Kisa cha kweli: Kumbe mapenzi yaliyozaliwa Tanga ni fake

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Wanajamvi habarini? Wanandoa kwema?.

Muhtasari: nikiwa tineja nilijiwekea mipaka ya makabila ambayo sitao,kila kabila na sababu zake.
Wakurya: ukatili
Wachaga:kutojua mapenzi sana
Wazaramo: wavivu
Tanga(makabila yote): sababu ya ushirikina.
Jambo la kushangaza hao ndio nikawa nawapata sana hasa toka Tanga, asilimia 70% ya madem walitoka Tanga,niliwapeda sana hawa wanawake,ndani walikua vizuri lakini kimawazo hawakuwa vizuri kabisa. Wengi wakishakula na kutimiziwa mahitaji yao basi hawajuagi cha kesho.

KISA KAMILI.
Ilikua ni 2016 niliamua kumchukua mtoto wa kitanga ili niishi nae,kabla ya kuchukua nilimpangia chumba kabisa mana alikua anakaa kwa ndugu yake wa damu ambaye shemeji yake ni rafiki yangu sana,kwa hio nilimpa kupitia ukaribu wa mimi na shemeji yake.

Nilimpangia chumba baada ya kusikia malalamiko mengi kuhusu ndugu yake anaekaa naye. Ili awe huru na mm niwe huru nae nikampangia.

Kwa sababu nilikua na malengo nae na kwenye fikra zangu najua wanatanga walivyo nikaweka sheria mapema kabla hatujaanza kuishi.

1.Sitaki kuona akienda kwa waganga wa kienyeji
2.Siku niligundua ananicheat sitavumilia wala hakutakuwa na msamaha. Kuvunja sheria mojawapo hapo ni kuvunja uhusiano kati yetu.

Kumbuka hii 2015 mwishoni hatujaanza kuishi pamoja nikaanza kugundua mapicha picha katika simu yake,ili kuepusha mgogoro akabadili no ya simu,mm sikubadili ila niwamute baazi ya mazilipendwa wangu ili kuepusha migogoro. Ikafika desemba nikagundua tukishaacha ile usiku ana mawasiliano na mtu mwingine,nikawa kimya ila kichukua simu yake nikaweka call records afu nikaihide na pin za kutosha...yeye hakujua maisha yakasonga januari tupo kwenye mchakato wa kukaa chumba kimoja kama mume na mke.

Nilipokuja kukagua ile simu ni niligundua uchafu wake, nikachukua hatu ya kuvunja uhusiano, alilia sana kiasi kwamba alishindwa kwenda kwake, akaomba sana lakini sikutaka kukubali mama mwenyewe nyumba akaingilia na kumuombea msamaha akakubali kujitwika lawama zote kama makosa yanajirudia.

Nakumbuka tulianza kuishi pamoja chumba kimoja mwezi wa pili 2016...ebana mikosi iliyonipata sijawahi ona,kwanza nikawa sipati pesa kama mwanzo nikajipa moyo labda ni kwa sababu Magu kabana

...Itaendelea jioni

My take: muwe wavumilivu kidogo mana naadika haya silipwi najitolea ili kuwafunza wengine. Kama hujaipenda unaweza kupita kimya kimya tu..
 
Acha kuzingua wewe MNYIKA kwa kuwaharibia sifa dada zangu wa Kitanga. Kuna uhusiano gani sasa wa kukosa hela na kuishi na huyo binti kama siyo nongwa tu hiyo!

Hovyo kabisa wewe.
 
Hiki ni kisa sa nisisema yaliyonitokea kisa ni dada zako? Subiri uone stori itakapoishia
 
Inaendelea...Baada ya kuendelea kuishi kibishi nikamtafutia sehem ya kushona ili na yeye apate hata 200 za kuunga siku nikiwa nimechacha. Balaa likaja kwenye kijiwe cha kazi, kumbe ndio kuwa karibu na jamaa nilimgundua kwenye call records zake hapo nyuma.

Maisha yaka songa tukaendelea kuishi,ila katika kitu ambacho kilinikera sana huyu dem alikua muongo nahisi kuliko waongo wote. Anaweza kukudanganya anaumwa ili tu asiende kazin ww ukitoka asubuhi na yeye anatoka na njia zake.

Wakati huo kumbe ndugu yake anapambana kweli kumshawishi aniendee kwa waganga ili aniweke niwe chini yake,yani yeye ndio mwenye maamuzi ndani ya nyumba alikataa sababu aliogopa mm naweza kujua na nikamuacha kama nilimwambia.

