Mkumbuke tu Kombe La Mapinduzi Lina Ile Laaana kama Community Shield ya Uingereza.

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Habari wana Jukwaa.
Weekend inaanza.

Ila hapa nataka niwakumbushe kitu kimoja kua msijisahau kua Team ambayo hua inabeba Kombe La Mapinduzi Mara Nyingi hua haibebi Kombe La Ligi Kuu Tanzania Bara.

Hii ni sawa na COMMUNITY SHIELD ya Epl Team ambayo hua inabeba ile ngao mara nyingi hua haibebi kombe La Ligi.

Endeleeni kuweka Full Mkoko wenzenu wanajua hilo.
 
Benchikha anaona Bora apate kikombe Cha kahawa kuliko atoke patupu, na kikombe chenyewe Azam ndio atakibeba licha ya mwakarobo kupeleka full mkoko bado wataambulia patupu
 
Back
Top Bottom