DeMostAdmired

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
878
2,429
TRUE STORY
Hello members nipo hapa kushare true story inayonihusu mimi na mrembo wangu tuliopendana sana na jinsi tulivoishi kwa miaka mi3 morogoro mjini na mpka tulipoishia. Karibuni.

Nitakuwa natumia codes za aina tofauti kulingana na ambacho nitatakiwa kuhide na mm nitatumia jina Camavinga na mwenzangu nitamuita Corazon

Episode 1

ilikua mwaka 2017 nilipojiunga chuo kikuu X mkoani morogoro kipindi hicho nikiwa chalii mwenye miaka 19.

Nilichaguliwa pale kusomea Bsc Education Chem na Bios so mimi ni teacher na mwenzangu pia alikua anasoma the same course na yangu.

Kwetu ni mkoani tabora na Corazon kwao ni Singida so yeye ni Mnyaturu lakini mimi binafsi ni mtusi.

Unaweza jiuliza tabora na watusi wapi na wapi but actually mother ni mchaga from moshi na father in foreigner ana asili ya Ethiopia na Rwanda so mkoani tabora alikua kikazi tu.

.......continue.....

Ni mwaka 2017 ndo tulianza 1st yer ilikua Nov baada ya registration niliappy na hostel nikatapata. Tulianza masomo huku tukianza kutafuta marafiki wapya na kuzoea mazingira pia na kadri siku zilivokua zinasonga tulizidi kufahamiana na kuzoeana zaidi na zaidi.

Nakumbuka ilikua mwez Dec kuna mwenzetu (classmate) alipatwa na msiba alifiwa na mazaaake na kama darasa chini ya CR wetu tuliorganize tumchangie chochote kitu kama rambirambi.

Kipindi CR anawasilisha wazo hilo katika group kuna baadhi ya watu walikataa na wengine tuikubali. Kuna msela mmoja alitoa jibu kali na la hovyo na huyu ndo alisababisha mimi nikampata binti mrembo wa kinyaturu (Corazon).

Jamaa: CR sisi tumekuja kusoma hapa chuoni hayo maswala mengine peleka kanisani huko ndo watamchangia. Hili ndio lilikua jibu la huyo mshenzi

Niliingiwa na hasira na nikajikuta namjibu yule jamaa jibu la fasta.

Camavinga: Bila shaka wewe hukuzaliwa bali ulitoka tu sehem isojulikana na ukajikuta tayar upo duniani na pia inaonekana una roho mbaya sana.

Watu wengi sana walinisapot na kuthamini sana nilichomjibu yule jamaa na hata wengine walinifata inbox kutaka tufahamiane zaidi. Na baadhi ya walonifata inbox na huyu mrembo Corazon pia alikuwemo.

Corazon: Hello mambo vipi! Nimependa sana ulimjibu huyo mpuuzi.

Camavinga: Asante! Actually jamaa kazingua sana na binafsi nilikosa uvumilivu

Corazon: Nimependa kiukweli maana ukizingatia jambo lililompata mwenzety ni zito na anahitaji faraja yetu kama wanafunz wenzake.

Hii kauli ilinifanya nianze kumuona huyu binti ni mtu mwenye huruma sana.

Camavinga: True kabisa unavoongea na nimependa unaonekana mwenye huruma sana na mwenye busara.

Corazon: Hapana hiko kitendo cha huyu mpuuzi ni cha kijinga sana na mtu yeyote mwenye akili timamu ni lazima angeona kuwa ni upuuzi huyu mtu kaongea.

Camavinga: Upo sahihi nadhani tutamchangia rambirambi lakini pia tutatafuta muda kama darasa tumfariji kwa namna tutakavoweza.

Hii time tunachat tulikua hatujuani kwa majina wala kwa sura.

