Ndugu yangu ni mkulima wa jembe la mkono. Analima shamba lake na analimia watu ili kupata pesa ya sukari na sabuni. Kuna siku kazi za kulimia watu zinakosekana. Ikifika hali hii mke wake anadamka alfajiri kuwahi soko la matunda. Ananunua ndizi na machungwa anatembeza kwenye beseni lake...
Kuchagua CCM ni kuwafungia zigo la mateso makubwa Wananchi. Ni kuchagua maumivu makubwa kwa Watanzania ni lazima tuwe makini zaidi.
1. Kuchagua CCM ni kuchagua watu kuendelea kupotea bila kujua walipo, ni kuchagua watu kuendelea kupigwa risasi na wasiojulikana bila kuwajua ni kina nani.
2...
Wanabodi,
Mimi ni mkazi wa Kawe, kwa vile sasa tuko kwenye kampeni za uchaguzi, ili tumtendee haki Mbunge wetu aliyemaliza muda wake, Mhe. Halima Mdee, ambaye, baada ya kuwa Mbunge wa Kawe kwa vipindi viwili mfululizo, na sasa anaomba tena tumchague, hivyo nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza...
Chanzo:Tony Alfred on twitter.
Maoni yangu:
Kuna mtu/watu watakuwa wanajisikia vibaya sana kusoma tweet hizi(maneno haya) na wajue tu watakumbukwa kwa matendo yao na si kwa structures watazotuachia kwani wako wengine watakaoikuja kujenga structures zingine bora zaidi kama ambavyo wao sasa...
Wana jamvi,
Kila baada ya miaka mitano, mwezi wa vituko unaanza, tunaanza na mipango ya bajeti mpya ambayo hatujui atayeitumia ni nani? Au atayeisimamia ni nani, tukiwa kwenye ombwe LA uchaguzi ni shuhuda nyingi tutazipata baada ya kura za maoni, itatokea chuki kubwa kati ya wapenda madaraka na...
Mateso au Meshach, mkazi wa Msasani mtaa wa Mikoroshoni, unashuka pale General Tyre, ulizia kwa John muuzà duka ambalo pia ni genge na bar.
Kiji bar cha John kinakesha 24/7, Msasani ikilala, kwa John pako live.
Kwenye kijiwe hiki ndio watendakazi wote wa Msasani hunywa wakikosa wateja...
Serikali kupitia balozi za Oman na Saudi Arabia, muwe na vikao vya mara kwa mara na Watanzania waishio huko, wengi wanateswa na kuuawa pasipo msaada wowote kutoka Balozi zetu.
Muwe mnafanya vikao angalau mara mbili kwa mwaka, ili mjue changamoto mbalimbali wanazopitia watu wenu.
Nina uhakika...
Morning.
Naombeni ushauri jamani, mme wangu ana baby boy umri yapata miaka 3 kutoka kwa X wake.
Naomba ushauri kwani nawaza mtoto aendelee kukaa kwa mama yake huku akiomba matunzo ya baba hapa naogopa mawasiliano ya moja kwa moja na mume wangu au tumchukue tuje kuishi nae nikiwa mama mlezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.