mapinduzi

  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Tunisia yalianza baada ya ugumu wa maisha na serikali yenye ubabe

    2010 tarehe 17 December ndio ilikuwa mda rasmi nchi ya Tunisia ikijikuta wananchi wanaongea lugha Moja. Kisa kinaanza hivi. Ugumu wa maisha kuwa mkubwa,rushwa ndani ya serikali kukisiri,ukosefu wa ajira,uhuru na ukandamizaji wa watawala kuwa mkubwa. Kijana mmoja baada ya kumaliza chuo kwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa rasilimali na wawekezaji wa kigeni unachangia mapinduzi Africa. DP World utakuwa mfupa mgumu kwa Rais Samia na CCM yake

    Wakati wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa walipozungumza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wiki iliyopita, baadhi ya Viongozi wa Afrika hawakuweza kuhudhuria, baada ya kuondolewa madarakani katika mapinduzi ya kijeshi. Mataifa haya hayashiriki mambo mengi yanayofanana nje ya...
  3. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary Amez

    Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary amezuia mkutano wa chama hicho wenye lengo la kuipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongizwa na Mheshimiwa Rais Samua Suluhu...
  4. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Je, zile nchi za Afrika zilizofanya mapinduzi ya kijeshi, kuna mikataba imevunja je nazo zitashtakiwa. ICCSD court?

    Yes , tumeona mapinduzi hapa kama yooote yametokea so mimi naulizia je wanashtakiwa kwenyw ile mahakama ya mchongo iliyomtoa kijasho prof.mruma? Au hiyo haiwahusu hizo nchi za kijeshi mfano Burkina Faso/ Mali/ Niger na France katika uchimbaji wa madini na uranium. Au ni sisi tu bongo...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi makubwa sekta ya Utalii. Kuna mtu ana swali juu ya Royal Tour?

    Wale washamba fc walipiga sana kelele kuhusu Royal Tour. Wakaongea sana kutokana na chuki zao tu. Sasa nchi imefikia kuvunja rekodi kwa kuingiza watalii Mil 3 na ushee kwa mwaka huu. Sasa niwaulize kuna mtu ana neno la zaidi juu ya kwa nini ilifanyika Royal Tour?
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya kilimo hayataletwa na jembe la mkono

    Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nimeona post ya viongozi kugawa majembe ya mkono kwa wakulima huku mkuu wa wilaya akiwataka vijana wakachukue utajiri kwenye kilimo. Binafsi nimeona hilo tukio ni la kisiasa sana na lingepaswa kufanywa mwaka 1880 kabla ya mkutano wa Berlin. Kwa nyakati hizi...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burundi alaani uvumi wa Mapinduzi

    Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye ametoa kauli hiyo mara baada ya kurejea nyumbani akitokea katika ziara Nchini Cuba na kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Marekani. Tangu alipoondika Burundi, Septemba 10, 2023 kuliibuka tetesi hizo kwenye mitandao ya kijamii huku...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yatangaza kuwaondoa Balozi na Wanajeshi wake kutoka Niger

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema watachukua maamuzi hayo kutokana na Mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea Niger ya kumuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum. Amesema “Tutatekeleza hilo ndani ya saa kadhaa zijazo, Balozi na Wanadiplomasia wetu watarejea nyumbani, hivyohivyo kwa vikosi vyetu...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gabon yasimamishwa Uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kutokea kwa Mapinduzi

    Uamuzi huo umechukuliwa wakati huu Gabon ikiwa chini ya utawala wa Kijeshi ambao ulimtoa madarakani Rais Ali Bongo. Uamuzi huo umetolewa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola huku wakitoa hoja kuwa Gabon inatakiwa kufanya uchaguzi haraka iwezekanavyo. Jeshi lilimwondoa Bongo...
  10. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Amani, Uhuru, na Ustawi wa Kiuchumi ndiyo mambo pekee yatakayoiepusha Afrika na Mapinduzi ya Kijeshi