Tulizidi kuchat na mwishoni tukabadilisha mada tukafikia mpka kuhitaji kufahamiana na tukatumiana picha na kutambulishana kwa majina. Katika kuhojiana ilionekana sote tunakaa hostels zilizopo katika unit moja (kwa walosomea chuo hiki washajua ni chuo gani mpka hapa)

Binafsi baada ya Corazon kunitumia picha alituma picha yenye waschana wa2 mmoja mnene mfupi na mwingine mwembamba sana then mrefu kidogo. Ikanibidi niulize yeye ni yupi na akanambia kuwa yeye ni yule alokua mwembamba. Baada ya kuiona picha na kumuona nilipatwa na kigugumiz kidogo maana kwa muonekano wake mtu yeyote lazima angejiuliza huyu binti anashida gani ya kiafya maana alionekana kuwa mwembamba sana halafu mdhoofu lakini sura na rangi vilikua sawa si haba. Kwa anayewafaham watu wa singida, dodoma na manyara bila shaka ashaelewa Corazon n mtu wa aina gani.

Corazon alionekana kupatwa na shauku ya kutaka kuonana na mimi baada ya mimi kumtumia picha ni kama alidata kwa mjuba (sijisifii).

(Kama nilivowambia mwanzo kuwa father anauethiopia na unyarwanda flan ambao kuturithisha watoto yake maana kwanzia kimo, weusi wakitusi na nywere za kisomali somali kwa mbali kwahiyo ni kama Corazon alivurugika kidogo)

See you in the next episode..........

Post in thread 'Maisha ya miaka mitatu, Mtusi na Mnyaturu mkoani Morogoro' Maisha ya miaka mitatu, Mtusi na Mnyaturu mkoani Morogoro
 
Corazon alionekana kupatwa na shauku ya kutaka kuonana na mimi baada ya mimi kumtumia picha ni kama alidata kwa mjuba (sijisifii).

.........continue.........

Nakumbuka ilikua j pili usiku ndo siku mimi na Corazon tulijuana na tukaongea mambo niloandika katika episode 1 na mwishoni kabisa tulikubaliana tuaonane kesho yake ambayo ilikua j tatu. Tulisoma course moja kwahiyo kwa kiasi kikubwa ratiba yetu ya vipindi ilikuwa inafanana.

Nakumbuka ilikua ni kipindi cha microbiology ndo kilikua ni kipindi cha kwanza na kilikuwa kinafanyika venue moja inayoitwa SLT2 pale chuoni.
Nilikua na kawaida ya kuwahi sana venues na kuwahi nafasi za mbele kwasababu nina tatizo la kutokuona mbali tangu nilipokuwa advance so ilikuwa endapo nikichelewa tu nikakuta nafasi za mbele zimejaa basi nilikua sifurahii kipindi kwasababbu nilikua sioni kabisa vilivokuwa vinaprojectiwa ubaoni.

Upande wangu mpaka huo mwezi wa kumi na mbili nilikuwa tayari nishapata marafiki kadhaa wa kike lakini pia wa kiume na siku ile nilikua na rafiki yangu ambaye nitamuita Queen (Code hii). Queen ni binti flani kutoka mikoa ya kaskazini na tulipendana sana japo hatukuwa katika mahusiano lakini tulitokea kukubaliana na kushibana sana kwa muda mfupi na nilimpata siku ambayo CR alipendekeza tujitambulishe kwa majina na kutuma picha mbili katika group la darasa ( swaga za ki 1st yer ).
Nilituma picha mbili moja nilipiga nikiwa bado nipo home na nyengine ilipigwa palepalle chuoni. Baada ya kutuma zile picha nilishangaa kuona wadada kadhaa inbox kwangu walikuja kama wa4 hivi akiwemo Madam Cr na madai yao wote walidai wamezipenda picha lakini mimi kipindi kile nilikua bado ninautoto na uadvance advance sikuswitch mawazo na kujua kuwa hawa wadada pengine walikuwa wanahitaji mahusiano namimi kwahiyo nilichukulia poa tu tuakaendelea kuishi (honestly nilikua najipenda japo sikua brother men kivile ila nilihakikisha nanukia vizur yani zile foundational codes za ubrother men nilikua nazizingatia sana) na pia class sikua nyuma sana zilikuwa zinatwanga kimtindo.

