Vikwazo vya Marekani: Huawei yatangaza kuacha kutengeneza simu za viwango vya juu, flagship phones

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,456
17,214
Baada ya vikwazo vya Marekani, kampuni ya Huawei imetangaza kuacha kuzalisha flagship chipsets za Krin zinazotumika kuendesha simu za viwango vya juu ama flagship phones kama Huawei P series na Huawei Mate series.

Vikwazo vya Marekani vimefanya imekua ngumu kwa Huawei kupata vifaa vya kutengeneza hizo chipsets kutoka kwa suppliers wake wakubwa kama Qualcomm, TSMC, Samsung na wengine wengi.

Huawei imekiri kua vikwazo vya Marekani vimeanza kung'ata ndani kabisa, hivyo division yake ya chipset Manufacturing inafungwa muda si mrefu.

Ama kweli Marekani acheni aitwe Marekani.

====

SHANGHAI/SHENZHEN, China (Reuters) - Huawei Technologies Co will stop making its flagship Kirin chipsets next month, financial magazine Caixin said on Saturday, as the impact of U.S. pressure on the Chinese tech giant grows.

U.S. pressure on Huawei’s suppliers has made it impossible for the company’s HiSilicon chip division to keep making the chipsets, key components for mobile phone, Richard Yu, CEO of Huawei’s Consumer Business Unit was quoted as saying at an industry event in Shenzhen.

With U.S.-China relations at their worst in decades, Washington is pressing governments around to world to squeeze Huawei out, arguing it would hand over data to the Chinese government for spying. Huawei denies it spies for China.

The United States is also seeking the extradition from Canada of Huawei’s chief financial officer, Meng Wanzhou, on charges of bank fraud.

In May the U.S. Commerce Department issued orders that required suppliers of software and manufacturing equipment to refrain from doing business with Huawei without first obtaining a license.

“From Sept. 15 onward, our flagship Kirin processors cannot be produced,” Yu said, according to Caixin. “Our AI-powered chips also cannot be processed. This is a huge loss for us.”

Huawei’s HiSilicon division relies on software from U.S. companies such as Cadence Design Systems Inc or Synopsys Inc to design its chips and it outsources the production to Taiwan Semiconductor Manufacturing Co (TSMC), which uses equipment from U.S. companies.

Huawei declined comment on the Caixin report. TSMC, Cadence and Synopsys did not immediately respond to email requests for comment.

HiSilicon produces a wide range of chips including its line of Kirin processors, which power only Huawei smartphones and are the only Chinese processors that can rival those from Qualcomm in quality.

“Huawei began exploring the chip sector over 10 years ago, starting from hugely lagging behind, to slightly lagging behind, to catching up, and then to a leader,” Yu was quoted as saying. “We invested massive resources for R&D, and went through a difficult process.”
 
Mleta mada tofautisha flagship chipset na flagship smartphone.

Huawei walikuwa wanapata flagship chipset kutoka kwa Taiwanese Semiconductors Manufacturing Corporation (TSMC) ambao ndio the best duniani. Pia walikuwa wanapata baadhi ya components ili watengeneze processors zao za Kirin lakini TSMC watasitisha kuiuzia Huawei kwa kuwa Marekani imetaka kampuni zinazotumia tech yake zisifanye kazi na Huawei labda kwa ruhusa. Hapa hata US hana teknolojia ya maana ya foundry, kina Samsung na TSMC ndio wababe. Kina Qualcomm na Intel Wamarekani ndio wanakuja nyuma.

Huawei kuona hivyo walifanya order ya chipset za kutosha simu millioni 15 tena hizi Huawei Mate 40 ambazo ndo simu za kwanza kutumia 5nm processor. Hata iPhone 12 itazikuta zishatangulia kuwa nayo. Simu nyingine zisizo high end watatumia technology yao kutenegeneza, hawashindwi kutengeneza 16nm. Pia wako bize mno kwenye maabara zao kuibuka na breakthrough. Kwangu mimi teknolojia ya Mchina nasubiri kuipima hapa.

Huawei hafi leo wala kesho. Kwenye soko la China labda serikali inaweza fanya kina Xiaomi, Oppo, OnePlus wauze sana nje kisha waiachie Huawei ijipange upya uku inapokea order za ndani. Baada ya kujipanga itoe product nje.

Huawei ana patents nyingi zaidi za 5G kuliko kampuni yoyote. Akifungiwa kutoa huduma makampuni yatakayotoa yatalipia patent yake. Hapa wanaweza pata kiasi cha kawaida cha pesa.
 
Kampuni ya Huawei imetangaza kuwa simu ya Huawei Mate 40 inayotarajiwa kutoka ndio itakua flagship ya mwisho yenye chipset ya Krin ambazo zinatumika kwenye flagship phones zake kama Mate series na P series.

Sababu kuu ni kwamba vikwazo vya Marekani vinaanza kufanya kazi mwezi Septemba hivyo suppliers wa chipsets kama Qualcomm, Samsung na wengine hawataruhusiwa kuwauzia Huawei vifaa.

