Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,007
- 9,873
Ni miaka 22 tangu shambulio la kigaidi katika balozi za Marekani, Nairobi na Dar es Salaam
Ni miaka 22 tangu shambulio la kigaidi lilipotokea katika ofisi za ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na Nairobi.
Agosti 7,1998, watu 213 waliuawa katika ubalozi wa Marekani Nairobi na 11 Dar es Salaam na wengine 5,000 walijeruhiwa.
Na 12 kati yao walikuwa raia wa Marekani.
Leo imetimu miaka 22 toka kulipuliwa kwa Balozi za Marekani nchini #Tanzania na #Kenya. Tunawaenzi wale wote waliopoteza maisha yao na kujeruhiwa katika shambulio hilo na tunakumbuka kwa shukrani moyo wa huruma ulioonyeshwa na Watanzania na Wakenya kufuatia shambulio hilo.