Continue.........
Siku ile ya kipindi mle SLT2 nilikua makini sana kuangaza huku na kule ili nimuone Corazon na kwa mbali nilifanikiwa kumuona walikuwa watatu yani rafkiake yule mnene mfupi nitamuita Dina (code pia) pamoja na jamaa ambaye huyu alikuja kuwa sumu kwangu baadae mtajua alikuja kuwa sumu kiaje hapo baadae. Huyu jamaa nitamuita (Tin).
Wakati namuona yeye alikuwa bado hajaniona na mimi nilikua nimekaa pomoja na rafkiangu Queen tunapiga maswali ya hesabu (MTH 106) maana sote tulikua tunaliogopa sana hili somo.

Corazon baada ya kuingia ndani nayeye aliniona tulikutanisha macho na hapo kila mmoja alimuona mwenzake live. Hatukukaa muda mrefu nikainuka nikamuaga Queen kuwa naenda kumsalimia rafkiangu mpya nayeye akaniruhusu lakini niliona kabisa hakufurahia mimi kuondoka ni kama alikwazika lakini mimi sikujali nikaondoka kuelekea alikokuwa Corazon. Nilifika pale nikawasalimia wote wa3 na tukapiga stor kidogo nikawaaga lakini rafikiake Corazon (Dina) alishauri nisalie pale tukae wote namm nikajitetea kuwa mbali sioni vizuri ndio sababu ya kupendelea kukaa mbele na yeye akamwambia Corazon kuwa kwanzia siku hiyo wataanza kuwahi ili wawe wanakaa mbele pamoja na mimi. Hapa nikagundua kuwa Corazon kashamgusia Dina kuhusu mimi.
Nilirudi na nikakuta pale nilipokuwa nimekaa kuna jamaa mwingine na nikaishia kumuangalia Queen nayeye akanambia kwa hasira "ulivoondoka ulifikiri umenikomoa?"....... nikamkatisha nikamwambia kwani sikukuaga na wewe ndo uliyeniruhusu niende hata hivo yule ni rafikiangu tu wa kawaida na tumefahamiana jana tu so tulikuwa na shauku ya kuonana live. Queen alimwambia jamaa asepe ili niweze kukaa.
Wakati huo lecturer aliuwa tayari kashaingia na kipindi kilianza mara moja. Kipindi kilipoisha basi tukasambaana na tayari tulikuwa tushazoea kuongozana na Queen almost kila mahali na tulizoeana sana na wengi walihisi tupo katika mahusiano. (Actually ukaribu wangu na Queen uliweza kunikosesha baadhi ya bahati nzuri). Corazon alituona na akanitext "mmependeza" nilimjibu asante kwani upo kwa wap? Geuka nyuma alinijibu, nilipogeuka nikamuona akiwa na Dina wawili tu. Hapa nikaanza kuwaza namuachaje Queen ili nikaongee na Corazon. Niliamua kumpa Queen shilingi 5k nikamwambia atangulie cafe nitamkuta ili tupate breakfast na aliniuliza naenda wapi nakamjibu naenda shortcall. Nilimuacha mpaka alipopotea machoni pangu namimi nikawajoin akina Corazon tukaanza story.

Dina: Camavinga you are so handsome na unabonge moja wa pisi.

Camavinga: thanks lakini huyo ni rafikiangu tu.

Corazon: sijawahi ona urafiki kati ya me na ke

Camavinga: so unajaribu kuniconvince niamini kuwa tayari ninashemej yangu?

Corazon: sijaelewa, yule ulotuona naye darasani? Kama ni yule hapana yule tuna ushikaji wa mbali sana na tulifahamiana kwenye group works tu hakuna namna yyte nyengine.

