marekani

  1. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad

    Makao Makuu ya Jeshi la Marekani imesema Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad nchini Iraq Januari 8 Tehran ilirusha makombora dhidi ya kambi za Ain al-Assad (Magharibi) na Erbil (Kaskazini), ambapo baadhi ya wanajeshi...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maseneta 100 wa Marekani waapishwa kama Baraza la mahakama litakaloshughulikia kesi inayomkabili Rais Donald Trump

    Maseneta 100 wa Marekani wameapishwa Alhamisi kama baraza la mahakama litakaloshughulikia kesi inayomkabili Rais Donald Trump. Hakimu mkuu wa mahakama ya juu zaidi John Roberts aliapisha maseneta kuhakikisha wanatenda haki bila upendeleo. Wiki zijazo, maseneta wataamua iwapo Trump anastahili...
  3. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya Marekani ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga ni ya hovyo

    Baada ya Marekani kujinadi sana wana mitambo bora ya kujilinda dhidi ya makombora na shambulio lolote la anga, tambo za kuunadi mfumo wa Patriot ni bora na kupondea mfumo shindani wa Urusi wa S-400, imedhihirika mitambo ya Patriot ni feki baada ya kushindwa kuzuia shambulio la kwenye visima vya...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yaiondoa china kwenye viwango vya nchi wadhibiti wa ubadilishaji fedha

    Marekani imeiondoa China kutoka kwenye orodha yake ya nchi zinazodhibiti kiwango cha ubadilishaji wa fedha. Ripoti iliyotolewa jana na Wizara ya fedha ya Marekani inasema kwa sasa hakuna nchi mshirika wa kibiashara wa Marekani anayefikia vigezo vya kisheria vya kudhibiti thamani ya sarafu yake...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wiki 1 ya kifo cha Kamanda Soleiman: Kiongozi wa Hezbollah aapa kuwarudisha wanajeshi wa Marekani nchini kwao wakiwa kwenye majeneza

    Kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah amesema kutakuwa na operesheni mbalimbali dhidi ya vikosi vya Marekani katika kanda ya mashariki ya kati, ili kulipiza kisasi Marekani kuwaua makamanda wa Iran na Iraq mapema mwezi huu. Bw. Nasrallah ameyasema hayo katika hotuba ya televisheni kwa ajili ya...
  6. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Tukio la kutia hamasa waandamanaji Iran walivyokwepa kukanyaga bendera ya Marekani na Israel

    Mzuqa, Juzi tuikio la ajabu lilitokea Tehran Iran ambapo waandamanaji wanaopinga utawala wa Ayatollah walikwepa kukanyaga Bendera za Marekani na Israel walipokuwa wanaandamana kupinga utawala dhalimu wa Ayatollah na kumshinikiza ajiuzulu. Ni kawaida Iran kuchora bendera za Marekani na Israel...
  7. DIDAS TUMAINI

    JamiiForums Tanzania Katika hili, Marekani imeshamkamata Iran

    Hapa ndio waarabu na jamaii kama hizo zinapofeli Kundi la waandamanaji limetaka Kiongozi wa Juu, Ayatollah Khamenei pamoja na viongozi wengine waandamizi kujiuzulu nyadhifa zao baada ya kukiri kuitungua Ndege ya Boeing 737-800, mali ya Shirika la Ndege la Ukraine (UIA) na kusababisha vifo vya...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani lazuia vita dhidi ya Iran, kura zapigwa

    Bunge la Wawakilishi nchini Marekani limepitisha azimio linalolenga kumzuia Rais Donald Trump kupigana vita na Iran. Bunge hilo ambalo linafahamika pia kama Kongresi limepitisha azimio hilo kwa kura 224 dhidi ya 194. Hata hivyo azimio hilo lililopitishwa na Kongresi ambayo ina wawakilishi...
  9. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Ukraine ilitunguliwa kwa kombora

    Maafisa kutoka nchini Marekani wamedai kuwa ndege ya abiria ya Ukraine Boeing 737-800 iliyoanguka nchini Iran ilitunguliwa kwa kombora la Iran. Wakati huohuo Pentagon kupitia afisa wa juu wa masuala ya kiintelijensia pamoja na afisa mwingine wa masuala ya kiintelijensia wa Iraq wamenukuliwa...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila Rais wa Marekani sharti aondoke na kichwa cha mtu mtata?

    bush senior aliuondoa ubabe wa iraq ndani ya kuwait. clinton sikumbuki. ila nakumbuka ishu ya monika lewinski 🤣 bush mtoto alikomesha utawala wa talenan, akala kichwa cha saddam obama akala kichwa ya osama, rest in peace. trump kala hii kamanda ya magaidi ya iran kassimu. wakongwe wa zamani...
  11. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Raia wawili wa China wakamatwa wakipiga picha kambi ya jeshi la Marekani

    Shirika la upelelezi nchini Marekani, FBI liliwakamata raia wawili wa China mwishoni mwa juma kwa kosa la kupiga picha kinyume cha sheria kambi ya Jeshi la majini la Marekani huko Florida. Hili ni tukio la pili kufichuliwa na mamlaka hiyo, matukio ambayo yamekuwa yakitekelezwa na raia wa China...
  12. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza

    Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza. Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini.
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Iran: Marekani ipo 'tayari kufanya mazungumzo' na Tehran

    Marekani imesema ipo "tayari kujadiliana na Iran bila masharti" baada uhasama uliozuka baina ya nchi hizo kufuatia mauaji ya jenerali Qasim Soleimani. Katika waraka wake kwa Umoja wa Mataifa, Marekani ilijitetea kuwa ilimuua jenerali wa jeshi la Iran Qasem Soleimani kama hatua ya kujilinda...
  14. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Middle East Political Unrest: Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje wanatoa tamko gani juu ya usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya Kati?

    Shikamoo wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Leo swali langu ni kama ifuatavyo; Serikali kupitia Wizara ya mambo ya nje wanatoa tamko gani kuhusiana na usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tanzania ipo salama dhidi ya vitendo vya ugaidi

    Jeshi la Polisi nchini limewahakikishia raia wa kigeni wakiwemo watalii, kuwa nchi ipo salama dhidi ya vitendo vya kigaidi; na linaendelea kuimarisha ulinzi katika maeneo yote ya nchi. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime. Alisema hayo wakati akizungumzia...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Marekani yazuia mali za Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudani Taban Deng Ga

    Serikali ya Washington imeamua kumuadhibu Makamu wa Kwanza wa Rais, Taban Deng Gai. Marekani inaendelea kuiwekea shinikizo Juba wakati mchakato wa amani unaendelea kucheleweshwa. Serikali ya Umoja imepangwa kuundwa hadi mwezi Februari. Wizara ya Fedha imeamua kuzuia mali za Taban Deng Gai...
  17. Kizzy Wizzy

    JamiiForums Tanzania Trump is trying to fool Iranian, he is using one of the deadliest military principles

    ...
  18. 100 others

    JamiiForums Tanzania Green Zone imeshambuliwa kwa maroketi karibu na ubalozi wa Marekani Baghdad Iraq

    Habari zilizojiri hivi punde ni shambulizi la maroketi mawili katika eneo la Green Zone huko Baghdad karibu na ubalozi wa USA. Makombora hayo yamerushwa masaa kadhaa baada ya Rais Donald Trump kutangaza kwamba Iran inaonekana kusitisha mzozo wa kijeshi na Marekani. Mpaka sasa haifahamiki...
  19. Viol

    JamiiForums Tanzania Trump: Hakuna Mwanajeshi wetu yeyote aliyekufa au kujeruhiwa katika shambulio la Iran. Iran inaonekana kusitisha kulipa kisasi

    Ambao mpo kwenye mitandao ya kijamii,youtube au sky news Rais wa marekani yupo live kuzungumzia mgogoro wa Marekani na Iran. Pia kama una tv unaweza kuangalia CNN,Aljezira . Tupeane updates ***** UPDATE Baada ya Iran kushambulia Kambi mbili za Jeshi za Marekani huko Iraq, Rais Trump...
  20. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Yule contractor aliyeuliwa na Hezbollah ubalozi wa Marekani Baghdad alikuwa Muiraq raia wa Marekani

    Mzuqa wanajamvi! Yule contractor aliyeuwawa na waandamanaji na vikundi uchwara vya kigaidi vyenye vimelea na Hezbollah na Iran katika ubalozi wa Marekani Baghdad na ambaye kifo chake kinaweza sababisha WW3. nchini Iraq alikuwa Mmarekani Muiraq ambaye alipata uraia wa Marekani mwaka wa 2017...
Back
Top Bottom