KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,590
- 4,603
Kuna kijiwe ambacho mida ya jioni, wazee hukutana kujadili baadhi ya vitu na kubadilishana mawazo, watu wengi hukusanyika hususani vijana kuchota busara za wazee hao.
Watajadli mambo mbalimbali kuanzia mpira, Imani mpaka siasa na yote wanayojadli vijana huokota chochote Cha kuwafaa maishani.
Siku ya jana walikuwa wanajadili hatma ya siasa na uongozi wa Tanzania na suala kuu la mjadala huo ni "nini kati ya CCM au mfumo wa vyama vingi upumzike"
Mjadala ulikuwa mkali sana lakini busara za wazee zikahitimisha kwamba Mfumo wa vyama vingi uendelee kuwepo lakini pia CCM iendelee kutawala mpaka pale...
i ) Tutakapoona upinzani imekuwa tayari kuongoza hata kama itatawala milele haina shida.
ii) CCM itakaposema imechoka tunataka tupumzike ili wengine waendelee.
iii) CCM itakapo katawaliwa na kila mtu.
Ndio kijana mmoja akauliza, ni lini tutakaposhuhudia hayo yakitokea, Mzee mmoja akajibu HATA SISI WAZEE HATUJUHI basi mjadala ukaisha hivyo na wazee wakawa wametupatia busara kubwa sana.