Kocha Gamond tunakuelewa, Mapinduzi Cup haijawai kuwa na tija yoyote

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
618
1,565
Kila timu inayo mipango yake na kupanga ni kuchagua, ndio maana Kuna timu zimeenda kushiriki mapinduzi na vikosi vyao vyote vya kwanza na Kuna timu zimeenda kushiriki na mchanganyiko wa vijana wa U20 pamoja na wachezaji wa vikosi vya pili iyo yote ni mipango

Yanga mipango yake ni ligi kuu, ligi ya mabingwa na FA cup, ivyo wasingeweza kuweka nguvu kwenye michuano ambayo aina TIJA yoyote zaidi ya kutafuta fatique na majeraha wakati Kuna michuano muhimu mbele ya safari.

Yanga wangeweza kukataa kushiriki lakini isingekuwa uungwana kuzikatalia mamlaka ivyo waliamua kwenda kuwapa vijana nafasi na wale ambao wanakaa sana benchi ili waonyeshe viwango vyao

Naweza kusema kwenye timu zote zinazoshiriki mapinduzi ni yanga pekee waliopeleka kikosi dhaifu tofauti na timu nyingine.

Kwa maana iyo kocha GAMOND tumemuelewa kutokuwepo kwa wachezaji 14 wa kikosi Cha kwanza ni kuonyesha kwamba akuwa na mpango na kikombe Cha bonanza.
 
Kila timu inayo mipango yake na kupanga ni kuchagua, ndio maana Kuna timu zimeenda kushiriki mapinduzi na vikosi vyao vyote vya kwanza na Kuna timu zimeenda kushiriki na mchanganyiko wa vijana wa U20 pamoja na wachezaji wa vikosi vya pili iyo yote ni mipango!
Yanga mipango yake ni ligi kuu, ligi ya mabingwa na FA cup, ivyo wasingeweza kuweka nguvu kwenye michuano ambayo aina TIJA yoyote zaidi ya kutafuta fatique na majeraha wakati Kuna michuano muhimu mbele ya safari!
Yanga wangeweza kukataa kushiriki lakini isingekuwa uungwana kuzikatalia mamlaka ivyo waliamua kwenda kuwapa vijana nafasi na wale ambao wanakaa sana benchi ili waonyeshe viwango vyao!
Naweza kusema kwenye timu zote zinazoshiriki mapinduzi ni yanga pekee waliopeleka kikosi dhaifu tofauti na timu nyingine!
Kwa maana iyo kocha GAMOND tumemuelewa kutokuwepo kwa wachezaji 14 wa kikosi Cha kwanza ni kuonyesha kwamba akuwa na mpango na kikombe Cha bonanza!
Haya ndo madhara ya Supu ya vibudu,riwaya ndefu ndani hakuna mantiki yoyote,Utopolo bhana!
 
Kila timu inayo mipango yake na kupanga ni kuchagua, ndio maana Kuna timu zimeenda kushiriki mapinduzi na vikosi vyao vyote vya kwanza na Kuna timu zimeenda kushiriki na mchanganyiko wa vijana wa U20 pamoja na wachezaji wa vikosi vya pili iyo yote ni mipango

Yanga mipango yake ni ligi kuu, ligi ya mabingwa na FA cup, ivyo wasingeweza kuweka nguvu kwenye michuano ambayo aina TIJA yoyote zaidi ya kutafuta fatique na majeraha wakati Kuna michuano muhimu mbele ya safari.

Yanga wangeweza kukataa kushiriki lakini isingekuwa uungwana kuzikatalia mamlaka ivyo waliamua kwenda kuwapa vijana nafasi na wale ambao wanakaa sana benchi ili waonyeshe viwango vyao

Naweza kusema kwenye timu zote zinazoshiriki mapinduzi ni yanga pekee waliopeleka kikosi dhaifu tofauti na timu nyingine.

Kwa maana iyo kocha GAMOND tumemuelewa kutokuwepo kwa wachezaji 14 wa kikosi Cha kwanza ni kuonyesha kwamba akuwa na mpango na kikombe Cha bonanza.
Hivi mngeshinda, ungesema hivi pia??
 
Mshindi wa kwanza million 100 Haina TIJA. Alickika mlevi mmoja.
 
Kila timu inayo mipango yake na kupanga ni kuchagua, ndio maana Kuna timu zimeenda kushiriki mapinduzi na vikosi vyao vyote vya kwanza na Kuna timu zimeenda kushiriki na mchanganyiko wa vijana wa U20 pamoja na wachezaji wa vikosi vya pili iyo yote ni mipango

Yanga mipango yake ni ligi kuu, ligi ya mabingwa na FA cup, ivyo wasingeweza kuweka nguvu kwenye michuano ambayo aina TIJA yoyote zaidi ya kutafuta fatique na majeraha wakati Kuna michuano muhimu mbele ya safari.

Yanga wangeweza kukataa kushiriki lakini isingekuwa uungwana kuzikatalia mamlaka ivyo waliamua kwenda kuwapa vijana nafasi na wale ambao wanakaa sana benchi ili waonyeshe viwango vyao

Naweza kusema kwenye timu zote zinazoshiriki mapinduzi ni yanga pekee waliopeleka kikosi dhaifu tofauti na timu nyingine.

Kwa maana iyo kocha GAMOND tumemuelewa kutokuwepo kwa wachezaji 14 wa kikosi Cha kwanza ni kuonyesha kwamba akuwa na mpango na kikombe Cha bonanza.
Mbumbumbu wametokwa mapovu huku mitaani balaa, badala ya kushangilia Mbabe wao kuwaachia kombe la mapinduzi wanang'aka kama vile wamekatwa vichwa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kila timu inayo mipango yake na kupanga ni kuchagua, ndio maana Kuna timu zimeenda kushiriki mapinduzi na vikosi vyao vyote vya kwanza na Kuna timu zimeenda kushiriki na mchanganyiko wa vijana wa U20 pamoja na wachezaji wa vikosi vya pili iyo yote ni mipango

Yanga mipango yake ni ligi kuu, ligi ya mabingwa na FA cup, ivyo wasingeweza kuweka nguvu kwenye michuano ambayo aina TIJA yoyote zaidi ya kutafuta fatique na majeraha wakati Kuna michuano muhimu mbele ya safari.

Yanga wangeweza kukataa kushiriki lakini isingekuwa uungwana kuzikatalia mamlaka ivyo waliamua kwenda kuwapa vijana nafasi na wale ambao wanakaa sana benchi ili waonyeshe viwango vyao

Naweza kusema kwenye timu zote zinazoshiriki mapinduzi ni yanga pekee waliopeleka kikosi dhaifu tofauti na timu nyingine.

Kwa maana iyo kocha GAMOND tumemuelewa kutokuwepo kwa wachezaji 14 wa kikosi Cha kwanza ni kuonyesha kwamba akuwa na mpango na kikombe Cha bonanza.
Hana lawama, na dhambi zake zote nibebeshwe mimi.
 
Nimesoma heading tu nikagundua kilichoandikwa ndani ni ushuzi mtupu. Mlienda kufanya nini sasa kule? Gamondi aliwaita baadhi ya nyota wa kikosi cha kwanza waliokuwa likizo ili wakafanye nini kule?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hao nyota walio itwa walicheza?
Kuna nyakati inakudi uwe kimya ili kuficha ujinga wako.

Kocha keshasema, hawezi kucheji buku kwa njaa ya mtoto, ilhali dodo zipo.

Yani amtumie Pacome kwa bonanza la mapinduzi ambalo bingwa anachukua 100m?. sibora amchezeshe Shekhan tu.

Usicho elewa hapo ni nini?
 
Kila timu inayo mipango yake na kupanga ni kuchagua, ndio maana Kuna timu zimeenda kushiriki mapinduzi na vikosi vyao vyote vya kwanza na Kuna timu zimeenda kushiriki na mchanganyiko wa vijana wa U20 pamoja na wachezaji wa vikosi vya pili iyo yote ni mipango

Yanga mipango yake ni ligi kuu, ligi ya mabingwa na FA cup, ivyo wasingeweza kuweka nguvu kwenye michuano ambayo aina TIJA yoyote zaidi ya kutafuta fatique na majeraha wakati Kuna michuano muhimu mbele ya safari.

Yanga wangeweza kukataa kushiriki lakini isingekuwa uungwana kuzikatalia mamlaka ivyo waliamua kwenda kuwapa vijana nafasi na wale ambao wanakaa sana benchi ili waonyeshe viwango vyao

Naweza kusema kwenye timu zote zinazoshiriki mapinduzi ni yanga pekee waliopeleka kikosi dhaifu tofauti na timu nyingine.

Kwa maana iyo kocha GAMOND tumemuelewa kutokuwepo kwa wachezaji 14 wa kikosi Cha kwanza ni kuonyesha kwamba akuwa na mpango na kikombe Cha bonanza.
Mtamtetea kocha, lakini katika hili hawezi kukwepa lawama. Kikosi alichokitumia jana kilikuwa ni dhaifu. Na kimsingi hakuwaheshimu wapinzani wake! Na mwisho wa siku aibu inabeba timu nzima.
 
Mpira wa miguu ni mchezo wa wazi,kila mtu kaona..hizi zingine ni sababu tu.
 
Mtamtetea kocha, lakini katika hili hawezi kukwepa lawama. Kikosi alichokitumia jana kilikuwa ni dhaifu. Na kimsingi hakuwaheshimu wapinzani wake! Na mwisho wa siku aibu inabeba timu nzima.
Wewe nawe unalilia kombe la Mapinduzi?
 
Mtamtetea kocha, lakini katika hili hawezi kukwepa lawama. Kikosi alichokitumia jana kilikuwa ni dhaifu. Na kimsingi hakuwaheshimu wapinzani wake! Na mwisho wa siku aibu inabeba timu nzima.
GAMOND anavyo vipaumbele vyake na sio mapinduzi, akikosa FA na ligi tutakuwa na maswali ya kumuuliza but sio mapinduzi, ata mkataba wake sidhani Kama Kuna kipengele kinamtaka abebe mapinduzi cup ndio aendelee kusalia yanga, aya mashindano ya nyongeza atuwezi Mumlaumu kwa lolote!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom