Somo la mapenzi lifundishwe mashuleni

KichwaBOGA

Member
Jun 28, 2020
15
33
Leo nakuja kivingine ka mwanamke wa kitanzania niliefundwa nikafundika iko changamoto kubwa nayo ni uelewa hafifu au hata tuseme ujinga katika uga wa mapenzi.

Migogoro mingi katika jamii ina-root back to love affairs mafunzo ya mapenzi hayafundishwi kokote katika mifumo rasmi tukiacha upotoshaji wa mitandaoni na vichochoroni.

Wanaume wanalia siye wanawake ndo usiseme kila kukicha tumekuwa wahanga wa love problems na nothing is done beyond kulalamika wakati nikifanya thesis ya degree yangu ya pili niki-site hasa katika mambo ya family breaches nilirealize mengi critical point ikiwa ni ujinga wa weng ktk eneo la mapenzi.

Nakuja na pendekezo kwamba katika mtaala rasmi kuwepo somo la 'mapenzi' lifundishwe katika ngazi zote za elimu tz.
 
Back
Top Bottom