Huawei imekiri kuwa itaifungwa production division yake ya Krin kuanzia mwezi September. Hivyo vifaa vyote vya Huawei vilivyokua vinatumia chipset ya krin hazitaweza tena kupatikana baada ya mwezi septemba.

====

Today, Huawei officially confirmed that the Huawei Mate 40 smartphone series is on the way (via IT Home). While this isn’t too surprising, the company did surprise us with another confirmation: the Mate 40 series will be the last to feature its homegrown Kirin chipset.

In a speech, Huawei’s consumer business CEO Yu Chengdong said that its line of Kirin chipsets “cannot be manufactured” after September 15, 2020. That is when the United States ban on Huawei working with US-based firms will take permanent effect.

Huawei Mate 40: The last of its kind?
Huawei’s chipsets are manufactured by TSMC which uses equipment sourced from the US. The rules related to the so-called Entity List instituted by the Trump administration state that any foreign chipset manufacturer needs to get a license to sell to Huawei. Recently, TSMC confirmed it will no longer sell chips to Huawei, which must mean it could not get a license.

While Huawei’s Kirin chipsets are by no means the best on the market, they certainly aren’t the worst, either. It will be a shame to see the company’s massive progress in that arena cut short.

It will also be interesting to see how the company moves forward. With the Huawei Mate 40 now the last to feature a Kirin chipset, Huawei will need to source processors from other companies. With the US ban in place, that list will be quite short. Previous rumors suggested MediaTek might be in the running, which would make sense considering Honor already is using that brand’s products in its phones.

Oh, and what about Harmony OS?
Huawei HarmonyOS.

Chengdong also referenced Harmony OS during his speech related to this news. He confirmed that all Huawei IoT products — including PCs, tablets, and yes, even mobile phones — will be based on Harmony OS rather than Android. Once again, this isn’t too surprising as the US ban also prevents Huawei from using Google’s apps and services, which are practically essential for Android to work as consumers expect.

However, Chengdong did not give a specific timeline for this change. We fully expect the Huawei Mate 40 series to still run Android, though. It’s possible that 2021 smartphones from the company could be the first to come with Harmony OS instead of EMUI-based Android, although that’s just speculation at this point.
 
T14 Armata,
Umendika mambo mengi kwa kujichanganya sana.

Anyway, Marekani hana nia ya kuiua Huawei China, ana nia ya kuiondoa kwenye soko la Dunia, basi.

Na hata hayo makampuni mengine siku Marekani akiona yanamletea uzibe anayatwanga vikwazo tu yanajifia, yafanye kazi China.

Kwenye 5G Huawei anamiliki kama 15% patent rights za core components, atapata royalties za kutosha ila royalties sio core business maana sasa makampuni yanafanya utafiti wa 6G, itakuaje huko mbele?

Bado Marekani akitaka kukuondoa sokoni huna namna.
 
Kwahiyo wewe hili unalifurahia et.
 
Mleta mada tofautisha flagship chipset na flagship smartphone.
Huawei walikuwa wanapata flagship chipset kutoka kwa Taiwanese Semiconductors Manufacturing Corporation (TSMC) ambao ndio the best duniani. Pia walikuwa wanapata baadhi ya components ili watengeneze processors zao za Kirin lakini TSMC watasitisha kuiuzia Huawei kwa kuwa Marekani imetaka kampuni zinazotumia tech yake zisifanye kazi na Huawei labda kwa ruhusa. Hapa hata US hana teknolojia ya maana ya foundry, kina Samsung na TSMC ndo wababe. Kina Qualcomm na Intel Wamarekani ndo wanakuja nyuma.

Huawei kuona hivyo walifanya order ya chipset za kutosha simu millioni 15 tena hizi Huawei Mate 40 ambazo ndo simu za kwanza kutumia 5nm processor. Hata iPhone 12 itazikuta zishatangulia kuwa nayo. Simu nyingine zisizo high end watatumia technology yao kutenegeneza, hawashindwi kutengeneza 16nm. Pia wako bize mno kwenye maabara zao kuibuka na breakthrough. Kwangu mimi teknolojia ya Mchina nasubiri kuipima hapa.

Huawei hafi leo wala kesho. Kwenye soko la China labda serikali inaweza fanya kina Xiaomi, Oppo, OnePlus wauze sana nje kisha waiachie Huawei ijipange upya uku inapokea order za ndani. Baada ya kujipanga itoe product nje.

Huawei ana patents nyingi zaidi za 5G kuliko kampuni yoyote. Akifungiwa kutoa huduma makampuni yatakayotoa yatalipia patent yake. Hapa wanaweza pata kiasi cha kawaida cha pesa.
We jamaa nakukubali sana
 
Umendika mambo mengi kwa kujichanganya sana.

Anyway, Marekani hana nia ya kuiua Huawei China, ana nia ya kuiondoa kwenye soko la Dunia, basi.

Na hata hayo makampuni mengine siku Marekani akiona yanamletea uzibe anayatwanga vikwazo tu yanajifia, yafanye kazi China.

Kwenye 5G Huawei anamiliki kama 15% patent rights za core components, atapata royalties za kutosha ila royalties sio core business maana sasa makampuni yanafanya utafiti wa 6G, itakuaje huko mbele?

