Mapenzi ni kitu kingine, huwezi kufananisha na kitu chochote kile;
Kwa wale waliofanikiwa kupendwa ni vigumu kuamini kuwa, kuna wengine mapenzi yamewagharimu maisha yao yote au yamepoteza dira ya maisha ya watu wengine.
Wapo ambao mapenzi yamewachapa mpaka kupoteza mwelekeo na hawatamani tena...
Habari wadau, kuna binti nipo kwenye mahusiano naye na amenizalia mtoto. Sasa kajipangia na mahari kabisa kwamba nisipo toa hiyo pesa bora tuachane.
Sasa najiuliza kweli hapo kuna mapenzi?
Nilikuwa najiamini kuwa mimi ni mtu mgumu sana haitakuja siku mwanamke aniyumbishe hisia na furaha yangu. Yet nikakutana na huyu mwanamke asee nilimpenda sioni kama dunia hii kuna mwanamke mzuri zaidi yake.
Omba yasikukute ndugu kupenda sana mwanamke, nimeamini wanaume sisi ni wadhaifu sana...
Wakuu naomba kujua kati ya mwanamme ambaye hajafanya mapenzi kwa muda mrefu vs anayefanya mazoezi ya viungo kila siku ni yupo anasukuma pampu vizuri wakati wa kula tunda au kugegeda?
Mfano mwanaume ambaye ameoa alafu amekaa miaka miwili bila kupump vs mwanaume anayekwenda jim kila siku
Nipo namsikiliza Mtu anasema kuwa wakati mnafanya Mapenzi, dyu dyu ukiingia kwenye sehemu za siri za mwanamke, na mambo yakakolea, wakati mwingine dyu dyu unazama inagoma kutoka kwahiyo ule mizunguko wa damu na presha na nini Mtu anaweza akafa
Sa nimelala hapa, najaribu kupata picha ivi wakati...
Inasikitisha ila pia inafurahisha🤣🤣
Mapenzi moto moto
Waliendelea na mapenzi na kufaulu kwenda mwaka wa pili. Walipendana SANA😄😄
Na pete ya Uchumba juu🤣🤣
Ila kandege kalipeperuka kwa wenye fweza. Bora nipooze machungu
Mahusiano ni kama Gari la masafa marefu, Tena lenye linapitia barabara yenye mashimo, milima na mabonde.
Inabidi muda wote ucheze na usukani, ukilala tu utajikuta ulisha acha barabara mda mrefu ulio pita na unaelekea shimoni. Hii ikiwa na maana usijisahau, kumbuka hisia zinapotea kutokana na...
Kuna watu ambao hawawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida Nyingi, lakini linapo kuja swala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu...
Kila mtu anapenda kufunga ndoa na kuwa na familia. Bahati mbaya kwetu wanawake ni mwanaume anaefanya maamuzi kuwa huyu ndiye ananifaa katika safari ya maisha.
Hapa hakuna formular wengine watapenda binti mzuri, wengine wanapenda kwasababu ni kabila moja, wengine wanapenda msomi ni mambo...
Why lovemaking is important to couples
1. It is a celebration of the love the two have
2. It meets the sexual needs of both. When your needs are met you feel taken care of
3. It is God's gift to your marriage. Make the most out of this gift
4. It makes you two connect better
5. It makes...
Leo nakuja kivingine ka mwanamke wa kitanzania niliefundwa nikafundika iko changamoto kubwa nayo ni uelewa hafifu au hata tuseme ujinga katika uga wa mapenzi.
Migogoro mingi katika jamii ina-root back to love affairs mafunzo ya mapenzi hayafundishwi kokote katika mifumo rasmi tukiacha...
Habari wana JF leo nina bonge moja la tukio ambalo sijawahi kulipitia maisha yangu yote.
Mahusiano ni moja ya kitu chenye changamoto sana katika maisha yetu haswa sisi wanaume. Kutokana na asili ya wanaume tulivyo basi kuingia katika mahusiano ni committment na sio mazaha kwa sababu unajua zile...
Wadau hebu tujuzane kidogo adhabu zinazoendana na situation pale mke wako anapokudharau, Halali nyumbani na akirudi hataki kuuliza maswali na kukuta meseji anachati na wanaume wengine na hataki umuingilie.
Tuachane kidogo na ulimwengu wa wazungu maana wao sio mfano wa kuigwa wanaruhusu hata...
Wapo wanaoponda fulani anapenda sana mapenzi!
Sasa je, wewe unayeingia kwenye ndoa au mapenzi huwa unafuata nini? Kule hakuna kazi ya kuuza mihogo wala viazi, kazi kubwa kule ni mapenzi tu.
Na mapenzi yasipotekelezwa vizuri ipasavyo ndani ya ndoa, lazima migogoro iwepo. Tunasoma, tunatafuta...
Naskia wamama hasa kwa watoto wao wa kike wanauwezo mkubwa wa kujua kua huyu binti yangu ametoka kudinyana. Pia, naskia mademu zetu au wake zetu wana exceptional capability ya kueza kutugundua vidume kua tumetoka ku chepuka.
Ila swali hapa ni je sisi wanaume tunaweza kigundua kuwa mademu/wake...
Nilisikiliza BBC London wakatangaza wanataka Waingereza kuingiza mtaala wa mapenzi kuanzia shule za msingi.
Na chuo kikuu cha Dar es Salaam ktk kozi ya DS (Developing Study). Niliyosoma first year 2007, Professor wa kozi hiyo alitufundisha kuwa Umoja wa Mataifa unatambua kuwa kufanya mapenzi ni...
Juzi nilipelekwa Buza, Kwa mara ya pili maana Buza NI kubwa Sana
Nikaenda kuulizia maana ya mparange sijui Kwa mparange nikapata maana nilicheka sana
Sijui mambo ya kiswede mambo ya Ambaruti
Basi akapita binti mwenye Shepu yake, babu mmoja akamwambia Yule binti, "Mariam nakuja huko huko...
Simulizi: NGUVU YA MAPENZI
Mwandishi: ATUGANILE MWAKALILE
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Mdada mmoja mrembo sana aliyeitwa Angel alionekana siku hii akiwapeleka wadogo zake kuripoti katika shule mpya maana wadogo zake hao walikuwa ndio wanaanza kidato cha kwanza na yeye alikuwa...
na #TUNDU_LISSU
Kuhusu sarakasi za Mahakama ya Kisutu, nina haya ya kusema;
Acheni hofu. Kama nitakamatwa na kuwekwa mahabusu, hilo litakuwa ni jambo jema kuliko jambo lingine lolote Magufuli na watu wake watayatendea mapambano ya kudai demokrasia katika nchi yetu.
Wakifanya hivyo basi...
Wanajamvi habarini? Wanandoa kwema?.
Muhtasari: nikiwa tineja nilijiwekea mipaka ya makabila ambayo sitao,kila kabila na sababu zake.
Wakurya: ukatili
Wachaga:kutojua mapenzi sana
Wazaramo: wavivu
Tanga(makabila yote): sababu ya ushirikina.
Jambo la kushangaza hao ndio nikawa nawapata sana hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.