TUACHE KUJIPA MOYO, NDOA KWA KIZAZI CHA SASA NI GEREZA LA MATESO.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani!
Soma Kwa Utulivu;
Linatesa Wanawake
Linatesa wanaume;
Lakini Kwa nini?
Ili ndoa iwe ndoa kweli sharti ifuate mfumo wa kizamani, hilo nimeshalieleza kila mara. Kwa sababu ndoa misingi yake...
Nimpongeze Rais Samia kwa kuunda hii tume kuchunguza vyombo vytu vya dola nk.
Niombee tu mkimaliza huko tuna imani na nyie na mapendekezo yenu baada ya shuhuli tunaomba ikiwapendeza mumwombe Mh Raisi mkachungze wizara ya ardhi shida iko wapi na nini kifanyike wananchi wachwe kuporwa viwanja...
Wanasoka tumeteseka
WanaSimba tumeteseka
WanaJF tumeteseka
Kila mtu ameteseka
Hata wanaUto wameteseka
Wameteseka wiki nzima wakiisubiri kandanda saafi ya Mnyama Simba
Hakuna yasiyo na mwisho, hatimaye leo imefika tamati ya mateso.
Simba ikiwa kamili gado full mkoko itaenda kuwalipia mateso...
Habari wana JF
Nilikua natafakari tu mienendo ya viongozi wa dunia hii wa sasa na awali, nikagundua kwamba vita nyingi zinaanzishwa na viongozi wa kisiasa wasio na mapenzi ya dhati na raia wao.
Vita nyingi zimeanzishwa kwa sababu za kipumbavu ambazo hazina mantiki yoyote kwa mustakabali wa...
Mnamo Machi 19, 2020, Mchungaji James* aliamka kama kawaida na kuondoka kwenda kufanya maombi katika kanisa lake katika kisiwa cha Zanzibar, kilicho karibu na pwani ya Afrika mashariki mwa Tanzania. Lakini alipofika, kwa mshtuko wake, alikuta kanisa lake lilikuwa limeboreshwa. Kabla hajaelewa...
Sio neno geni kusikia mabepari.
ubepari ni mfumo wa kuongoza unaoruhusu mtu kua na mali yake binafsi.
Ni mambo mengi nchi kama ya kwetu imejikuta ikifata fomula ya kibepari japo sio kwa asilimia kubwa au kutokana na nchi yetu bado inaendelea.
Kwa nchi zilizoendelea ubepari una nafasi kubwa...
Hasa wanaume tunashindwa kusema ukweli kwamba tuna depression kwasababu tunaogopa kuonekana dhaifu kama wanawake, pia namna ambavyo jamii inamchukulia mwanaume inamuona kama kiumbe ambaye anatakiwa awe ngangali muda wote ila kiuhalisia depression haichagui mwanaume wala mwanamke.
Wengi sana...
Wanaamini kwa namna fulani Republicans watapunguza misaada kwenda Ukraine, maana madude kama HIMARS yamewatesa sana.....
Pro-Kremlin forces in Russia are hoping that the Republicans win control of Congress, an outcome they believe could mean Democratic President Joe Biden faces a tougher and...
Kweli mapenzi saa ingine ni mateso tu.
Sitosahau siku ambayo tulitembea usiku zaidi ya migahawa 6 kisa kila mgahawa tunaoingia anasema hajaona chakula cha kula (na ni migahawa mizuri ya mjini) huku akidai ana njaa sana.
Baada ya kutoka mgahawa wa 6 akasema eti bora niende kumsongea mm mwenyewe...
Habarini ndugu zangu,
Acha niende kwenye mada moja kwa moja, iko hivi kumekuwa na misemo ya kujifariji kwa sisi vijana eti 'kuwa single unainyoy ' au 'ukiwa single unakuwa huru na mambo yako ' na maneno mengine mengi lakini Ukweli kuwa single ni shida.
Binafsi nina experience ya kuwa Single...
Leo nimekwenda Benki CRDB kuchukua pesa yangu mwenyewe, lakini nimeteseka kama vile nimeenda kuomba pesa Bure.
Foleni watu 100 muhudumu Mmoja tu. Wengine movement haziishi, mara atoke mara arudi anageuzageuza makaratasi.
Watu wamenuna mpaka saa kumi Bado Kuna zaidi ya watu 90 ambao nyuso...
Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana akili ya namna ya kujipanga,au kujiandaa kustaafu ili uzeeni asiteseke kwa dharau na fedheha za watukila mmoja atoe wazo lake
Mf;Mimi nimenunua shamba kimanzichana heka 10 nimezungushs michongoma ,ndani nimepanda miti ya miembe, michungwa, michenza...
Habari zenu wakuuu hope mko poa sana.
Leo nimeamua kuja na mda tajwa hapo juu naandika ukweli wa asilimia mia moja kuhusu hawa dada zenu na ugonjwa wao wa UTI unavyo tutesa.
Nianze moja kwa moja nimekuwa mtu wa toto mbili tatu na kujichanganya sana na wanawake, ila katika miaka ya nyuma sija...
Baada ya kupata Uhuru wa Tanganyika, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwatangazia watanganyika kwamba nchi yao ilikuwa na maadui watatu ambao ni Umaskini, maradhi na ujinga. Ili kuyaondoa hayo mambo matatu, pia Mwalimu akasema kuwa tunahitaji watu, Ardhi, siasa safi na Uongozi bora.
Tangu...
Haya madude yamesababisha Warusi wapoteane, wanayasaka usiku na mchana, bado hawajatulia kuna mzigo mwingine unafaulishwa wa HIMARS nne...
U.S. Defense Secretary Lloyd Austin on Wednesday announced the United States will provide Ukraine with four more M142 High Mobility Artillery Rocket Systems...
Kama unaishi nyumba za kupanga zenye masharti lukuki hii inakuhusu sana, wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wameonya kuwa masharti hayo ni moja ya kichocheo cha mtu kukumbwa na magonjwa ya afya ya akili ikiwemo sonona.
Takwimu za magonjwa ya afya ya akili kwa mwaka jana kutoka Wizara...
Nisiwachoshe na masalamu.....ilikua ni siku ya jumanne ambayo ilitakiwa tusafili kifamilia kwenda huko kukutana na wanafamilia wengine(ukoo).
Basi hapa nyumba naishi na ant wa mke wangu huyu ni binti kachanua hatari kanona haswa halafu ndio vile kapo kwenye umri wa miaka 20. Na kapo Moto balaa...
Nilichogundua katika maisha yangu ya Tongozo hapa na pale, kumshawishi mwanamke awe manzi yako wakati mwingine tunapitiaga wakati mgumu sana.
Yaani hawa dada zetu kuna kipindi wanakuwa hawataki kabisa mambo na show show, hataki kabisa kulala na mwanaume yeyote.
Wanadai wanatafuta uhuru na hasa...
SEHEMU YA 01
Nilikuwa kwenye usingizi mzito mno ambapo nikaamshwa na sauti ya mwanaume aliyekuwa anagonga dirisha langu na kuniita.
"Ederra! Ederra!"
Bado sikujua alikuwa nani. Alijaribu kuita kwa sauti ya chini mno kuashiria kuwa hakutaka mtu mwingine yeyote amsikie.
Nikashika simu yangu na...
Tokea zamani nimekuwa siamini msemo unaosema kwamba utajiri unahitaji uvumilivu,subira,kupitia magumu nakadhaalika.
ninachoamini ni kwamba utajiri sio mgumu kupatikana ni rahisi lakini huwenda njia zake hizo watu hawazijui(zina siri)
Tukumbuke kuwa kitu kuwa rahisi haina maana kwamba watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.