marekani

  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

    Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
  2. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump kulihutubia taifa wiki hii. Ajenda kuu | Ubaguzi wa rangi na umoja wa kitaifa

    Habari! Katika kipindi kifupi kijacho, rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kulihutubia taifa la Marekani kulingana na vyanzo kutoka Ikulu ya White House huku ajenda kuu ikiwa ni masuala ya ubaguzi wa rangi pamoja na umoja wa kitaifa. Jambo jingine linalotarajiwa kuzungumziwa zaidi na...
  3. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu ishara ya kupiga goti moja chini inayofanywa katika maandamano ya George Floyd nchini Marekani

    Habari! Ikiwa ni takribani wiki mbili zimepita baada ya tukio la kuuawa kwa Mmarekani mweusi George Perry Floyd Jr. ama George Floyd jijini Minneapolis, Minnesota nchini Marekani yakifuatiwa na maandamano makubwa ya kupinga kitendo hicho sambamba na udhalilishwaji wa watu weusi kwa ujumla...
  4. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Joe Biden ashinda rasmi uteuzi wa Chama cha Democratic kugombea nafasi ya urais nchini Marekani

    Joe Biden ameshinda rasmi uteuzi wa Chama cha Democratic kumkabili rais Donald Trump katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais utakaofanyika panapo mwezi Novemba mwaka huu. Biden amesema katika ukurasa wake wa Twitter kwamba amefanikisha kujikusanyia wajumbe 1,991 wanaohitajika ili kupitishwa...
  5. Bilionea Asigwa

    JamiiForums Tanzania Vietnam War: Udhaifu wa Idara za Ujasusi Marekani zilipelekea kushindwa kwa Marekani vitani

    Vita maarufu ya Vietnam ni moja ya vita katika historia ya Marekani ambazo taifa kubwa na lenye nguvu duniani lililazimika kuondoka uwanja wa mapambano baada ya kushindwa vibaya. Vita hii ilipiganwa kuanzia mwaka 1955 mpaka 1975, na ilipiganwa maeneo ya Vietnam kwenyewe, Laos na Cambodia. Kwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Trump aanza kuirudisha Marekani mahala pake, mwezi May aongeza ajira mpya 2.5M

    Ndio maana mimi sio muumini wa hizi zinaitwa projections au utabiri kutoka kwa wataalamu au wachambuzi wa utabiri sijui analysts projects this, projects that. Mimi hua nasema hizi ni sawa na usoma nyota na upiga ramli. Kwa mfano wanaoitwa wataalamu wa uchambuzi walitabiri Afrika tutakua na vifo...
  7. fokofu

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyeagiza bidhaa kutoka Marekani hivi karibuni

    Wakuu naomba kufahamu kama kuna yeyote aliyeagiza mzigo kutoka Marekani hivi karibuni nahitaji kufahamu kama mizigo inafika au bado?
  8. J

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi yalaani mauaji ya George Floyd wa Marekani

    Mwenyekiti wa chama kikuu tarajiwa cha upinzani NCCR Mageuzi James Mbatia amelaani vikali mauaji ya Mmarekani mweusi George Floyd akiwa katika mikono salama ya polisi. Mbatia amemtaka Rais Trump kulishughulikia kwa haki swala hili. Chanzo: Clouds TV Maendeleo hayana vyama!
  9. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Marekani: Uchunguzi wabaini kuwa George Floyd alikuwa na COVID-19

    George Floyd, ambaye kifo chake huko Minneapolis wiki iliyopita kilisababisha maandamano makubwa juu ya udhalilishwaji wa watu weusi unaofanywa na polisi, alipatikana na virusi vya Corona wiki chache kabla ya kifo chake, ripoti ya uchunguzi wa mwili ya siku ya Jumatano imeonesha. Hati yenye...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ndege zote za abiria kutoka China kuzuiwa kuingia Marekani kuanzia Juni 16 mwaka huu

    Marekani imezuia ndege zote za abiria za kutoka China kuingia nchini humo kuanzia tarehe 16 mwezi huu. ==== In a move likely to inflame tensions between the United States and China, the Trump administration said Wednesday it will ban all commercial passenger flights by Chinese carriers. The...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Marekani kupiga yowe kuwa nchi za Afrika zinaficha takwimu za Corona ni kuficha aibu kuwa wao taifa kubwa limeshindwa kupambana na Corona!

