CORONAVIRUS
🇺🇸 The United States became the world leader in coronavirus deaths Saturday, a grim indicator of the country’s status as the global epicenter of the pandemic.
As of Saturday evening, the U.S. had recorded about 526,396 COVID-19 cases and 20,577deaths, according to Johns Hopkins...
Marekani yaikataza IMF kutoa mkopo kwa Iran kukabiliana na COVID-19
Marekani imelizuia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoa mkopo wa dharura wa dola bilioni 5 za kimarekani kwa Iran, kutokana na kile ilichosema kuwa Iran itatumia pesa hizo katika shughuli za kijeshi badala ya kukabiliana...
Rais Donald Trump amelishukia shirika la afya duniani WHO na kulilaumu kwa kuegemea upande wa China.Trump amesema asasi hiyo ya kimataifa ilishirikiana na China kuficha ukweli.
Rais wa Marekani Trump ametishia kulikatia fedha shirika la afya Duniani WHO kwa sababu amesema shirika hilo...
Msemaji Wizara ya Mambo ya Nje wa China Zhao Lijian amesema China ipo tayari kuisaidia Marekani ili kupunguza maambukizi ya corona ambayo yanaonekana kushika kasi USA wakati huu ambapo China yamepungua, Zhao ni miongoni mwa Watu wa kwanza kudai Marekani imepandikiza corona China.
"Niliwahi...
Ndugu zangu wana JF
Kwa muda wa siku tatu mfululizo nimetokewa na malaika katika ndoto alinieleza chanzo na sababu ya Coronavirus KUUA zaidi jamii ya hawa wenzetu wanaojiita bora zaidi kuliko sisi waafrika.
Kuna mambo mawili muhimu ya kuzingatia;
1. Sababu ya kimazingira
2. Sababu za kibiolojia...
Ukifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia...
Serikali ya Marekani ilitangaza kuwachukua raia wake nchini Nigeria ili kuwarudisha Marekani, kutokana na tishio la Corona VirusKatia zoezi hilo, walikutana na wanaijeria wengi wenye uraia wamarekani kuliko wamarekani wazawa ambao wako Nigeria
Zoezi lilisitishwa. Na taratibu zilizowekwa ili mtu...
DR Congo 'prepared' to take part in vaccine testing: official
The Democratic Republic of Congo is prepared to take part in testing of any future vaccine against the coronavirus, the head of the country's taskforce against the pandemic said on Friday.
"We've been chosen to conduct these tests,"...
Kama unadhani Marekani huwa hafurahishwi na makombora ya korea kaskazini basi jua unajidanganya. Makombora ya korea kaskazini yamekuwa ni mtaji mkubwa wa marekani kuishurutisha korea kusini kulipa kiwango kikubwa cha pesa kwa ajili ya ulinzi.
Hivi karibuni Ikulu ya marekani imeitaka korea...
Huko mjini Los Angels nchini Marekani, miaka ya 1930, bwana mmoja ambaye hakufahamika jina alionekana akisimamishwa na askari wa usalama barabarani kwa kosa kuendesha kwa kasi kubwa, mkokoteni wake unaovutwa na Mbuni.
#History Is Great#
Wakuu, ni ukweli sasa Marekani imenyoosha mikono juu kufatilia kuongoza kuwa na cases nyingii za wagonjwa wa COVID-19 kuliko nchi yeyote duniani!
Hii imepelekea mpaka Trump kumgeukia mhasimu wake wa muda mrefu na hivyo hapa tunavyoongea ndege ya Urusi ya kijeshi aina ya AntonovAN124 upo angani...
Marekani (US), nchi ambayo ni mdau muhimu kabisa wa Benki ya Dunia (World Bank) wameonesha dhahiri kutofurahishwa na hatua ya taasisi hiyo ya fedha kuridhia mkopo kwa ajili ya sekta ya elimu Tanzania kutokana na makandokando mengi ambayo serekali yetu bado haijayaweka sawa.
Soma waraka wao huu...
Hali ya corona yawa mbaya zaidi nchini Marekani.
Visa vya maambukizo vilivyothibitishwa vyazidi 180,000.
Watu zaidi ya 4,000 wamefariki kwa corona, huku jana (31 March) ikiripotiwa idadi kubwa zaidi ya vifo kwa siku, 912.
Namwangalia huyu Gavana Cuomo wa New York kupitia Fox News akimwaga maneno yalipangilika vizuri kuhusu corona kwa muda mrefu sasa, zaidi ya saa moja na zaidi. Ukimwangalia haonekani akisoma popote pale (labda kama sielewi). hakuna blah blah blah, ni madini tupu.
Nawakumbuka kina Obama na...
Afrika tuna bahati kuwa kasi ya kuenea na kufa kwa COVID-19 sio kubwa, tumshukuru kwa hili kwakweli. Sina uhakika kama hii inatokwna na uhodari wetu katika kuupiga vita ugonjwa. Hii ni tunu kutoka kwa MwenyeziMungu wetu. Lakini hatunabudi kuitumia bahati hii kwa kuchapa kazi kwa bidii wakati...
Najua kuna watu wanafatilia sana na kushtuka na idadi ya watu wanaokufa huko Italy kutokana na ugonjwa wa korona. Vifo hivi vimeleta hofu kubwa kiasi kwamba watu kusitisha shughuli zote ili kuzuia maaambukizi.
Kwa muktadha huo nimependa watu hasa wa dunia ya tatu kufahamu magonjwa ya mafua na...
CHINA YAKUBALI KUISAIDIA MAREKANI KUPAMBANA NA CORONA
China imekubali kutoa msaada kwa Marekani ambayo imethibishwa kuwa na maambukizi mengi zaidi ya virusi vya corona kuliko nchi nyingine duniani, ikiwa na zaidi ya wagonjwa 85, 500 kwa mujibu wa chuo kikuu cha Johns Hopkins, Marekan
Source...
Rais wa China amesema nchi yake na Marekani lazima ziungane kupambana na janga la Corona, huku mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya wakitakiwa kufikia mpango wa kuuokoa uchumi wao uliodhoofishwa kutokana na janga hilo.
Rais Xi Jinping wa China pia ameitolea wito Marekani kuimarisha uhusiano wa...
The US has charged Venezuela's President Nicolás Maduro and other senior officials in the country with drug trafficking crimes.
The move, which will increase tensions between the two nations, was announced by Attorney General William Barr.
The US also offered a $15m (£12.5m) reward for any...
President Donald Trump signed an executive order on Monday to prevent hoarding and price gouging of supplies needed to fight the deadly coronavirus, a spokeswoman said.
“This sends a strong message - we will not let those hoarding vital supplies & price gougers to harm the health of America in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.