Karne ya 18 hadi 20 huko Ulaya na Marekani kanisa Katoliki huko Ulaya na Marekani walikuwa na vituo vya kurekebisha tabia kwa wanawake hasa mabinti wa makundi mbalimbali wakiwemo single mothers, makahaba, wanawake walioonekana wajeuri na walioonekana mzigo kwa familia zao.
Wanawake wengi...
𝐓𝐮𝐧𝐝𝐮 𝐋𝐢𝐬𝐬𝐮, 𝐉𝐨𝐡𝐧 𝐇𝐞𝐜𝐡𝐞 𝐧𝐚 𝐋𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐩𝐢𝐠𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐡𝐚𝐤𝐢 𝐰𝐚 𝐮𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐭𝐮𝐰𝐚𝐮𝐧𝐠𝐞 𝐦𝐤𝐨𝐧𝐨.
Lissu, Heche na Lema hawa ni rafiki na ndugu wa haki. Kujitoa kwao kupigania haki za mtu & watu wowote kwao ni jambo la kawaida. Binafsi kwangu kila mmoja amehusika kunisaidia kupigania haki zangu tangu mwaka 2016...
Kuna watu wanateseka sana kwenye hii dunia, wengine wanateseka tangu wanazaliwa mpaka wanakufa, wengine wanateseka nusu ya maisha yao yote n.k
Fikiria watu wanaugua kansa za kila aina, watu wanapata ajali wanabaki vilema wasiojiweza maisha yao yote, watu wanafungwa maisha au miaka mingi pasipo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wakazi wa kata tajwa hapo juu wanaishi kwa mateso makubwa toka mwaka 2023 mpaka leo baada ya kufanyika tathmini ya uwanja wa ndege Kigoma na kutokulipwa stahiki zao.
Hadi sasa, wakazi hao waliitwa katika viwanja vya zahati ya machinjioni mnamo mwaka 2023...
Amani kwenu
Mwendo kasi ni mateso
Mwendo kasi ni maumivu
Mwendo kasi ni majonzi
Mwendo kasi ni utungu
Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman
YESU njoo Africa tunateseka jaman
Nilipitia maumivu makali ya kimwili na kihisia mwaka huu. Nilishangaa sana "kwa nini mimi?" na "kwa nini mtu yeyote?" Ni vigumu sana kupata imani au upendo kwa ulimwengu huu wakati maumivu yasiyo na maana yanakutaka.
Sasa kwa kuwa nimepita, na kujaribu kuelewa ninachoweza kujifunza kutoka kwa...
Temesa ebu tuaangalieni wanakigamboni tunateseka sana sana na hii changamoto ya kivulo kimoja hivi kweli kwa aya mateso viongozi mnapata usingizi kweli
Mimi ni mmoja kati ya Wananchi wa Mtaa wa Green View uliopo Kata ya Nyamanoro, Manispaa ya Ilemela hapa Mwanza tuna malalamiko yetu kuhusu hali ya ubovu wa barabara zilizopo katika Kata yetu.
Barabara mbovu zimekuwa zikisababisha usumbufu kwa Watumiaji wa barabara hizo kwa muda mrefu sasa bila...
Ni vitu vinavyotokea kwenye maisha ya kweli, sio kwenye muvi tu, bilioni 2 ni lugha ya kimafumbo ya kiasi kikubwa cha fedha kwako kinachoweza kubadili maisha yako.
Hio ni siri yako ambayo rafiki yako anaijua kwa juu juu hajui ulipozificha pesa.
Ghafla rafiki anaingiwa tamaa ya usaliti anataka...
Leo nimeamua niongee Na Hawa single mother s , kwanini mmeamua kuwatesa watoto wenu? Ni sawa umezaa Na jamaa huenda ilitokea kwa bahati mbaya ulikuwa humpendi au mlikuwa wapenzi kwa bahati mbaya katika mahusiano yenu ukawa umepata ujauzito, baadhi ya wanaume ni kweli wanakuwa hatawaki kutoa...
Kwema?
Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika
Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia...
Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini
Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu.
Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema watu wengi wamehama Zanzibar kwa sababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma wanazofanyiwa na baadhi ya Watawala.
Soma:
==> Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo Othman Masoud kesho...
Nimetafakari sana hizi foleni za kuweka gas naona kama kuna hujuma za wauza mafuta, iweje mpaka sasa tuwe na vituo vitatu tu.
Sio kwamba upatikanaji wa gas kwa wingi unaathiri uuzwaji wa mafuta!?
Wakuu habarini!!! Kuna binti nipo nae ila nafsi inampenda ila akili haitaki cz sio mweupe. Yaan hisia hizi zinanipelekesha sana nashindwa nimuachaje na amenipenda pia ila ndoivo niliapaga ntaoa bint mweupe
Ni Mwendo wa takribani kilomita 16 nilipoianza safari mimi na abiria wenzangu kutoka mjini Mwanza kwenda Igombe, Kata ya Bugogwa, iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza.
Tunasafiri kwa dakika kadhaa na kufika stendi ya Igombe, nashuka na kusogea katika maegesho ya pikipiki...
Prof. Suleiman Daudi alikuwa genius sana. Aliweza kugundua vitu vya deep sana.
Ukigundua alichokuwa anamaanisha Professor Solomon hapa utapunguza 50% -75% ya changamoto zako.
"Tunaomba mtusaidie kunusuru maisha ya watoto wetu hii shule ni kama imegeuzwa Kambi ya mateso kwa watoto wetu".
Hii ni kauli ya mmoja wa wazazi wenye watoto katika shule ya sekondari Wali iliyopo wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.
Shule hiyo inamilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha...
Mpaka sasa hivi namba za Wapelestina waliouawa zinakaribia 40,000 na bado wanauawa kila siku, ilhali wanaosababisha yote hayo bado wameshupaza shingo, wameshikilia mateka watoto wa Wayahudi huku wakiendelea kuongeza masharti na pia wenyewe kuuawa.
Gaza yote imefanywa shamba.....na bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.