Camavinga: haaya bhna nimekubali, enhe mnaelekea wapi? Maana mnajua bado dk45 kipindi kingine kianze. Corazon alinambia wanakwenda cafe kupata breakfast namimi nikawauliza ni wapi na wao wakanitajia cafe ileile ambayo Queen katangulia. Basi nikawa sina jinsi nikawambia namimi nalekea hukohuko.
Corazon akanambia angependa kunipa offer ya tea siku ile namimi nikamshukuru na kumwambia tayari rafkiangu (Queen) katangulia na nitakuta kashaagiza orders zote yani yangu na yake. (Binafsi sikuzoea sana kupewa offers hasa na watoto wa kike huwa naona aibu sana). Corazon aliishia kuguna na mda ule tulikua tumebakisha hatua kama 5 tu kufika cafe na tulipoingia tu Queen aliniita kwa nguvu Camavinga leo nimekuagizia Sausages na chai ya maziwa. Corazon aliposikia ile kauli ya Queen aliniangalia na akanambia King nenda ushaagiziwa na wa Moroni wako. Hapa Queen alinikata maini kabisa ukizingatia hatukuwa katika mahusiano na tayari alikua kashanambia amemuacha mchumba wake nyumbani kwahiyo nilikuwa nishaweka kichwani kuwa kwa Queen sikuwa na changu labda ikitokea ni kwa bahati tu kumla mara moja moja sana.

Nilishangaa akina Corazon walipoamua kubadilisha cafe na wakaenda cafe ilokuwa inafuata wakapotea kabisa maeneo yale.
Nilitoa cm mfukon baada ya kusikia mlioa wa mesej na nilipofungua nilikuta ujumbe wa Corazon " Camavinga sisi tumeamua kuoondoka tutaonana darasani"
Niliishia kuwaza kwanini waiamua kubadilisha cafe na sokupata majibu sahihi.

Seen you in the next episode.........

TRUE STORY
Hello members nipo hapa kushare true story inayonihusu mimi na mrembo wangu tuliopendana sana na jinsi tulivoishi kwa miaka mi3 morogoro mjini na mpka tulipoishia. Karibuni.

Nitakuwa natumia codes za aina tofauti kulingana na ambacho nitatakiwa kuhide na mm nitatumia jina Camavinga na mwenzangu nitamuita Corazon
Chuo kikuu x ...halafu unataja kozi uliyokuwa nasoma...tayari nishakifahamu hicho chuo
 
Corazon alionekana kupatwa na shauku ya kutaka kuonana na mimi baada ya mimi kumtumia picha ni kama alidata kwa mjuba (sijisifii).

.........continue.........
kubadilisha cafe na sokupata majibu sahihi.

Seen you in the next episode.........
Una kitu utafika mbali mwanaSUASO.
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Kwa hiyo mjomba wangu first year tu ukawa ushaitandika K ya msomi.Wenzako mpaka tunamaliza chuo ni mwendo wa kupanda mnazi tu .Msomi gani atoe K yake kwa kilaza na mshamba.Sijaisoma yote lakini samahani.
 
shda hjaisoma u ar trying t creat your own str
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Corazon alionekana kupatwa na shauku ya kutaka kuonana na mimi baada ya mimi kumtumia picha ni kama alidata kwa mjuba (sijisifii).

.........continue.........

Nakumbuka ilikua j pili usiku ndo siku mimi na Corazon tulijuana na tukaongea mambo niloandika katika episode 1 na mwishoni kabisa tulikubaliana tuaonane kesho yake ambayo ilikua j tatu. Tulisoma course moja kwahiyo kwa kiasi kikubwa ratiba yetu ya vipindi ilikuwa inafanana.

Nakumbuka ilikua ni kipindi cha microbiology ndo kilikua ni kipindi cha kwanza na kilikuwa kinafanyika venue moja inayoitwa SLT2 pale chuoni.
Nilikua na kawaida ya kuwahi sana venues na kuwahi nafasi za mbele kwasababu nina tatizo la kutokuona mbali tangu nilipokuwa advance so ilikuwa endapo nikichelewa tu nikakuta nafasi za mbele zimejaa basi nilikua sifurahii kipindi kwasababbu nilikua sioni kabisa vilivokuwa vinaprojectiwa ubaoni.