Bado Marekani akitaka kukuondoa sokoni huna namna.
Marekani ni ngumu kuua kampuni ya kichina kwenye soko la China. Huawei ametishia soko la dunia kwa kuwekeza kwenye teknolojia nyingi, anagusagusa tu. Sioni kama Huawei atatoa Harmony OS hata mwakani kwa kuwa Nokia, Samsung na Microsoft walishindwa. Lakini sioni kwa vipi Huawei ataondoka sokoni kiurahisi hivi.

Makampuni kama kina Siemens na Ericcson yalijikita kwenye sehemu tu ya teknolojia ya mawasiliano. Tatizo Huawei anagusa kotekote. Hili ni tatizo kwa Marekani ambao waliifanya Toshiba ya Japan ilitolewa kwenye soko sembuse kampuni ya adui Mchina. Bombardier ya Canada wametolewa kwenye soko la ndege kwa kutishia mauzo ya Boeing.
 
Mleta mada tofautisha flagship chipset na flagship smartphone.
Huawei walikuwa wanapata flagship chipset kutoka kwa Taiwanese Semiconductors Manufacturing Corporation (TSMC) ambao ndio the best duniani. Pia walikuwa wanapata baadhi ya components ili watengeneze processors zao za Kirin lakini TSMC watasitisha kuiuzia Huawei kwa kuwa Marekani imetaka kampuni zinazotumia tech yake zisifanye kazi na Huawei labda kwa ruhusa. Hapa hata US hana teknolojia ya maana ya foundry, kina Samsung na TSMC ndo wababe. Kina Qualcomm na Intel Wamarekani ndo wanakuja nyuma.

Huawei kuona hivyo walifanya order ya chipset za kutosha simu millioni 15 tena hizi Huawei Mate 40 ambazo ndo simu za kwanza kutumia 5nm processor. Hata iPhone 12 itazikuta zishatangulia kuwa nayo. Simu nyingine zisizo high end watatumia technology yao kutenegeneza, hawashindwi kutengeneza 16nm. Pia wako bize mno kwenye maabara zao kuibuka na breakthrough. Kwangu mimi teknolojia ya Mchina nasubiri kuipima hapa.

Huawei hafi leo wala kesho. Kwenye soko la China labda serikali inaweza fanya kina Xiaomi, Oppo, OnePlus wauze sana nje kisha waiachie Huawei ijipange upya uku inapokea order za ndani. Baada ya kujipanga itoe product nje.

Huawei ana patents nyingi zaidi za 5G kuliko kampuni yoyote. Akifungiwa kutoa huduma makampuni yatakayotoa yatalipia patent yake. Hapa wanaweza pata kiasi cha kawaida cha pesa.
Hilo la patients kwamba atalipwa sio kweli, alikuwa favorite sababu hardware za Huawei za 5G ni cheap kwa sababu ya subsidy wanayoipata kutoka serekali ya china, tofauti na Nokia, Samsung, au erikson hardware zao za 5G ni expensive sana, lakin vikwaazo vinafanya nchi nyingi zishindwe kumpa go ahead sababu ya pressure kutoka marekani
 
Marekani ni ngumu kuua kampuni ya kichina kwenye soko la China. Huawei ametishia soko la dunia kwa kuwekeza kwenye teknolojia nyingi, anagusagusa tu. Sioni kama Huawei atatoa Harmony OS hata mwakani kwa kuwa Nokia, Samsung na Microsoft walishindwa. Lakini sioni kwa vipi Huawei ataondoka sokoni kiurahisi hivi.

Makampuni kama kina Siemens na Ericcson yalijikita kwenye sehemu tu ya teknolojia ya mawasiliano. Tatizo Huawei anagusa kotekote. Hili ni tatizo kwa Marekani ambao waliifanya Toshiba ya Japan ilitolewa kwenye sembuse kampuni ya adui Mchina. Bombardier ya Canada wametolewa kwenye soko la ndege kwa kutishia mauzo ya Boeing.
Swala sio kumuondoa marekani Huawei, anataka kuziondoa kampuni za kichina kwenye utegemezi wa technologies kwa nchi nyingine, zibaki huko huko kwenye soko la ndani, anataka abaki yeye na washirika wake kwenye soko la kimataifa, if you manage flow of information you control people
 
Umendika mambo mengi kwa kujichanganya sana.

Anyway, Marekani hana nia ya kuiua Huawei China, ana nia ya kuiondoa kwenye soko la Dunia, basi.

Na hata hayo makampuni mengine siku Marekani akiona yanamletea uzibe anayatwanga vikwazo tu yanajifia, yafanye kazi China.

Kwenye 5G Huawei anamiliki kama 15% patent rights za core components, atapata royalties za kutosha ila royalties sio core business maana sasa makampuni yanafanya utafiti wa 6G, itakuaje huko mbele?

Bado Marekani akitaka kukuondoa sokoni huna namna.
"Anyway, Marekani hana nia ya kuiua Huawei China, ana nia ya kuiondoa kwenye soko la Dunia, basi."

Umezunguka ila umerudi palepale.
 
Back
Top Bottom