Marekani itaporomoka vipandevipande ikiwa tu itawakataa Waisrael,itaikataa Ulaya na ikiwa itaanza kujitenga ndani ya majimbo yake....

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Marekani ndilo taifa linaloongoza kiuchumi na kijeshi duniani,lakini kuongoza kwake kunategemea washirika Israel na Ulaya,

Israel wanategemewa ktk teknolojia ya uundwaji wa silaha Kali Kali na maombi kwa Marekani,pia Waisrael wapo Urusi,wanachokifanya wakitoa silaha Toleo jipya Urusi Waisrael wa Marekani wanagundua silaha za kujikinga vilevile kwa Waisrael wa Marekani wakigundua silaha kali,wakati Ulaya ni binamu wa Marekani kiundugu na wanafanya biashara wote,hivyo ikiwa marekani atawapuuza hawa basi ni lazima ataporomoka toka namba moja.
 
Hakuna kitu kama hiki. Wamarekani wamepata Uhuru miaka ya 1770s. Waisraeli walipata nchi mwaka 1948 baada ya WW II na waliuwawa kwa idadi ya mamilioni.

Waingereza ndio walitoa eneo kuwapa Wayahudi sehemu ya kukaa. Kabla ya hapo US ilikuwepo na UK ilikiwepo na zitaendelea kuwepo. Hakuna uhusiano baina ya ustawi wa Israel na uchumi wa US.

UK, Canada, Japan, South Korea kwa sasa ni muhimu kiusalama na kiuchumi kuliko hiyo Israel yako.
 
Lakini ujue, barabara zilizokuwa zimeelekezwa Roma kutokea sehemu nyingi za nchi za Ulaya na Arabia Sasa zinapeleka watu kutoka Asia na North Africa wawe wa huko huko (Kama ilivyo kwa Barabara zitokazo Kigoma, Mwanza, Kagera, Mbeya, Kilimanjaro etc kupeleka watu kuelekea Dar es Salaam na kuwafanya waitwe wa Dar).
 
Hakuna kitu kama hiki. Wamarekani wamepata Uhuru miaka ya 1770s. Waisraeli walipata nchi mwaka 1948 baada ya WW II na waliuwawa kwa idadi ya mamilioni.

Waingereza ndio walitoa eneo kuwapa Wayahudi sehemu ya kukaa. Kabla ya hapo US ilikuwepo na UK ilikiwepo na zitaendelea kuwepo. Hakuna uhusiano baina ya ustawi wa Israel na uchumi wa US.

UK, Canada, Japan, South Korea kwa sasa ni muhimu kiusalama na kiuchumi kuliko hiyo Israel yako.

Waingereza hawakuwapa wayahudi nchi, bali waisraeli walirudi kwao rasmi
 
Huwa sipendi kutoa link nzima. Soma hapa....
"With the collapse of the Ottoman Empire during World War I, Britain took over Palestine. In 1917, Britain issued the “Balfour Declaration,” which declared its intent to establish a Jewish homeland in Palestine. Although protested by the Arab states, the Balfour Declaration was included in the British mandate over Palestine, which was authorized by the League of Nations in 1922. Because of Arab opposition to the establishment of any Jewish state in Palestine, British rule continued throughout the 1920s and ’30s."

Britain, France, US walitoa msaada na wakatoa silaha siku hiyo Ben Gulion alipotangaza creation of the State of Israel. Britain ndiye aliondoa majeshi yake hili eneo la Israel mchana ili usiku wajitangazie taifa.
 
...Nchi za Ulaya magharibi na Israel ni washirika muhimu sana wa Marekani kiuchumi na kiusalama hilo halina ubishi.

Ila hapo kwenye uundwaji wa silaha nadhani Israel inaitegemea zaidi Marekani, kumbuka Israel 🇮🇱🇮🇱 ndio taifa linalopokea msaada mkubwa wa kijeshi kutoka Marekani kuliko nchi yoyote hapo mashariki ya Kati.
 
Hii conspiracy theory sijui nani aliyokuja nayo, inatafuna zaidi ya kansa.
 
Huwa sipendi kutoa link mzima. Soma hapa....
"With the collapse of the Ottoman Empire during World War I, Britain took over Palestine. In 1917, Britain issued the “Balfour Declaration,” which declared its intent to establish a Jewish homeland in Palestine. Although protested by the Arab states, the Balfour Declaration was included in the British mandate over Palestine, which was authorized by the League of Nations in 1922. Because of Arab opposition to the establishment of any Jewish state in Palestine, British rule continued throughout the 1920s and ’30s."

Britain, France, US walitoa msaada na wakatoa silaha siku hiyo Ben Gulion alipotangaza creation of the State of Israel. Britain ndiye aliondoa majeshi yake hili eneo la Israel mchana ili usiku wajitangazie taifa.

Na mimi nina ushahidi Israel ni mali ya waisraeli na walirudi nyumbani kama sera yao inavyosema "We will always come home", haikuwa mali ya Palestine bali ni mali ya Israel. Israel ni mali ya Israel, hata Jerusalem ni mali ya Israel.

Basi wewe utakuwa umesoma andiko kwa mujibu wa Palestina wanavyodai. Na mimi nimesoma andiko kwa mujibu wa Wayahudi. Kwahyo wamerudi kwao
 
Sasa hilo unalosema na nililosema vina ufanano gani?

Mimi nimesema Uingereza iliiacha Palestine ili Israel wawe autonomous, wewe unanitajia "Israel ni mali ya Waisrael".
Mtu anakwambia Tanganyika ilipata uhuru kutoka kwa Uingereza, wewe unapinga kisha unasema "Tanzania ni mali ya Watanzania".
 
Ok, nlidhani ulimaanisha kuwa waingereza ndo waliwapa nchi, hapo ndo nkapinga maana wayahudi walikuwa wametawanyika mataifa mbalimbali sio uingereza pekee
 
Sasa hilo unalosema na nililosema vina ufanano gani?

Mimi nimesema Uingereza iliiacha Palestine ili Israel wawe autonomous, wewe unanitajia "Israel ni mali ya Waisrael".
Mtu anakwambia Tanganyika ilipata uhuru kutoka kwa Uingereza, wewe unapinga kisha unasema "Tanzania ni mali ya Watanzania".
:D :D :D ,Jamaa anazunguka mule mule ila hajui.
 
Marekani ndilo taifa linaloongoza kiuchumi na kijeshi duniani,lakini kuongoza kwake kunategemea washirika Israel na Ulaya,

Israel wanategemewa ktk teknolojia ya uundwaji wa silaha Kali Kali na maombi kwa Marekani,pia Waisrael wapo Urusi,wanachokifanya wakitoa silaha Toleo jipya Urusi Waisrael wa Marekani wanagundua silaha za kujikinga vilevile kwa Waisrael wa Marekani wakigundua silaha kali,wakati Ulaya ni binamu wa Marekani kiundugu na wanafanya biashara wote,hivyo ikiwa marekani atawapuuza hawa basi ni lazima ataporomoka toka namba moja.
Sijui ndio tetemeko hueleweki lengo la Uzi wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom