata klabu za mpira SIMBA NA YANGA...

Elimu ilikuwa haina mizunguko kama hii...mtu akifaulu ajira zipo nyingi tu...

Watu wa dini waliweza kusafiri sehemu mbalimbali kwenda kusoma na kujifunza dini zao...mfano vituo vya kielimu Tanga na Mombasa...

Watu waliweza hata kukaa kwenye vijiwe vya kahawa na kucheza bao na nyerere kujadili kupata uhuru...

SASA HUO UBAYA WA WAKOLONI TUNAOFUNDISHWA MASHULENI UPO NAMNA GANI...? MBONA MAELEZO YA KIHISTORIA YA WATU HUSIKA YANAPINGANA NA HII HISTORIA...

AU NI UROHO WA MADARAKA WA WAAFRIKA TU NDIO WALICHOKUWA WANAPIGANIA NA WAO WAITWE MARAIS NA MAWAZIRI WAKATI UWEZO WA KUJENGA NCHI HAWANA...?

HAYA YANAYOENDELEA NA HAWA WAAFRIKA WENZETU...SI BORA HAO WAKOLONI...?

Naomba MAMA SAMIA AIUZE HII NCHI HATA HUKO DUBAI...INAWEZEKANA KUKAWA NA NAFUU...KULIKO KUWA NA MIAKA 68 YA UHURU WA UONGOZI WA WAAFRIKA WENZETU MAKATILI KULIKO MBWA MWITU...
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as white people are. They are still under the process of becoming the complete human beings". Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Kwa sababu,
Nilijaribu kuuliza wazee ambao enzi za ukoloni walikuwepo na walikuwa na akili...wakasema hawajahi huexperience hayo mateso mliyosoma...

Nikiangalia ushahidi wa akili... wakati tunaelezwa wakoloni walikuwa wakitutesa...hawakutaka waafrika tusome, tuendelee kwa namna yoyote ile.

Najaribu kuangalia moja katika matunda ya wakoloni waliyotuachia kipindi chote walichokuwepo hapa...

Hawa akina NYERERE, KAWAWA, KARUME, NA WENZAKE WENGI WALIOSOMA KATIKA UTAWALA WA KIKOLONI...KULIKO NA WATU WALIOSOMEA UDAKTARI WA KIAFRIKA...

kuna walioajiriwa jeshini waafrika... mashuleni walimu wa Afrika walikuwepo...

Serikalini akina nyerere na wenzake walikuwepo...Mpaka bungeni. Akateuliwa kuwa WAZIRI MKUU...sasa aliteswaje hapo...aliweza kusomeshwa yeye mwenyewe mpaka Makerere mpaka EDINBURGH...Hao hao wakoloni...sasa huo ubaya wao upo wapi.?

Waafrika walikuwa huru kiasi cha kuanzisha hata klabu za mpira SIMBA NA YANGA...

Elimu ilikuwa haina mizunguko kama hii...mtu akifaulu ajira zipo nyingi tu...

Watu wa dini waliweza kusafiri sehemu mbalimbali kwenda kusoma na kujifunza dini zao...mfano vituo vya kielimu Tanga na Mombasa...

Watu waliweza hata kukaa kwenye vijiwe vya kahawa na kucheza bao na nyerere kujadili kupata uhuru...

SASA HUO UBAYA WA WAKOLONI TUNAOFUNDISHWA MASHULENI UPO NAMNA GANI...? MBONA MAELEZO YA KIHISTORIA YA WATU HUSIKA YANAPINGANA NA HII HISTORIA...

AU NI UROHO WA MADARAKA WA WAAFRIKA TU NDIO WALICHOKUWA WANAPIGANIA NA WAO WAITWE MARAIS NA MAWAZIRI WAKATI UWEZO WA KUJENGA NCHI HAWANA...?

HAYA YANAYOENDELEA NA HAWA WAAFRIKA WENZETU...SI BORA HAO WAKOLONI...?

Naomba MAMA SAMIA AIUZE HII NCHI HATA HUKO DUBAI...INAWEZEKANA KUKAWA NA NAFUU...KULIKO KUWA NA MIAKA 68 YA UHURU WA UONGOZI WA WAAFRIKA WENZETU MAKATILI KULIKO MBWA MWITU...
Huu ujumbe umfikie SSH kuonyesha maamuzi yake ya kuiuza nchi yamewafikilisha watanzania kiasi hiki!
 
Back
Top Bottom