uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 7,580
- 10,818
Match Day.
Simba Vs APR
Msimamo wa Kundi B Ulivyo.
Hii nimetengeneza mwenyewe, hivyo kama kuna error tujuzane.
Hapa Simba tunahitaji tu Draw yoyote ili tuweze kuingia robo fainali.
APR anahitaji kutufunga Goli 4 - 0 ili aweze kuingia robo.
Kitu ambacho hakiwezekani.
Akipata huo ushindi hapo atakuwa kapindua meza kwa Singida FG.
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA.
KIKOSI CHA APR KINACHOANZA.
#nguvumoja#
Game On.
Dakika ya 22
Simba 0-0 APR
Vijana wa Simba wanajitahidi sana kupiga ball.
Dakika ya 27'
APR wanakosa goli hapa.
Inakuwa kona, inapigwa haileti madhara kwa Simba.
Dakika ya 30'
Simba wanafanya shambulizi kali kwa APR.
inakuwa off target.
Dakika ya 37'
Simba wanapata kona inapigwa haizai
Dakika ya 43'
wanapata kona, inapigwa kipa anadaka.
Dakika ya 45'
Wanapata free kick eneo la nje kidogo ya 18'
Inapigwa inakuwa goal Kick.
Dakika za Nyongeza ni 4.
kuhitimisha kipindi cha kwanza.
Dakika ya 45+2.
Simba wanapata kona, haileti madhara yoyote.
Dakika ya 45+4'
Apr wanapata kona hapa haileti shida langoni mwa Simba.
HT
Simba 0 - 0 APR.
Kipindi cha Pili kimeanza.
Simba wamefanya mabadiliko kwenye kikosi.
Onana Inn
Baleke Inn.
Chilunda Out
Dakika ya 48'
Mchezo unaendelea.
Dakika ya 54'
Baleke anapiga kichwa safi sana hapa.
Inakuwa goal kick.
Dakika ya 56'
APR wanafanya shambulizi kali.
Kipa anasimama vyema.
Inakuwa kona.
Inapigwa kona fupi hapa lakini haileti tabu yoyote.
Dakika 63'
Simba wanafanya shambulizi kali sana linaishia kwenye mikono ya Kipa.
Dakika ya 65'
anatoa assist butu sana
APR wanafanya sub
Dakika ya 69'
Mpira Unaendelea na uelekeo wake ni Kwa APR
Sub kwa Simba.
Phiri Inn
Saidoo Inn
Dakika ya 70'
Simba wanakosa tena.
Kipa wa APR anasimama vyema.
Dakika ya 76'
APR wanapata kona hapa inapigwa inakuwa goal kick.
Dakika ya 82'
Simba wanaongeza sana kasi ya mashambulizi kwa APR
Sub.
Che Malone Inn
Kanoute Out
Dakika ya 88'
Bado Milango ni migumu kwa pande zote!!
Dakika 89'
Mpira umesimam kidogo hapa kuna mchezaji wa APR ameua.
aligongana na Phiri.
Dakika ya 90 +1'
simba wanapiga kona haileti shida yoyote.
Game on...
Nyongeza ni Dakika 5.
Full Time
Simba 0 - 0 APR.
Asanteni sana