Upande wangu mpaka huo mwezi wa kumi na mbili nilikuwa tayari nishapata marafiki kadhaa wa kike lakini pia wa kiume na siku ile nilikua na rafiki yangu ambaye nitamuita Queen (Code hii). Queen ni binti flani kutoka mikoa ya kaskazini na tulipendana sana japo hatukuwa katika mahusiano lakini tulitokea kukubaliana na kushibana sana kwa muda mfupi na nilimpata siku ambayo CR alipendekeza tujitambulishe kwa majina na kutuma picha mbili katika group la darasa ( swaga za ki 1st yer ).
Nilituma picha mbili moja nilipiga nikiwa bado nipo home na nyengine ilipigwa palepalle chuoni. Baada ya kutuma zile picha nilishangaa kuona wadada kadhaa inbox kwangu walikuja kama wa4 hivi akiwemo Madam Cr na madai yao wote walidai wamezipenda picha lakini mimi kipindi kile nilikua bado ninautoto na uadvance advance sikuswitch mawazo na kujua kuwa hawa wadada pengine walikuwa wanahitaji mahusiano namimi kwahiyo nilichukulia poa tu tuakaendelea kuishi (honestly nilikua najipenda japo sikua brother men kivile ila nilihakikisha nanukia vizur yani zile foundational codes za ubrother men nilikua nazizingatia sana) na pia class sikua nyuma sana zilikuwa zinatwanga kimtindo.

Continue.........
Siku ile ya kipindi mle SLT2 nilikua makini sana kuangaza huku na kule ili nimuone Corazon na kwa mbali nilifanikiwa kumuona walikuwa watatu yani rafkiake yule mnene mfupi nitamuita Dina (code pia) pamoja na jamaa ambaye huyu alikuja kuwa sumu kwangu baadae mtajua alikuja kuwa sumu kiaje hapo baadae. Huyu jamaa nitamuita (Tin).
Wakati namuona yeye alikuwa bado hajaniona na mimi nilikua nimekaa pomoja na rafkiangu Queen tunapiga maswali ya hesabu (MTH 106) maana sote tulikua tunaliogopa sana hili somo.

Corazon baada ya kuingia ndani nayeye aliniona tulikutanisha macho na hapo kila mmoja alimuona mwenzake live. Hatukukaa muda mrefu nikainuka nikamuaga Queen kuwa naenda kumsalimia rafkiangu mpya nayeye akaniruhusu lakini niliona kabisa hakufurahia mimi kuondoka ni kama alikwazika lakini mimi sikujali nikaondoka kuelekea alikokuwa Corazon. Nilifika pale nikawasalimia wote wa3 na tukapiga stor kidogo nikawaaga lakini rafikiake Corazon (Dina) alishauri nisalie pale tukae wote namm nikajitetea kuwa mbali sioni vizuri ndio sababu ya kupendelea kukaa mbele na yeye akamwambia Corazon kuwa kwanzia siku hiyo wataanza kuwahi ili wawe wanakaa mbele pamoja na mimi. Hapa nikagundua kuwa Corazon kashamgusia Dina kuhusu mimi.
Nilirudi na nikakuta pale nilipokuwa nimekaa kuna jamaa mwingine na nikaishia kumuangalia Queen nayeye akanambia kwa hasira "ulivoondoka ulifikiri umenikomoa?"....... nikamkatisha nikamwambia kwani sikukuaga na wewe ndo uliyeniruhusu niende hata hivo yule ni rafikiangu tu wa kawaida na tumefahamiana jana tu so tulikuwa na shauku ya kuonana live. Queen alimwambia jamaa asepe ili niweze kukaa.
Wakati huo lecturer aliuwa tayari kashaingia na kipindi kilianza mara moja. Kipindi kilipoisha basi tukasambaana na tayari tulikuwa tushazoea kuongozana na Queen almost kila mahali na tulizoeana sana na wengi walihisi tupo katika mahusiano. (Actually ukaribu wangu na Queen uliweza kunikosesha baadhi ya bahati nzuri). Corazon alituona na akanitext "mmependeza" nilimjibu asante kwani upo kwa wap? Geuka nyuma alinijibu, nilipogeuka nikamuona akiwa na Dina wawili tu. Hapa nikaanza kuwaza namuachaje Queen ili nikaongee na Corazon. Niliamua kumpa Queen shilingi 5k nikamwambia atangulie cafe nitamkuta ili tupate breakfast na aliniuliza naenda wapi nakamjibu naenda shortcall. Nilimuacha mpaka alipopotea machoni pangu namimi nikawajoin akina Corazon tukaanza story.

Dina: Camavinga you are so handsome na unabonge moja wa pisi.

Camavinga: thanks lakini huyo ni rafikiangu tu.

Corazon: sijawahi ona urafiki kati ya me na ke

Camavinga: so unajaribu kuniconvince niamini kuwa tayari ninashemej yangu?

Corazon: sijaelewa, yule ulotuona naye darasani? Kama ni yule hapana yule tuna ushikaji wa mbali sana na tulifahamiana kwenye group works tu hakuna namna yyte nyengine.

Camavinga: haaya bhna nimekubali, enhe mnaelekea wapi? Maana mnajua bado dk45 kipindi kingine kianze. Corazon alinambia wanakwenda cafe kupata breakfast namimi nikawauliza ni wapi na wao wakanitajia cafe ileile ambayo Queen katangulia. Basi nikawa sina jinsi nikawambia namimi nalekea hukohuko.
Corazon akanambia angependa kunipa offer ya tea siku ile namimi nikamshukuru na kumwambia tayari rafkiangu (Queen) katangulia na nitakuta kashaagiza orders zote yani yangu na yake. (Binafsi sikuzoea sana kupewa offers hasa na watoto wa kike huwa naona aibu sana). Corazon aliishia kuguna na mda ule tulikua tumebakisha hatua kama 5 tu kufika cafe na tulipoingia tu Queen aliniita kwa nguvu Camavinga leo nimekuagizia Sausages na chai ya maziwa. Corazon aliposikia ile kauli ya Queen aliniangalia na akanambia King nenda ushaagiziwa na wa Moroni wako. Hapa Queen alinikata maini kabisa ukizingatia hatukuwa katika mahusiano na tayari alikua kashanambia amemuacha mchumba wake nyumbani kwahiyo nilikuwa nishaweka kichwani kuwa kwa Queen sikuwa na changu labda ikitokea ni kwa bahati tu kumla mara moja moja sana.

Nilishangaa akina Corazon walipoamua kubadilisha cafe na wakaenda cafe ilokuwa inafuata wakapotea kabisa maeneo yale.
Nilitoa cm mfukon baada ya kusikia mlioa wa mesej na nilipofungua nilikuta ujumbe wa Corazon " Camavinga sisi tumeamua kuoondoka tutaonana darasani"
Niliishia kuwaza kwanini waiamua kubadilisha cafe na sokupata majibu sahihi.

Seen you in the next episode.........
To be continued is boring 💤
 
Nilishangaa akina Corazon walipoamua kubadilisha cafe na wakaenda cafe ilokuwa inafuata wakapotea kabisa maeneo yale.

Nilitoa cm mfukon baada ya kusikia mlioa wa mesej na nilipofungua nilikuta ujumbe wa Corazon " Camavinga sisi tumeamua kuoondoka tutaonana darasani".

Niliishia kuwaza kwanini waiamua kubadilisha cafe na sokupata majibu sahihi.

EPISODE 3

Tulipata breakfast na rafiki yangu Queen na tulipomaliza tukarejea darasani kwa ajili ya kipindi cha pili.
Kipindi kilipoisha kama kawaida tuliongozana na best yangu Queen na sote tulikua na mpango wa kurudi room kurest kidogo kabla ya runch maana hata hivo kilikua kimebaki kipindi 1 tu ambacho kilikua kinaanza saa 11 mpka saa 12 na nusu za jioni. Tuliagana na Queen na kila mmoja wetu alielekea hostel kwake maana tulikua tunaishi units tofauti.

