FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,579
10,811
Match Day
Simba Vs Singida FT FC.
Time: 20:15.

20240103_161543.jpg
All the Best Mnyama
#nguvumoja#

Hii Match ni muhimu kwa Simba ila haina Pressure kabisa.

Simba wanahitaji point 3 ili kuingia robo fainali.

Nimejaribu kutengeneza Standing Table ya Kundi B.

Singida FG yeye ameshaingia Robo fainali, anakuja kukamilisha ratiba tu.

Tizama Msimamo wa Kundi B
PSX_20240103_193340.png
Kikosi cha Simba Kitakachoanza.
20240103_192302.jpg

Kikosi Cha Singida FG Kinachoanza
PSX_20240103_195721.png

Simba anapaswa kushinda hii game ili game ya Mwisho na APR iwe rahisi zaidi.

Match Nyingine Ya Kundi B,
Imemalizika APR 3 - 1 JKU.

Hii inatoa sababu ya Simba kushinda Mechi ya Leo ili kujihakikishia nafasi ya Kuingia robo fainali.


Dakika ya 1'
Simba wanapata Kona, inapigwa
inakuwa tena kona.
Inapigwa haileti madhara

Dakika 17'
Simba SC 0 - 0 Singida
Game on.

Dakika 18'
Singida Fg wanapata kona lakini haileti madhara

Dakika 23'
Simba wanapata faulu eneo zuri kabisa.
Anapiga Kanoute inatoka nje, inakuwa Goal Kick

Dakika 27'
Bocco anakosa goli la wazi kabisa

Dakika 34'
Singida wanapata kona.
Inapigwa inaokolewa.

Dakika 38'
Singida FG wanapata faulo ila haileti madhara.
Inaokolewa na Salim

Dakika 40'
Onana anachezewa faulo.
Simba wanapata free kick nje kidogo ya 18,
Anapiga Kanoute inatoka nje.

Dakika 45'
Nyongeza ni 5

HT
Simba 0 - 0 Singida fg

Dakika 50'
Goal, Onana.

Simba 1 - 0 Singida FG

Dakika 59'
Goal, Luis Miquisonne
Simba 2-0 Singida Fg

Game On....

FT
Simba 2 - 0 Singida fg

Msimamo wa Kundi B
PSX_20240103_224554.png


Hongera Mnyama.
 
Back
Top Bottom