Hivi bongo mambo kama ya wall street Marekani?

DOCTOR UZI

Member
Apr 28, 2020
99
79
Wakuu za muda huu

Direct kwenye swali na hoja yenye kutaka kujua , kwa wale wapenzi wa movie kuna movie inaitwa wolf of wall street ya leonardo dicaprio na maggot robbie , ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kujua wall street kwa uchache
Wall street ni nini??

Kwa knowledge yangu ndogo ni mtaa wa kibiashara uliopo new york yaan huko ndo kuna ma investment banks but mainly mpaka kuuliza ni hili swala la ma brokarages meaning stock market unakuta watu wako wengi wanafanya stock broking au kwa jina la kawaida la kiforex ma brokers.

Je shughuli kama hizi hapa chini kwenye picha kuna sehemu nchi hii kweli zinafanyika???
downloadfile.jpg
 
Hizi zinawahusu magenius

Mbongo hawezi kujielewa hata kidogo atahisi Ni upatu Fulani au deci moya

Yeye muambje kuhusu kuuza karanga na kulima viazi uporoto ndio mtaelewana

So fanya kama huna hasara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu za muda huu

Direct kwenye swali na hoja yenye kutaka kujua , kwa wale wapenzi wa movie kuna movie inaitwa wolf of wall street ya leonardo dicaprio na maggot robbie , ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kujua wall street kwa uchache
Wall street ni nini??
Kwa knowledge yangu ndogo ni mtaa wa kibiashara uliopo new york yaan huko ndo kuna ma investment banks but mainly mpaka kuuliza ni hili swala la ma brokarages meaning stock market unakuta watu wako wengi wanafanya stock broking au kwa jina la kawaida la kiforex ma brokers.
Je shughuli kama hizi hapa chini kwenye picha kuna sehemu nchi hii kweli zinafanyika???
Dar Es Salaam stock exchange (DSE), kama sikosei iko mtaa wa Samora, ndio wanafanya shughuli kama za kwenye hiyo picha.
 
Umeamua utufokee kwa herufi kubwa au siyo..

Wanamalizia weekend wanakuja
 
Back
Top Bottom