Trump kuipiga marufuku application ya Tik Tok ndani ya saa 24 nchini Marekani

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,450
17,149
Mwezi uliopita Trump alitangaza kua ataipiga marufuku TikTok na mitandao mingine ya kichina nchini Marekani kwa tuhuma kua inatumika na serikali ya China kuiba data.

Leo Trump ametangaza kua anaipiga marufuku ndani ya masaa 24 kwa kutumia sheria ama Executive order.

Juzi bunge la Marekani lilikua linawahoji wamiliki wa makampuni makubwa ya mitandao, Trump akaitaaka bunge kuyachukulia hatua hayo makampuni na kama watashindwa atayashughulikia yeye mwenyewe kwa Executive orders.



===

President Donald Trump said Friday that he plans to bar the Chinese-owned video-sharing app TikTok from operating in the United States, a move that comes as officials across Washington accuse the company of posing a national security risk.

“As far as TikTok is concerned we’re banning them from the United States,” Trump told reporters traveling with him from Tampa aboard Air Force One. He said he could take action against the company as soon as Saturday.
Advertisement

TikTok, owned by Chinese tech giant ByteDance, has come under fire from lawmakers and government officials on both sides of the aisle over fears that it could turn over American users' information to the Chinese government. TikTok says it has not provided consumers’ personal information to Beijing and would not do so.

The president said he could use emergency economic powers or an executive order to ban TikTok in the United States.

“Well, I have that authority. I can do it with an executive order or that,” Trump said, referring to emergency economic powers.

Trump made clear he was not in favor of a deal to let a U.S. company buy TikTok’s American operations, following reports that Microsoft is in talks to do just that.

An administration official said earlier Friday that the administration would force ByteDance to divest ownership of TikTok through a ruling by the Committee on Foreign Investment in the United States, or CFIUS. The official spoke on condition of anonymity because they were not authorized to speak publicly.

Treasury Secretary Steven Mnuchin confirmed earlier this week that TikTok has been under review by the inter-agency body, which evaluates whether foreign investments pose security risks. ByteDance acquired TikTok's precursor, Musical.ly, in 2017.

Mnuchin said Wednesday that he expected CFIUS to make a recommendation for action on TikTok this week.

After reports of a planned administration action against the company surfaced earlier Friday, TikTok spokesperson Jamie Favazza said in a statement, "While we do not comment on rumors or speculation, we are confident in the long-term success of TikTok. Hundreds of millions of people come to TikTok for entertainment and connection, including our community of creators and artists who are building livelihoods from the platform."

Fox Business and other news outlets reported that tech giant Microsoft is in talks to acquire TikTok, a move that would give the trillion dollar company a fresh footprint in the social media market. Microsoft declined comment on the reports.

The Trump administration plan to order ByteDance to sell off TikTok was previously reported by Bloomberg.
 
Hatari za Kiusalama | National Security Risk!

Hili si jambo geni kuihusu TikTok ukizingatia kuwa tayari kuna nchi zingine kama vile Indonesia pamoja na India zimekwisha wahi kufanya hivyo.

Kiwango cha taarifa kinachokusanywa na TikTok kinaweza kusababisha hatari za kiusalama. Hili pia si katika TikTok pekee bali hata katika apps nyinginezo.

Miongoni mwa taarifa zinazokusanywa na TikTok ni jumbe za watumiaji, picha, apps nyinginezo zinazotumika na watumiaji, wavuti, historia ya utafutaji, mahali/eneo mtumiaji alipo (location) na hata taarifa kuhusu kile mtumiaji anachokiandika ama anachobofya kupitia keypad/keyboard yake.

Lakini, tofauti kubwa kati ya TikTok na apps nyinginezo ni hii;
Kampuni ya ByteDance anayoimiliki TikTok, ni kampuni iliyoko chini ya sheria za udhibiti za serikali ya China. Maana yake ni kwamba ByteDance itahitajika kuwasilisha taarifa za mtumiaji/watumiaji wa app hiyo, ikiwa serikali ya China itazihitaji.

Hilo linayaweka mataifa mbalimbali katika "hatari za kiusalama" pale taarifa za raia wake zinapotolewa ama zitakaposambazwa na kutumika na serikali ya China na hapo ndipo linapokuja suala ya kuifungia TikTok katika nchi hizo.
 
Hii yote ni longo longo, Trump kaona Tik Tok inaikaribia kuipiku Youtube kama Huawei ilivyokuwa kwa Iphone ndio anaanza kuja na ubabe wake.
Wamarekani wanataka kila kilicho successfull kiwe chao, wanaset standards, wengine muwe wafuasi tuu.
Sure mkuu
 
Back
Top Bottom