Marekani walijua kabisa kwamba kulikuwa na kikosi kilichobatizwa jina la "Wasiojulikana" hapa nchini, kikosi ambacho kilijikita katika kuteka watu na hata kuua. Na Marekani waliona wazi kwamba wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana walikuwa ni kutoka vyama vya upinzani pamoja na waandishi wa...
Kiongozi mkuu wa kidini nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema Iran haitopokea msaada wowote kutoka Marekani, katika kubadili hali ilivyo kutokana na wimbi la maambukizi ya virusi vya corona nchini mwake. Katika taarifa yake hiyo Khamenei alirejea kuizungumzia dhana ya kwamba virusi hivyo...
Marekani ndio kichaka kikubwa cha pesa chafu ulimwenguni. Hazina ya Mrekani inakadiria kuwa $ 300bn hutakatishwa kila mwaka, hii ni sehemu ndogo ya namba halisi.
Mbaya zaidi, serikali haijui ni nani anayedhibiti kampuni ambazo hutakatsha pesa kwa sababu Marekani haina taasisi inayoshughulikia...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Geng Shuang amesikitishwa na kauli iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani alipoita Corona virus "Chinese virus".
Kauli hiyo haijawafurahisha kabisa Wachina kwani inaonesha unyanyapaa.
======
Donald Trump has referred to the coronavirus as “the...
Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia.
Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya.
Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
Rais Donald Trump ametangaza hali ya dharura kutokana na kuenea kwa virusi vya corona, pamoja na upatikanaji wa karibu dola bilioni 50 kama msaada zaidi wa serikali ya shirikisho kupambana na ugonjwa huo.
Trump ametoa tangazo hilo katika mkutano na waandishi wa habari na kusema kwamba hali...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Kigeni wa China Zhao Lijian amesema kuna wasiwasi kwa asilimia kubwa kuwa Marekani kupitia Jeshi lake ndio wahusika wakuu waliopandikiza corona China na kwamba ugonjwa huo haukuanzia eneo la Wuhan,China bali ulianzia Marekani.
Source: Chinese News
Mpaka sasa Marekani wameshaonya zaidi ya mara moja ila wahusika wametia pamba masikioni na kuendeleza matendo yao ya unyanyasaji na ukiukaji wa haki za binadamu hasa kwa wanasiasa wa upinzani.
Kwa sababu hiyo,msishangae wakati wowote kuanzia sasa serikali ya Marekani ikatangaza hatua kadhaa...
Iraq has condemned overnight US air strikes on Friday, with its military saying they killed six people and describing them as violation of sovereignty and a targeted aggression against the nation's regular armed forces.
President Barham Salih said such "repeated violations" could cause Iraq to...
Katika hali ya Kutisha iliyoikumba Nchi ya Iran... sasa Wameomba Po na kuomba Marekani iwaondolee Vikwazo katika idara ya Afya ili iweze kupambana na Gonjwa Jipya la Mafua linaloua kwa kasi raia wa Iran ambapo hadi kufikia leo mapema ni Raia 413 walishadanja huku raia zaidi ya elfu kumi wakiwa...
Ukiwa unakimbizwa na mbwa wewe rusha mifupa nyuma tu,wakiwa bize kugombea ww tayari unachanja mbuga.
Hii ni moja ya mbinu mpya kabisa ambazo ni ngumu kujulikana na kila mtu.
Lengo la US ni kumdhoofisha Mchina kiuchumi baada ya kuona anakuja juu kama moto wa kifuu.
Kirusi icho inasemekana...
Hii ni habari mpasuko inayotangazwa muda huu na Waziri wa afya wa Kenya.
Kwa kuanzia anapiga marufuku mikusanyiko yote.
Shule hazitafungwa kwa sasa
Mipaka yote kudhibitiwa.
------
The Kenyan Government has confirmed the first case of coronavirus in the country.
Health CS Mutahi Kagwe...
Tukiwaambia Corona saa hz ni tishio
Angalia Jana Ufaransa imezuia mashabiki wa PSG kwenda Uwanjani
Uingereza imetoa €30 billion kuzuia athari za kiuchumi
Angela Mekel amesema ugonjwa huu unaweza kuambukiza 75% ya watu usipozuiriwa
China itatoa $40 billioni kufidia athari za kiuchumi...
Rais Trump amesema hatua hiyo ni katika kujikinga na kusambaa kwa virusi vya corona. Pia amewashauri Wamarekani mwenye umri mkubwa kuepuka kusafiri ikiwezekana
Zuio hilo la Wasafiri kutoka Ulaya litakaloanza Kesho Ijumaa Machi 13, 2020 na kudumu kwa siku 30 halitawahusu Wasafiri kutoka...
Marekani haijamtuma mtu kuua watu kufunga watu na kuteka watu hapana, Marekani haijatuma mtu kuwashambulia watu kwa risasi hapana, Marekani haijamtuma kuzima vyombo vya habari na kuzuia siasa kwa wapinzani kwa miaka 5 hapana,
Kama serikali haijawatuma hao watu kwanini hafanyi upelelezi kuleta...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa kuzungumzia Maslahi kwa Taifa, huwa nazungumza. Watanzania wenzangu, tuwe watu wa shukrani kwa yote, kukifanyika mazuri tushukuru, na hata kwa mabaya tushukuru, huwezi jua, hii hukumu ya kina Mbowe japo imegeuzwa ni mtaji, lakini tushukuru. What...
Zimbabwe on Thursday said it was dismayed by the White House's "baffling" decision to extend sanctions against members of the southern African country's government over rights abuses.
The United States first imposed sanctions, including financial and travel restrictions, in 2003 against...
The U.S. Embassy is seeking for an individual for the position of House Manager for a senior level diplomat.
OPEN TO: ALL ORDINARILY RESIDENT (OR) APPLICANTS. MUST HAVE THE REQUIRED WORK AND/OR RESIDENCY PERMITS TO BE ELIGIBLE FOR CONSIDERATION.
OPENING DATE: March 4, 2020
CLOSING DATE...
Watu 25 wamefariki dunia na wengine 77 hawajulikani walipo baada ya vimbunga viwili kupiga katika Jimbo la Tennessee Marekani. Watu 150 wamejeruhiwa na asilimia kubwa ya majengo yameharibiwa vibaya
Mamlaka zinaendelea na zoezi la uokoaji. Shule zimefungwa kwa muda
=====
The death toll from...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.