China: Tunapinga vikali hatua ya Marekani kulenga kuyadhoofisha Makampuni ya Kichina

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,576
17,693
Serikali ya China imesema inapinga vikali hatua ya Marekani kulenga kuyadhoofisha ama kuyaua makampuni ya kimtandao ya kichina.

China imeitaka Marekani kuendelea kuweka mizania sawa ya kibiashara badala ya kutaka kuyawekea vikwazo vya kibiashara makampuni ya kichina.

Juzi jumapili Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bwana Pompeo alisema Rais Donald Trump anadhamiria kuyaongeza makampuni mengi zaidi ya kichina kwenye black list ya makampuni yanayohatarisha usalama wa nchi.

China expresses opposition after U.S. threatens actions against Chinese software firms
 
... Trump yuko sahihi. Kwa usalama wa taifa lake ni lazima aongeze mbinyo kwa makampuni yanayoonekana kuhatarisha usalama wa USA. Mission ya kiongozi yeyote makini ni ulinzi wa taifa na watu wake; Trump yuko sahihi. Wachina wanalialia nini wakati kwao taarifa zote zinazoingia au kutoka ni lazima zichujwe na serikali?
 
Kashinda pambana fairly kwenye uwanja wa teknolojia maana wazee wanacopy halafu wanagonga vya bei chee, kaona hapa ni kuwapakazia. Huawei bila hira za Mmarekani alikuwa anakula matenda kila kona ya 5G, tik tok ndani ya muda mfupi alikuwa ame take over US by storm,
 
Anaelalamika hapa nani? Nan ambae halali? Umesikia kelele zozote toka Waahington zaid ya konzi zinazoingia Beijing tu moja moja huku wanaume wakiwa kimya
MKUU kabla hujajibu koment yamtu kwanza isome uielewe halaf uangalie alomjibu alichangia nini usikurupuke asee

Kwan mimi wapi nimeiongelea UCHINA hapo ama u.s.a ?!

mnakwamia wapi asee ?!.
 
MKUU kabla hujajibu koment yamtu kwanza isome uielewe halaf uangalie alomjibu alichangia nini usikurupuke asee

Kwan mimi wapi nimeiongelea UCHINA hapo ama u.s.a ?!

mnakwamia wapi asee ?!.
Nan mwingine mwenye dalili ya super p ambae hata yuko top ten hata ukitumia mafumbo si lazima tuu tuelewe mkuu
 
Nan mwingine mwenye dalili ya super p ambae hata yuko top ten hata ukitumia mafumbo si lazima tuu tuelewe mkuu
hahaha halaf mimi sina muda wakuongea kwamafumbo MKUU mimi hua nipo straight kabisa ila tatizo lako hujaelewa umekurupuka tu MKUU kunijibu nandio maana huelewi kipi kinaendelea hapa hem ipitie vyema hio coment yajamaa unaweza ukapata kamwanga kadogo kama hujakapata ntakuonyesha how ulikurupuka
 
Kwa mtizamo wako labda lakin mm nilielewa
 
China kila kitu chao feki acha Mmarekani awanyooshe,nahisi hata yale macho yao huwa ni feki.

Sema ugomvi wa wakubwa watoto kazi yetu kushuhudia tuu.
 
Back
Top Bottom