FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,681
14,866
πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ† #mapinduzicup
⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC
πŸ“† 04.01.2024
🏟 Amaan, Zanzibar
πŸ•– 2:15 Usiku

1000027930.jpg


Ni Match ya Round ya Tatu.
Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali,

Mechi inachezwa kukamilisha ratiba tu.
Tunategemea kupata burudani kweli kweli kutoka kwa Wananchi.

KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA.
1000027939.jpg

Kikosi cha KVZ kinachoanza.
1000027940.jpg

#Daimambelenyumamwiko#

Mpira umeanza hapa: Beki za Yanga zinakanganyana kidogo hapa.

6'
Yanga wanafanya shambulizi lisilo na madhara kabisa kwenye lango la KVZ

10'
Yanga 0- 0 KVZ
Mpira unaendelea timu zimebalance game sasa.

15'
Mpira unaendelea, bado milango ni migumu kwa timu zote.

17'
Yanga wanafanya shambulizi kali golini kwa KVZ ila inakuwa goal kick

18'
Offside wanafanya Yanga

25'
KVZ wanapata goli, Inakuwa offside.
No goal

32'
KVZ wanapata Foul nje kidogo ya box ya 18.
Inapigwa inatoka nje.
Goal kick...

40'
Mpira unaendelea
Yanga 0 - 0 KVZ

45'
Nyongeza ni Dakika 3.

45+1'
Yanga wanapata foul nje kidogo ya 18.
Inapigwa inakuwa chakula ya Kipa.

Half-time.
Yanga 0 - 0 KVZ

Kipindi cha Pili kimeanza.
Yanga wanafanya mabadiliko kadhaa.
Shomari Inn
Okra Inn
Moloko Inn

50'
Mpira unakuwa wamashmbulizi upande wa KVZ

53'
Wachezaji wanagongana vichwa hapa.
Mpira umesimama, wanafanyiwa matibabu pale.

55'
Yanga wanapata free Kick inapigwa haileti impact kwa KVZ

57'
Okra anachezewa faulo.
Bado yuko chini refa anaita machela!!
Lomalisa anapasha
Inaonekana Okra amepata Injury kubwa.

60'
Farid Mussa Inn
Kuchukua nafasi ya Okra

64'
Game On...
Yanga 0 - 0 KVZ

73'
Yanga wanamiliki mpira vyema.
Wachezaji wa KVZ wameamua kwenda kupaki basi.

75'
KVZ wanafanya shambulizi kali kwenye lango la Yanga.
Inakuwa kona: inapigwa haizai.

78'
Ngushi anakosa goli la wazi kabisa

80'
Mpira umesimama kuna wachezaji wanafanyiwa matibabu kidogo wa Yanga na KVZ.

86'
Game on...
Hakuna goli hadi sasa.

89'
KVZ wanafanya mabadiliko kadhaa hapa.

90'
Additional ni 5"
Game On.
Bila bila

90+4'
Yanga wanapata kona ya kwanza hapa.
Haileti madhara.
Dakika zimeisha.

FULL TIME
Yanga 0 - 0 KVZ
 
Kwa nini yanga wanapangiwa vibonge au wanaloga maana nasikia wanaongoza kwa uchawi au wanahongaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kwasababu jamuhuri ni timu ambayo ipo mwishoni kwenye ligi ya Zanzibar,jamus ni kiwete na nimkimbizi kutoka sudan ya kusini masikinii,..wakati JKU iliyocheza na Simba sc inaongoza ligi ya zanzibar,Singida gate munaijua sio timu rahis,APR ya Rwanda inaongoza ligi ya Rwanda...au kwasababu yanga naye ni timu ndogo ndio maana mara nyingi inakutana na wadogi wenzake?
 
Kwa nini yanga wanapangiwa vibonge au wanahongakwasababu jamuhuri ni ipo mwishoni kwenye ligi ya Zanzibar,jamus ni kiwete na nimkimbizi kutoka sudan ya kusini masikinii,..wakati JKU iliyocheza na Simba sc inaongoza ligi ya zanzibar,Singa gate munaijua sio timu rahis,APR ya Rwanda inaongoza ligi ya Rwanda...au kwasababu yanga naye ni timu ndogo ndio maana mara nyingi inakutana na wadogi wenzake?
Timu zote ni vibonde wa Yanga ukianza na timu yako
images.jpg
 
Kwa nini yanga wanapangiwa vibonge au wanaloga maana sikia wanaongoza kwa uchawi au wanahongakwasababu jamuhuri ni ipo mwishoni kwenye ligi ya Zanzibar,jamus ni kiwete na nimkimbizi kutoka sudan ya kusini masikinii,..wakati JKU iliyocheza na Simba sc inaongoza ligi ya zanzibar,Singa gate munaijua sio timu rahis,APR ya Rwanda inaongoza ligi ya Rwanda...au kwasababu yanga naye ni timu ndogo ndio maana mara nyingi inakutana na wadogi wenzake?
mstari wa mwsho ndo uliobeba maana ya comment yako.
 
Kwa nini yanga wanapangiwa vibonge au wanaloga maana sikia wanaongoza kwa uchawi au wanahongaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kwasababu jamuhuri ni ipo mwishoni kwenye ligi ya Zanzibar,jamus ni kiwete na nimkimbizi kutoka sudan ya kusini masikinii,..wakati JKU iliyocheza na Simba sc inaongoza ligi ya zanzibar,Singa gate munaijua sio timu rahis,APR ya Rwanda inaongoza ligi ya Rwanda...au kwasababu yanga naye ni timu ndogo ndio maana mara nyingi inakutana na wadogi wenzake?
Makelele yote huwa yanaishaga tukipangiwa na vibonde 5imba..!!! Maana vibonde wengine wanakuwa washamalizwa
 
Taarifa kwa umma :
Leo timu yetu pendwa ya Yanga itazindua channel yake huko whatsapp ili tuanze kukimbizana na timu kubwa kubwa duniani kama vile Simba na Liverpool.

Tumeamua kuachana na uzwazwa wa kukimbizana na vitimu vidogo vidogo visivyo na followers kabisa.

Tunawaomba mashabiki wetu mtu follow kwa wingi ili tuwapate na kuwapita kisha kuwaacha mbali Simba waliotuzidi akili.

Daima mbele nyuma mwiko.
 
Mkuu Acha Watu Waanzishe Thread.

Ila Usisahau Kuangalia Mpira Mzuri Kutoka Kwa Mabingwa Wa Kihistoria.
Mods hizi thread za mechi muwe mnaanzisha ninyi tu, saa 8 hii usiku mtu anakimbilia kuanzisha thread ya mechi itakayochezwa saa 2 usiku.
 
Back
Top Bottom