Mzee Baraka - CCM IMESALITI, NIA NA SABABU ZA MAPINDUZI MATUKUFU YA 1964
https://m.youtube.com/watch?v=habiWXzPxFM
Mzee Baraka Shamte mwenye umri wa miaka 94 aliye na afya njema, katika mahojiano exclusive na Jambo TV akikumbuka mapinduzi matukufu na uongozi wa Mzee Abeid Amani Karume wa...
Wazanzibar wana akili nyingi sana kuliko wale wenzao wa kuleee. Baada ya kuua ligi ya muungano baadae wakagundua kuwa walikosea. Ligi ya muungano ilikuwa sehemu ya wazi ya kuviona vipaji kutoka Zanzibar na kuvisajili kwenye timu za bara (ajira).
Baada ya walevi na ulevi wao wa kuuchukia...
Habari wana Jukwaa.
Weekend inaanza.
Ila hapa nataka niwakumbushe kitu kimoja kua msijisahau kua Team ambayo hua inabeba Kombe La Mapinduzi Mara Nyingi hua haibebi Kombe La Ligi Kuu Tanzania Bara.
Hii ni sawa na COMMUNITY SHIELD ya Epl Team ambayo hua inabeba ile ngao mara nyingi hua haibebi...
Match Day.
Simba Vs APR
Msimamo wa Kundi B Ulivyo.
Hii nimetengeneza mwenyewe, hivyo kama kuna error tujuzane.
Hapa Simba tunahitaji tu Draw yoyote ili tuweze kuingia robo fainali.
APR anahitaji kutufunga Goli 4 - 0 ili aweze kuingia robo.
Kitu ambacho hakiwezekani.
Akipata huo ushindi...
Rais wa zamani wa Sierra Leone Ernest Bai Koroma ameshtakiwa kwa makosa manne ya uhaini kuhusiana na jaribio la mapinduzi.
Novemba mwaka jana, watu wenye silaha walivamia ghala la kijeshi na magereza kadhaa huko Freetown, na kuwaachilia karibu wafungwa 2,000.
Amekana kuhusika na shambulio hilo...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #mapinduzicup
⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC
📆 04.01.2024
🏟 Amaan, Zanzibar
🕖 2:15 Usiku
Ni Match ya Round ya Tatu.
Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali,
Mechi inachezwa kukamilisha ratiba tu.
Tunategemea kupata burudani kweli kweli kutoka kwa Wananchi.
KIKOSI CHA YANGA...
Match Day
Simba Vs Singida FT FC.
Time: 20:15.
All the Best Mnyama
#nguvumoja#
Hii Match ni muhimu kwa Simba ila haina Pressure kabisa.
Simba wanahitaji point 3 ili kuingia robo fainali.
Nimejaribu kutengeneza Standing Table ya Kundi B.
Singida FG yeye ameshaingia Robo fainali, anakuja...
Yanga tunajiandaa kuwakabili Jamhuri SC muda ni saa 2:15 usiku.
mungu ibariki Yanga SC
Kila la kheri Yanga SC
Wafungaji Ngushi 10', 17', Kibwana 22', Mzize 38', Skudu 45'
Nilikuwa nacheki highlights za mechi ya Singida na JKU kwenye Kombe la Mapinduzi. Kuna goli la Singida lilikataliwa wakazua mzozo na Refa.
Refa kumaliza soo akamlima mchezaji wa Singida Hamad Waziri kadi ya njano huku anamrushia matusi. Inaonyesha kuna maneno ya kuudhi ambayo Waziri alimtamkia...
Nimesoma historia ya Zanzibar imejaa mambo mengi ya giza ila nitajiita kwenye hili moja.
Je ni kweli Karume, Salmin Amour, Natepe pamoja na karibia ya maafisa wote wa baraza la Mapinduzi walioa kwa nguvu mabinti wa kiarabu, na kihindi baada ya mapinduzi ya Zanzibar?
Inasemekana kuwa mke wa...
Naona ni muda muafaka kanisa katoliki Tanzania kujitoa kwenye makucha ya Papa chini ya mfumo wake wa Roman Catholic.
Haingii akilini, makanisa tumejenga sisi waumini, magari tuwanunulie mapadri na maaskofu halafu hatokee mtu from nowhere kisa ni papa abadilishe asili ya mwanadamu kwa kutaka...
Kwa Yanga na Simba kila timu hapo ina sponsorships deals zenye kuingiza takribani bilioni 5 kila mwaka
Kombe la Ligi kuu bingwa anapewa milioni 500 lakini hio bado ni pesa ndogo, Malengo huwa ni kuvuta mpunga wa kimataifa, msimu wa mwaka jana pekee Simba kakunga bilioni 2 kasoro caf na bilioni...
Kwa mtu yeyote aliyeifatilia Simba atagundua timu haipo sawa kuanzia kiuchezaji Hadi kujituma kwa wachezaji.
Pamoja na kuufurahia kuwafunga Wydad lakini timu imepoteza uelekeo, Kila mchezaji anacheza kivyakevyake matokeo timu inakosa magoli ya wazi na kufungiwa magoli ya.kizembe.
Wakati huu...
Nimeona wanasiasa wakishindana kuingiza watoto wao ktk siasa kana kwamba ni sehemu nzuri ya makuzi yao. Naona Mwigulu, Slaa, nk. wote wanatangaza vitoto vyao ktk siasa na huenda rushwa inatembea ili vishinde. Wakati huo huo wengine wanaambiwa kuna fursa Israel, pamoja na hatari ya vita. Matatizo...
UTAASISI WA CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA KUISIMAMIA SERIKALI KATIKA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI
Nyandi Raphael Jr.
K/UVCCM [M]SHINYANGA
0718695061
November 26,2023.
CHAMA CHA MAPINDUZI ni Miungoni mwa Vyama Vikongwe vya Ukombozi wa Ukoloni Nchini na Africa.
Haina Mashaka katika Uhiriki wake...
Pesa nyingi tunazotumia kwenye mambo ya ajabu kama vile kuwalipia mashabiki viingilio au hata kununua mechi kwenye ligi nk tungezitumia kufanya maendeleo ya soka.
Wazungu wana maneno mawili kwenye soka
Class
Form
Class is permanent, form is temporary
Hadhi ya Morocco ni kubwa sana...
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amebainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepania kuifanya sekta ya Uvuvi kuwa moja ya sekta vinara katika kukuza uchumi wa nchi.
Mhe. Mnyeti amesema hayo wakati wa hafla ya kukabidhi boti 2 za...
Ukiachana na suala la katiba mpya ambalo ni bomu linalohesabu dakika zake taratibu kabla halijalipuka kuna mambo mengi yatakayojitokeza na kusababisha kuwaibua wananchi wenye hasira kali (hiki kizazi cha sasa 2000's) watakaogawanyika kwenye vikundi vingi vidogo vidogo vikiwa na lengo kuu moja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.