    Maendeleo ya Afrika yanakwamishwa na serikali zilizojaa ukandamizaji, taasisi zinazotumia rasilimali kwa faida ya wachache, na viongozi wanaoona siasa kama njia ya kujinufaisha. Misingi ya jamii inayofanya kazi vizuri na kuwajumuisha watu wote katika nchi nyingi za Afrika mara nyingi haipewi...
  11. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

    BREAKING: Military coup in Congo at this moment. The country's president is in New York, the military is taking control of key facilities in the capital. Congo borders the Central African Republic, where there is a strong Russian presence. DDGeopolitics UPDATES Serikali imekanusha teteai...
  12. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Yajue Mapinduzi ya Niger kwa upana zaidi

    MAPINDUZI YA NIGER YANA MASILAHI MAPANA KWA URUSI NA HASARA KUBWA KWA NCHI ZA MAGHARIBI. Yawezekana ukawa miongoni mwa wanaojiuliza ni kwanini ECOWAS, Ufaransa na Marekani wanatolea macho mapinduzi ya Niger? Leo nitakupatia madini. Kumbuka makala hii ni ndefu hivyo usiwe mvivu. Jitahidi usome...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Aliyepindua Gabon hafai, ni fisadi kama akina Bongo

    Mapinduzi ya Gabon yana mfanano na mapinduzi mengine yaliyofanyika nchi za Afrika Magharibi. Hata hivyo kuna vitu muhimu vinavyoyatafautisha mapinduzi hayo na wenzao. Brice Oligui Nguema ni mjomba wa raisi aliyempindua ambaye alichaguliwa kuwa kiongozi wa kikosi cha kumlinda raisi huyo. Tofauti...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika tunashadadia Mapinduzi ya Kijeshi?

    Walianza Burkina Faso, wakaja Niger Sasa ni Gabon. Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi. Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Mapinduzi Niger aahidi kurejesha Mamlaka ya Kiraia ndani ya Miaka 3, ECOWAS yakataa

    Jenerali Abdourahamane Tchiani ametoa ahadi hiyo baada ya kukutana na Wapatanishi kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) katika mji mkuu, Niamey. Hata hivyo, ECOWAS kupitia kwa Kamishna wake ilikataa kukubaliana na muda wa miaka 3 na kueleza kuwa inabidi wahusika...
  17. Nemesis

    JamiiForums Tanzania Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

    Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali. Kwa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Viongozi waliofanya Mapinduzi Niger wakubali kuzungumza na ECOWAS

    Taarifa imethibitishwa na Wanazuoni wa Kiislamu waliokutana na Kiongozi wa Mapinduzi hayo, Jenerali Abdourahamane Tchiani kwaajili ta kutafuta suluhu ya mzozo unaoendelea. Mazungumzo hayo yamefanyika wakati Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ikiendelea kutafuta njia za...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Bara la Afrika linaongoza kwa mapinduzi ya kijeshi duniani

    Bara la Afrika lilishuhudia ongezeko kubwa la mapinduzi katika mwaka mmoja na nusu uliopita, huku takwimu za kijeshi zikichukua nchi za Burkina Faso, Sudan, Guinea, Chad na Mali. Baada ya mapinduzi ya Sudan mwezi Oktoba 2021, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alizungumzia "janga"...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zama za akina John Okello zimerudi Afrika. Kila taifa linahofia Mapinduzi. Ufisadi ndio kichocheo cha Mapinduzi

    Naona ile miaka ya akina John Okello imerudi Afrika Hofu ya akina John Okello imetanda kila kona Huko kenya kuna hofu kubwa imetanda. Hapa bongo leo imetoka kauli tata. Huko Afrika Magharibi ni utata mtupu. Kila rais anahofu kubwa. Je Afrika inawahitaji akina John Okello?
Back
Top Bottom