FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 449
- 408
Nilisikiliza BBC London wakatangaza wanataka Waingereza kuingiza mtaala wa mapenzi kuanzia shule za msingi.
Na chuo kikuu cha Dar es Salaam ktk kozi ya DS (Developing Study). Niliyosoma first year 2007, Professor wa kozi hiyo alitufundisha kuwa Umoja wa Mataifa unatambua kuwa kufanya mapenzi ni haki ya msingi mojawapo ya binadamu ikiwamo mavazi,malazi na chakula.
Pia tulifundishwa kuwa mapenzi ni sehemu ya mazoezi.
Swali langu kwako unayesoma hapa, je, nani alikukochi juu ya ufanyaji mapenzi? Ilihali Siku hizi hatuendi jando na unyago?