Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.
Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
Marekani ni taifa lenye watu wengi wenye hali mbaya kimaisha mfano 40% ya watu weupe wanaishi kwenye umasikini.
Pia watu wengi weusi wanaishi kwenye umasikini na msongo wa mawazo, yaani tuseme wanapata pesa ya kula na kulipia pango basi ili tatizo lipo pia South Africa na Kenya.
Mifumo ya...
dakika 30 za mwisho kabla ya kifo George Floyd
Ilianza na ripoti kuhusu noti bandia ya $20. Ripoti ilitolewa jioni ya tarehe 25 Mei, wakati bwana Floyd alinunua pakiti ya sigara katika duka la Cup foods.
Baada ya kuamini kwamba noti ya dola 20 aliyoitoa Floyd ilikuwa bandia, mfanyakazi...
China imeionya Marekani kuwa italipiza kisasi baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza vikwazo dhidi ya wanafunzi wa China nchini Marekani katika hatua ya kulalamikia sheria mpya ya usalama wa taifa mjini Hong Kong.
Trump alisema Ijumaa kuwa Marekani itawapiga marufuku baadhi ya...
Tokea tukio la kikatili na kibaguzi lililopelekea kifo cha George Floyd, mashirika ya haki za binadamu yapo kimya sana tofauti na ilivyo upande wa mataifa ya kiafrika.
Tumezoea kuona mashirika haya yakikemea vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu katika nchi za ki-Africa lakini leo hii...
Nilidhani ''watetezi wa haki za binadamu'' wangekuwa mstari wa mbele kulaani yanayotokea Marekani ,bahati mbaya hawayaoni hayo,kisa ni baba yao ndio anayafanya hayo''mazuri'' hayo yangefanyika Tanzania basi ungewasikia Zitto,Lissu,Fatuma na Maria wanaitisha press conference na kulaani kwa nguvu...
Swala la ubaguzi wa rangi Marekani sio swala linalotokea kwa bahati mbaya. Chuki ya Mzungu dhidi ya mweusi sio tabia/hulka ya mtu. Ubaguzi Marekani unatokana na mfumo wa nchi hiyo, Wabaguzi wa rangi nchini Marekani hawajatokea kwa bahati mbaya bali mfumo ndo umetengeneza watu wa namna hiyo...
Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani.
CC: Mmawia
Mtanzania ahamisha maandamano Marekani kwa nyimbo za Kiswahili. Waandamaji wamuitikia kwa kuimba Kiswahili
Serious nimependa sana.
Kidogo kidogo kiswahili kitaenea tu.
Nimepewa taarifa na insider/friend in the US Army kwamba Jeshi la Marekani lina utafiti unaoendelea Tanzania chini ya mwavuli wa HIV na Malaria.
Nimepewa mpaka na link, I have read it,ni kweli Jeshi la Marekani lina utafiti unao endelea Tanzania.Read the following.Nime-copy na ku-paste...
"Kikosi kazi mahiri (Jeshi) kimeenda Minneapolis kufanya kazi ambayo Meya wa Democrat ameshindwa kuifanya, kama tungetumia mbinu hii siku mbili nyuma kusingekuwa na vurugu na uharibifu kiasi hiki, Makao Makuu ya Polisi yasingeharibiwa, Asante” - Rais wa Marekani, Donald Trump
•
“Asilimia 80 ya...
The governor of Minnesota called up the state’s entire national guard Saturday for the first time since World War II, awaiting what could be a fifth night of violent protests brought about by the death of an African American man in police custody
For the past four nights, protesting has led to...
Sina maneno mengi ila marekani kwenye vita kabaki jia tu licha ya kuligharamia mno jeshi lake
list ni hii
1.RUSSIA
2.CHINA,
3UK (UK + Australia + Canada)
Marekakani imekua ikiwatuhumu wanafunzi na watafiti kutoka china kwa wizi wa nyaraka za siri za kiutafiti kutoka kwenye vyuo wanavyosoma na kuzipeleka China.
Juzi juzi hapa ilikamata watafiti kadhaa kwa kutorosha sampuli za virusi kwenda China.
Marekani imekua ikiituhumu China kutumia...
Habari zenu wakuu!
Kwanza kabisa, baada ya Marekani kupitia rais Donald Trump kutangaza kusitisha rasmi mahusiano na Shirika la Afya Duniani WHO, kunaweza kuwa pigo kubwa kwa shirika hilo maana hapo baadaye ndani ya kila miaka miwili shirika litakuwa likizikosa dola za Kimarekani takribani...
Tukio limetokea Marekani, wanaoumia na kuteseka ni wabongo kisa mtu mweusi kuuawa. Hao wanaoandamana na kuvunja maduka na kuiba bidhaa zilizomo walikuwa wapi hawakuandamana kipindi Marekani amevamia na kuuwa "innocent people" bila kujali wazee, watoto na wajane, bila huruma yoyote!
Nchi za...
Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Minneapolis Derek Chauvin amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya mauaji juu ya kifo cha George Floyd, mwendesha mashitaka wa kaunti ya Hennepin Mike Freeman alisema.
Afisa huyo wa zamani alionekana katika video akiikandamiza kwa goti lake shingo ya Floyd kwa...
Rais wa Marekani Bwana Donald Trump leo ametangaza nchi yake kujitoa rasmi shirika la afya Duniani.
Marekani huchangia 15% ya bajeti ya WHO na ndie mchangiaji mkubwa anayetegemewa.
Je, WHO itaweza kuishi bila mchango wa USA?
Je, ni wakati nchi zetu masikini kuanza kuchangia WHO?
Kundi la wanamgambo linalojiita Dola la Kiislamu, IS limemshambulia Waziri Mkuu mpya wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi, kwa kumuita "kibaraka wa Marekani". Aidha IS imekosoa hatua ya kufungwa kwa eneo takatifu zaidi la ibada la Kiislamu katika mji mtakatifu wa Mecca, nchini Saudi Arabia, katika hatua...
Taifa la Marekani limetoa taarifa ifuatayo, kumbuka kaimu balozi wa Marekani aliitwa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa kuhojiwa, one does not have to be a genius to understand this.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.