Nakumbuka ilikua niwezi wa 5 hivi niona kwenye group 1 la teknolojia wanazungumzia app moja inaitwa mobile track kipindi hicho ilikua ni bure. Iyo app unaweza kuweka kwenye simu ya mtu na ukishafanya installation inakua hiden inarekodi kila kitu. Kwanzia calls, massages, location wasap, kwenye gallery n.k

Nikamwekea nikajaza information zangu afu nikatulia. Ilipita kama wik 2 hivi zikiingia kwenye acc,mana unapofanya installation iyo app inachukua vitu nilivyotaja juu hapo inavi upload vyote kwenye server zao ww ukiingia kwenye acc kaz yako ni kukagua tu.

...Nitaendelea tena badae...ngoja nijenge taifa kwanza...
 
inbox yako itajaa wana wanaulizia majina ya apps ulizotumia, ukiwapata waambie Ndebile anauza dawa kutibu presha ya kupanda na kushuka na vidonda vya tumbo!
 
Inaendelea...
Baada ya kuingia kwenye dashboard yangu nilichokiona niliishiwa nguvu kabisa,siku yangu nzima iliharibika nikatamani mida wa kaz uishe nifike nyumbani ili nimsomee mashtaka yake. Kwa sababu ilikua ni mara ya kwanza kutumia hiyo app sikujua mambo mengi sana ila nilitamani kila saa niwe nafatilia tu.

Baada ya kuona zile chat zao kwa msg na nikascreeshot kama ushahidi. Jioni ikafika nikaanza kurudi nyumbani huku miguu ikiwa haina nguvu. (Bora uibiwe mpenzi bila kujua ukijua tu hutakuwa na furaha,utaongea mwenyewe njian kama kichaa) wakati narudi nyumbani nikaingia online ili kujua kama kuna mpya nikakuta yuko anachat na jamaa, kwa sababu siku hiyo sikutaka kupitia sehem niliwahi kufika kuliko muda wa kawaida. Nikakuta amejilaza kitandani anachat nikakwapua ile sim kwanza mana niliingia bila hodi(gafla) nikaona msg za siku hiyo zote. Hakuweza kufuta mapema sababu alikariri muda wangu wa kurudi.
Sikutaka makuu kwa maswali ambayo nilimuuliza alishindwa kujib kwa ufasaa nikamwambia kusanya vyako kesho nafunga mlango wangu naondoka na funguo ilikua jmosi siku hiyo.

Hakukubali alibak akilia tu na kuomba msamaa lakini sikutaka kusikiliza chochote. Usiku huo akalala kwenye mlango wangu(kwa nje) asubuhi nikaamka mapema ilikua jpili nikatoa mabeg yake malangoni nikafunga chumba changu nikamwacha akiwa pale pale.

Jioni sikurudi 1kwa moja nyumbani nilipitia kwa washkaji mana nilikua na stress za kufa nila bia sana lakini hata nilikua sisikii kitu. Saa 3 nikarud hom nikakuta kakaa pale pale toka asubuhi,hakula mchana, nilijuaje?(mtajua huku mbele) nikafungua mlango ile naingia ndani tu nae yeye akalazimisha kuingi,kwaio tukaingia wote nikamtoa nje kakataa kata kata kwa sabab ajishika na meza ya tv na radio. Kama ningemvuta kwa nguvu meza ingedondoka na uharibifu ungetokea.

Nikaamua kuingia kitandani kulala ila yeye akabak chini analia na kuomba sikuskiliza kitu,nikamhakikishia hatalala kitandani na kesho ataondoka.

Pale ndani kipindi nakaa na jamaa zangu kuna mmoja alikua mfamasia sasa alikua na tabia ya kuja na dawa aina tofauti kama akiba mtu akiumwa. Sa alivoondoka aliziacha.

Sa yule dem alipoziona akaamua kuzichanganya aina tofauti ili ale. Mm nasikilizia usingizi tu. Akazifunga na akatafuna ule mchanganyiko akainuka na kutoka nje,alifofika mlangoni akadondoka na kulia mm nikanyamaza mama mwenye nyumba akaamka akaona kama mtu alikua anatapika kama kuna kitu amekula.

Itaendelea...
 
Sasa ili kufupupisha stori iko hivi. Wanawake wengi wanaotoka tanga wanapenda sana kwenda kwa waganga ili kuwadhibiti waume zao hii nasema sabab imenitokea na nimeshuhudia kutoka kwa shemeg wa zilipendwa wangu.

Hapa ninapokaa kuna mmama wa kitanga mumewe hana maamuzi juu ya chochote mwingine kahama yani full kokorogewa dawa.

Mimi niliponea chupuchupu sababu ya mkwara niliotoa ndio akawa na wasiwas,tulipoachana rasmi ndio akalaumiwa na ndugu zake sana kwa kutonidhibiti mapema.

Kwaio sijawahi kuona wanawake wa kitanga ambao hawaemdi kwa wagamga wa kienyeji na sio kimaendeleo bali ni kumdhibiti mume tu. Nikagundua kuwa watu wanasifia sana Tanga kwa mapenzi lakini ni bure ni mapenzi ya dawa tu.
 
Back
Top Bottom