    Marekani huwa ni taifa linalojiona ni dume linaweza kila kitu kuliko taifa lolote duniani Sasa imekuja Corona nchi za Africa tumeiwezea kuliko marekani Sasa baada ya marekani kuona ohhh vinanipita hata vi nchi vidogo kuishinda corona akaona atafute sababu za kujikosha kuwa ohhh mimi bado niko...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Texas Marekani wazungu wawapigia magoti weusi na kuwaomba radhi ya ubaguzi waliowafanyia miaka mingi

    Hulo Texas Marekani wazungu wafanya maombi ya toba na msamaha kwa Mungu na watu weusi wasamehewe kwa ubaguzi wa rangi, chuki na unyanyasaji waliowafanyia kwa miaka mingi.
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Nani mkweli kati ya Serikali yetu na Ubalozi wa Marekani? Je, Tanzania tunawaogopa sana Wamarekani? Kwanini waseme uongo huu waachwe?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala fikirishi, elimishi na hamasishi uzalendo za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hutolewa kwa mfumo wa maswali, makala ya leo ni kuhusu utoaji wa taarifa za Corona, COVID-19: Nani Mkweli Kati ya Serikali Yetu na Ubalozi wa Marekani...
  14. Jile79

    JamiiForums Tanzania Haki ya kuandamana na tamko la Tanzania kuhusu maandamano Marekani!

    Kufuatia kifo cha kikatili cha Mmarekani mweusi George Floyd, kumetokea maandamano Marekani na sehemu mbalimbali duniani kote tangu wiki iliyopita. Hapa kwetu Tanzania haki ya maandamano imetamkwa kikatiba katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Matukio mengi sana ya kuogofya yemetokea...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Licha ya Watanzania kuwalilia Marekani waache kuwatangaza, jamaa watangaza tahadhari nyingine dhidi ya Tz

    Hivi majuzi balozi wa USA nchini Tanzania alialikwa na wizara ya mambo ya nje, wakamsihi sana kwamba Marekani iache mambo ya kutangaza tangaza hali ya Corona ilivyo Tanzania, lakini mabeberu huwa wakaidi sana, wana jeuri isiyo ya kawaida, wamejibu kwa kutoa tahadhari nyingine dhidi ya Tanzania...
  16. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

    Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena. Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Marekani wanasumbuliwa na Umasikini sio Ubaguzi

    Marekani ni taifa lenye watu wengi wenye hali mbaya kimaisha mfano 40% ya watu weupe wanaishi kwenye umasikini. Pia watu wengi weusi wanaishi kwenye umasikini na msongo wa mawazo, yaani tuseme wanapata pesa ya kula na kulipia pango basi ili tatizo lipo pia South Africa na Kenya. Mifumo ya...
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Noti bandia ya $20 anayohisiwa kuitoa Floyd ndiyo chanzo matatizo Marekani

    dakika 30 za mwisho kabla ya kifo George Floyd Ilianza na ripoti kuhusu noti bandia ya $20. Ripoti ilitolewa jioni ya tarehe 25 Mei, wakati bwana Floyd alinunua pakiti ya sigara katika duka la Cup foods. Baada ya kuamini kwamba noti ya dola 20 aliyoitoa Floyd ilikuwa bandia, mfanyakazi...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Vita ya Marekani na China yaendelea kuwaka, China yatangaza kulipiza kisasi

    China imeionya Marekani kuwa italipiza kisasi baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza vikwazo dhidi ya wanafunzi wa China nchini Marekani katika hatua ya kulalamikia sheria mpya ya usalama wa taifa mjini Hong Kong. Trump alisema Ijumaa kuwa Marekani itawapiga marufuku baadhi ya...
  20. Chief Mtangi

    JamiiForums Tanzania Kifo cha George Floyd: Mashirika ya haki za binadamu yanaiogopa Marekani?

    Tokea tukio la kikatili na kibaguzi lililopelekea kifo cha George Floyd, mashirika ya haki za binadamu yapo kimya sana tofauti na ilivyo upande wa mataifa ya kiafrika. Tumezoea kuona mashirika haya yakikemea vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu katika nchi za ki-Africa lakini leo hii...
Back
Top Bottom