Nilipokua njian kurud room nilikutana na Dina rafkiake Corazon akiwa alone, tuliongozana huku tukipiga stors.

Dina: Mambo shem

Camavinga: Duh shem tena, anyway mambo ni poa pole na vipindi

Dina: Asante pole na wew

Camavnga: Vp frend wako yupo wap mbna upo alone?

Dina: Aliwah kurud room maana alikua hajisikii vzur wakat tupo class

Camavnga: Bas tutaongozana mpaka room kwenu nikamuone

Dina: Mh ndo mapenz motomoto tayr mnaanza kufatana mpka room kujuliana hali

(kwa muda mchache nlofanikiwa kuongea na Dina nligundua n mtu wa utan sana so nikaswtch namm niendane na upepo wake).

Tuliongozana mpka room kwao na akamuita Corazon. Corazon alitoka akiwa na shauku ya kujua anaitwa na nan maana hakuambiwa kuwa anaitwa na nani

Corazon alitoka akiwa na kanga alijifunga kuptsha kwenye mabega yake, kama nilivowagusia kuwa Corazon hakujaliwa umbo wala makalio ya kutisha kifup alikua flat kama nyoka. Hii hali ilinifanya nchelewe sana kupata wazo la kumfanya Corazon uwa mpenz wangu.

Tulipata wasaa kama dakika 25 kupiga stors na nilifaham mambo kadhaa kuhusu yeye na pia yeye aligundua mambo kadhaa kunihusu.

Bas ikawa ni kama ratiba maana block yake na yangu hazikua mbal san na ilikuwa rahs sana mm nayeye kukutana muda wowte tulopenda. Mazoea yalikua na kunawili na tukaanza kuwa close kiasi cha kuanza kusoma pamoja vimbwetani japo Queen naye hakua mbal so sometmes nlkua napata wakat mgum sana kubalance hiz pande mbl japo kwa Queen nlkua na najua kabsa kuwa hatutawah kuja kuwa wapenz coz mchumba wake alkua anajtahd san kuja kumuona chuon.

Suku moja nlshangaa, Corazon aliniomba cm yangu nayeye akanipa yake, niliulza kwanin na alinijib kwamba kuna mambo anataka kuyafanya katika cm yangu. Basi nikamwambia na hii yakwako unanipa ya nini?

Alinijibu kuwa kama nitahitaji kuwasiliana naye basi nimtafute kwa kutumia cm yake kupitia cm yangu ambayo ataondoka nayo. Mim nildhan Corazon altaka tu kwa muda ule lakin niligundua anataka kusepa nayo na mim nisepe na yake.

Aliniaga akanambia tutaonana kesho na akasema cm tutapeana kesho kwenye pind na alsema atanpigia niamke kujiandaa maana pind lilikuwa linaanza saa moja na nusu asubuh. Niliona dizain flan Corazon kafanya k2 cha kitoto. Ile kitu ilinistua kidogo but nikakumbuka kuwa vimeo vyote nilivoviacha home na wengineo ambao wangeweza kunitumia texts za kimahaba au kunipigia wapo katika kiswaswadu ambacho nilikuaga nakiachaga room nyakat za kwenda kuonana na Corazon.

Hii kitu ilinirudsha mchezon na nikaondoka kwa furaha maana nilijua hatoambulia kitu ukizngatia hata whatsp nisingetafutwa na tudem twangu twa hom so nikasema hii mbungi ni 0-0 mpka dk 90 na kila mmoja atatoka na puntos uno. Tulielekezana ma pattern then tukasambaana. Corazon alikua anatumia iphone 6G mhuni kivodaphone flan chakiwaki.;)

See you in the next episode....

Thread 'Maisha ya miaka mitatu, Mtusi na Mnyaturu mkoani Morogoro.' Maisha ya miaka mitatu, Mtusi na Mnyaturu mkoani Morogoro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom