mapinduzi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Mapinduzi ya kijeshi hupangwa na kufanyika vipi ili hali majeshi huwa na vikosi vingi tena sehemu tofautitofautoi za nchi?

    Wote ni mashuhuda wa taarifa za mapinduzi ya kijeshi sehemu mbalimbali duniani hasa Afrika kwa nyakati za sasa. Binafsi nimekuwa najiuliza haya mapinduzi huwa yanafanyikaje ili hali Jeshi huwa lina askari wengi tena katika sehemu mbalimbali za nchi. Kwa mfano, kikosi au vikosi katika mji mkuu...
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania Ububu wa AU na ECOWAS baada ya mapinduzi ya Niger waonyesha jinsi akili ya Mwafrika ilivyofumbwa na kuwa tegemezi

    Mapinduzi yameishatokea nchini Niger baada ya jeshi ambayo yameungwa mkono na viongozi wa kijeshi wa Mali, Burkina Faso na hata Algeria. ECOWAS umoja wa nchi za Afrika Magharibi kwa harakaharaka bila kufikiri wakatangaza kuwa watachukua hatua za kijeshi endapo raisi wa Niger aliepinduliwa...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Niger yanaweza kumkumba Tinubu wa Nigeria

    Upinzani mkali uliotokea ndani ya maseneti ya Nigeria na miongoni mwa wananchi imetajwa ni sababu kuu zilizopelekea muda uliotolewa kama ukomo wa kurudishwa Rais Bazoum wa Niger madarakani kupita bila kutokea chochote. Raisi Bola Tinubu ambaye ni mwenyekiti wa sasa wa ECOWAS amelaumiwa kwa...
  4. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Ufaransa inafaidika nini na Niger mpaka itake kusaidia Ecowas kuvunja mapinduzi?

    Afrika kweli nimeamini tunanyonywa sana, wenye nchi yao wameunga mkono mapinduzi na hawamtaki rais aliepinduliwa. Kwanini nchi nyingine zipangie wananchi hao kiongozi anaewafaa? Kuna nini ndani yake? Ufaransa iko tayari kuisaidi Muungano wa kijeshi wa Ecowas kumrudisha rais, kwanini? Kumbe...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Charles Hilary afafanua sehemu ya ardhi ya Bagamoyo kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefafanua suala la eneo lililopo Makurunge Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Amesema “Eneo linaitwa Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Niger waunga mkono mapinduzi ya kijeshi. Wanasisa wa Kiafrika wanakuwa vibaraka wa mabeberu na kuwasahau wananchi

    Katika hali ya kawaida, ungetegemea wananchi kutokuunga mkono mapinduzi dhidi ya viongozi wao waliowachagua wenyewe. Tatizo ni kwamba baada ya kuchaguliwa viongozi huamua kuwa vibaraka wa mabeberu wa nchi za magharibi na kuwasahau wananchi waliowaweka madarakani. Sasa Rais aliyepinduliwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na m-Niger. Napongeza na naunga mkono mapinduzi yalifanywa na Jeshi.

    Mzuka wanajamvi! Nimekutana leo na raia wa Niger. Nakuweza kumuiliza maswali kuhusu maisha na hali ya nchi yao. Japo ilikuwa kwa muda mfupi sana nilijifunza hasa haya mapinduzi. Ufaransa kusema kweli wana roho mbaya. Wewe fikiria kwa miaka 63 wanachimba uranium Niger hata hawana umeme...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika wengi wanatamani mapinduzi kama ya Niger na Burkina Faso. Ufisadi unawakera na kuwachosha

    Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa. Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na ufisadi na matumizi ya madaraka mabaya
  9. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Niger: Bunge la Seneti laikataa hatua ya kijeshi, laionya ECOWAS na rais Tinubu

    Bunge la Seneti limeomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais Bola Tinubu na viongozi wengine wa eneo hilo kuchukua tahadhari wanaposhughulikia mkwamo wa kisiasa nchini Niger baada ya kuondolewa kwa utawala uliochaguliwa kidemokrasia wa Mohamed Bazoum...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Afrika yamefungua ukurasa mpya, chaguzi zetu zimeporwa na wazungu

    Ukiangalia watu wanaliofanya na kushangilia mapinduzi kule Burkina Faso, Mali na Niger ni vijana ambao sanduku la kura limeshindwa kuwapatia viongozi wanaowachagua. Chaguzi zetu zinafadhiliwa na wakoloni wetu wa zamani kwa manufaa yao. Chaguzi zetu ni mwanya wa kupenyeza mamluki kwenye uongozi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya wimbi la mapinduzi ya kijeshi barani Afrika?

    Katika kipindi cha miaka minne (2020-2023) bara la Afrika limeshuhudia mapinduzi ya kijeshi katika nchi sita (Burkina Faso, Chad, Guinea, Mali, Niger na Sudan). Wimbi hili limekuja baada ya kipindi kirefu cha utulivu, ambao ulilisaidia bara la Afrika kuwa moja ya maeneo yenye ongezeko la uchumi...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wagner apongeza mapinduzi ya kijeshi Niger na aomba apewe fursa ya jeshi lake humo

    Hili lizee limemshinda Putin kule sasa limeelekeza nguvu Afrika, litatuharibia bara, wapiganaji wake wapo maeneo mengi Afrika hii.... Despite having led an armed mutiny in Russia last month, the mercenary boss has been seen at a summit in St Petersburg. Wagner mercenary boss Yevgeny Prigozhin...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Niger: Wanaosapoti Mapinduzi wavamia ofisi ya Chama Tawala na kuchoma moto

    Wafuasi hao wameshambulia makao makuu ya Chama cha Rais aliyepinduliwa na kuchoma moto, kupiga mawe na kuchoma magari yaliyokuwa nje ya jengo husika. Wakati hayo yakitoka Jeshi la Niger nalo limetoa tamko la kuunga mkono Wanajeshi waliomteka Rais Mohamed Bazoum Wakati huohuo, Urusi imeungana...
  14. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Teknolojia tatu muhimu zinazoweza kutusaidia katika kutatua changamoto na kutuletea maendeleo

    TEKNOLOJIA TATU MUHIMU ZINAZOWEZA KUTUSAIDIA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO NA KUTULETEA MAENDELEO. TEKNOLOJIA NI NINI? Neno Teknolojia au kwa kiingereza technology ni neno ambalo limetokana na lugha ya kigiriki “technología“ lenye maana ya maarifa ya ujuzi, sanaa na ufundi yaliyowekwa katika...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Chama cha Mapinduzi...

    Salamu wanajamvi, Leo napenda nizungumzie jambo moja ambalo elimu ya vitabuni imeshindwa kumkomboa Mwafrika miaka na miaka. Kuna wakati unaweza ukadhani tumelogwa na hatujitambui kabisa. Chama cha mapinduzi kupitia KATIBU mkuu wao wanawaomba watanzania tuiamini serikali yao chini ya...
  16. X

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya kiteknolojia katika kutatua changamoto za BRELA (Baraza la Usajili wa Makampuni nchini Tanzania)

    BRELA ni kifupisho cha Baraza la Usajili wa Makampuni nchini Tanzania (Business Registration and Licensing Agency). Ni taasisi ya umma iliyo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara na inahusika na usajili, usimamizi na udhibiti wa kampuni na biashara zingine zinazofanya kazi nchini Tanzania...
  17. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ni jukumu langu kuleta mapinduzi ya kijani kwa maendeleo ya taifa

    NI JUKUMU LANGU KULETA MAPINDUZI YA KIJANI KWA MAENDELEO YA TAIFA Tanzania ni nchi iliyojaliwa kuwa na rasilimali mbalimbali ambazo huifanya Tanzania kuwa katika orodha ya nchi zilizobarikiwa duniani. La hasha! Sambamba na yote katika kuboresha na kuwezesha taifa letu kupitia rasilimali zake...
  18. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania MAONI: CCM wawe wanaangalia Rais gani wa kupewa uenyekiti wa chama chao

    Chama cha Mapinduzi hua wanajizimia taa na kuwa gizani mara kwa mara. Utaratibu wao wa kumteua Rais akitoka chama chao kuwa mwenyekiti wa chama chao safari hii wameikosea Demokrasia kwa kumchagua Samia kuwa Mwenyekiti. Kwa kawaida CCM wana utaratibu wa kidemokrasia kumchagua mgombea urais wa...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Siku tukiacha kuchagua Wabunge Wafanyabiashara tutaona Mapinduzi Makubwa ya Bunge

    Amini usiamini hili bunge letu ni la Wafanya Biashara siyo Bunge la wananchi. Asilimia 80 ni Wafanya Biashara wakubwa and not start ups. Mfanya Biashara ni mtu ambaye all the time anawaza cash flow kwenye business zake. Always thinking ways to maintain his/her wealth... At the same time mtu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuelekea mapinduzi ya kifikra kwa kila muafrika

    Moja ya mambo muhimu tunayopaswa kuyafahamu kwa kila Muafrika haswa nchi zinazotaka kujitoa katika dimbwi la umasikini, ni lazima lizingatie umuhimu wa kuwaamsha kifkra vijana ili kuwaza zaidi kujikwamua kiuchumi. Vijana wengi wa Kiafrika tumekuwa na ushawishi mdogo katika maswala ya...
Back
Top Bottom