Kuendekeza mapenzi ni dhambi?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,180
39,948
Wapo wanaoponda fulani anapenda sana mapenzi!

Sasa je, wewe unayeingia kwenye ndoa au mapenzi huwa unafuata nini? Kule hakuna kazi ya kuuza mihogo wala viazi, kazi kubwa kule ni mapenzi tu.

Na mapenzi yasipotekelezwa vizuri ipasavyo ndani ya ndoa, lazima migogoro iwepo. Tunasoma, tunatafuta kazi, tunakesha usiku na mchana nk. yote hii ni ili tuweze kuburudika na wapenzi wetu.
 
Ukienda kukopa wakijua umeoa au umeolewa wanakua na confidence zaidi!
Itategemea na checklist yao; kuonyesha huyu muhusika amepevuka/anajielewa/ana makazi ya kudumu/mstaarabu n.k wapo wanaoamini mtu aliyeoa/kuolewa ni mstaarabu ukiringanisha na makanjanja......
 
Itategemea na checklist yao; kuonyesha huyu muhusika amepevuka/anajielewa/ana makazi ya kudumu/mstaarabu n.k wapo wanaoamini mtu aliyeoa/kuolewa ni mstaarabu ukiringanisha na makanjanja......
Hasa kama collateral ni shamba au nyumba, lazima wajue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom