mapenzi

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni matamu unapompata anayekupenda

    Nina ongelea nafsi ya kike kwakua mimi ni wa kike. Kuna wanaume wanapenda wanawake weupe, weusi, warefu, wasomi, wanaojua ku challenge, wanaojua biashara, wenye msambwanda. Sasa itokee umekutana na mkaka aliyekuona wewe ndiye a dream woman in his life. Akifungua mlango tu anatoka kazini roho...
  2. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Nimeingia kwenye 18 ya Mapenzi ya Mlokole lakini nimetoka kapa

    Leo natoka Kanisani nakutana na mdogo wangu mmoja kachooooka maskini, nikahisi labda ana Corona. Katika ongea ongea nae nikagundua kachapwaaa kimapenzi, aliingia kwenye 18 ya dada mmoja Mlokole alafu akaona hapati anachokitaka akasepa mwenyewe😂😂🏃🏃 Kijana: Sister Penny bwana, me nilimpenda Sana...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mapenzi ya Mungu hayakwepeki mtoto wa mfalme alikufa licha ya baba yake kujenga ghorofa la vioo ili kumlinda

    Kuna mfalme alijaliwa kupata mtoto wa kiume. Yule mtoto alikuwa na afya njema, sura ya kuvutia alivutia hata wageni waliofika kwa mfalme. Mfalme alimpenda yule mtoto kama roho yake. Mtoto yule alipofikisha miaka minne, Mungu Mwenyezi alimtaarifu mfalme kuwa mtoto yule atakufa siku si nyingi...
  4. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na roho...

    Je, wapendwa mnajua kuwa wanaume zenu au wapendwa zenu wanapenda nyie kwa moyo? Au mpompo tu mwa shangaa? Je, unaaminije kuwa huyu niliyenaye alinioa kwa mapenzi au kwa maana na kitu fulani au huyu yupo kwenye mahusiano kisa nina kitu fulani? Najaribu kuandika kiswahili wajameni.
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kitanga wanajiamini kwenye mapenzi

    Kuna siku moja nilienda kutembelea mkoa wa Tanga, sasa ile mida ya jioni by saa moja hivi usiku nikasema ngoja nitembee tembee kwa miguu ili niweze kuufahamu mji vizuri. Katika mizunguko yangu nikavutiwa na duka moja linauza vitu mbalimbali, nguo, viatu, mapambo ya wanawake, marashi ya...
  6. safuher

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunapokutana na wanawake kuna ambao wanavutia kwa ndoa na kuna ambao wanavutia kwa ngono tu

    Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa. Wanaume wengi utawakuta wameoa wanawake ambao wako nje na malengo yao ya zamani na maisha bado yanakwenda. Wakati mwingine huwa...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hii ndio njia ya uhakika ya kuondoa Stress za wivu wa mapenzi dhidi ya mkeo...

    Umesikia mkeo anatembea na Juma. Vuta picha mkeo akiwa anapigwa mashine na Juma then piga puchu. Fanya hivyo kila mara unapokumbuka kuhusu mkeo kutoka na Juma na kila unapo letewa taarifa za mkeo kutoka na mwanaume mwingine yoyote yule Kwa kufanya hivyo utaondokana na stress za Wivu wa mapenzi...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya wanaume akishajua una pesa na kwake hali ni ngumu

    Kwanza mwanaume akishakuzoea romance zinapungua anaanza ubinafsi wa kujiridhisha mwenyewe. Hapo ameshatoka kunywa bia zake utasikia mimi ninalala kesho nina mkutano wa muhimu sana. Sasa hii corona si unajua michongo mingi imekata. Ile hela ya bia hana sikuhizi anashinda nyumbani na bukta...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Je, uliwahi kufail/kufanya vibaya mitihani ajili ya mapenzi? karibu utupe mkasa

    Natumai hamjambo wakuu na weekend inaendelea uzuri. Tukiwa tunaendelea kuliombea taifa dhidi ya corona, karibuni hapa tubadilishane mikasa ya mapenzi ilosababisha kufail/kufanya vibaya wakati tukiwa shule. Nikiwa form two wakati mapenzi ya balehe yameshika kasi nilijikuta nafanya vibaya sana...
  10. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kipindi cha Karantini 😂😂😂

    Heeeeeeepiiii Neeeeew Yaaaaaaa 🔥🔥 Poleni na Corona (Covid19) I think I miss this place Ila sio kiviiile but hey am here 😷 Mapenzi kipindi hichi cha karantini yananifanya niwe boya zaidi, naona kama nafeli Sana kwenye game Zamani angalau utatoka nje utakutana na watu mtaongea, sahivi NI ndani...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hali ya Mapenzi imeimarika mtaani baada ya Covid-19

    Habari wana JFs MMU. Hali si siri tena. Mambo yamebadilika ghafla. Twaweza kusema asante corona! Japo imekuja na mabalaa ya kuugua na baadhi ya vifo huko duniani na Leo Tz R.I.P Issa H. Mtibwa( kama sijakosea jina). Pamoja na madhara hayo kwa upande mwingine Corona imekuja na matokeo chanya...
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wanawake wote wakikataa kufanya mapenzi ni mwisho wa dunia

    Imagine dunia nzima wanawake wagome kufanya mapenzi itakuwaje? Kuanzia walio ndoani mpaka makahaba. Hakutakuwa na uzao Tena na ndio itakuwa mwisho wa dunia.
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mambo ya mapenzi na tendo la ndoa tulioyatoa kwa wanyama

    Kula denda - tumetoa kwa njiwa. Kulambana sehemu za siri - Tumetoa kwa Mbuzi na mbwa. Kuwa na mke mmoja hadi kifo - tumetoa kwa njiwa. Mwanaume na mwanake kusaidiana katika kulea mimba - njiwa wanavyoasidiana kulalia mayai Style ya mwanamke chini mwanaume juu (missionary position) - tumeitoa...
  14. Eagle J

    JamiiForums Tanzania Je, ni vitabu gani vya utundu wa mapenzi umesoma vimekusaidia mpaka leo?

    Katika kupitia uzi pendwa mzee Jason Bourne na Mkuu Kiga wametuonesha kuwa kusoma vitabu vilisaidia wao kujua jinsi ya kupata nywila za wenzi/wapenzi wao. Wanadau naombeni vitabu mlivyosoma ili tusaidiane kwenye libeneke, maana sio wote wameenda jando
  15. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya kutupia sms nzuri za mapenzi

    kama una sms nzur ya mapenz pleas naomba utupie hapa
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kitu gani Cha kipuuzi uliowahi kufanya kwenye mapenzi

    Me nakumbuka rafiki yangu alimnunulia Prado demu wake ikiwa ni mwezi mmoja tu wa relationship yao wakati yeye anatembea na gari aina ya Vits alafu wazazi hawajawanunulia wala nini. Baada ya miezi mitatu kupita wakaachana. Je, kwa upande wako Jambo gani la kipuuzi umewahi kufanya kwenye mahusiano?
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

    kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile? Naomba mawazo yenu wana JF ------------------------------ Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na maumbile: KWA UFUPI Wakati idadi ya wanawake wenye maambukizi ya Virusi vya Ukimwi ikiongezeka, asilimia...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nilianza mapenzi na mke wangu kwenye concert ya wimbo wa Ashawo wa Mr. Flavor, Nigeria

    Nimeamini mapenzi yanayoanzia kwenye muziki yananoga Sana na hasa ukiukumbuka wimbo maalumu wa enzi ya mapenzi yenu. Mimi mapenzi na mke wangu yalianzia kwenye wimbo wa ASHAWO CONSERT Abuja Nigeria Mr flavor. Sawasawa sawaleeee x 2 Ausha x 4 popopoooo Acha kabisaaaaa hapo nikiwa boya tu...
  19. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Kwako kipimo cha mke bora ni kipi?

    Kitanda changu ni nne kwa sita, mke wangu aisee ana staha sana. Kinachofurahisha Zaidi ukimshika mgongo nywele zinasisimka, ukimshika paja linatelezaa tu, ukimnong’oneza mpaka nywele za kichwani zinasimama, ukimbinya hata sauti inabadilika “mm m-mm-e wangu” Ukimaliza anashukuru na siku...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wivu wa mapenzi: Mwanaume achoma nyumba na kuua familia ya watu 6

    Watu sita wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuchomwa moto usiku wa manane kata ya Mjawa wilaya ya Kibiti mkoani Pwani. Kati ya watu hao sita wawili wakiwa ni mama na watoto wao walikuwa wamelala nyumba ilichomwa moto usiku wa manane na kuteketea. Akizungumzia tukio hilo kwa...
Back
Top Bottom